Airtel Tz mko serious kweli? network ya hovyo ( too slow) na bundle nazo mmezifanya za hovyo

dutch2

JF-Expert Member
Sep 20, 2017
1,009
972
Niwashukuru tu airtel kwa muda wote wa 3month niliovumilia kuwa nanyi am going back kwa wezi wangu voda majuzi walizima internet usiku na walitutaarifu.

Wanaupdate/upgrade network zao ziwe fasta zaidi kilichotokea nimeamishwa kwa 3G, H+ hadi E?? yani hata kutuma picha whatsapp ni shidaa nikawa narestat simu ovyo Leo best yangu kaniambia airtel wamebadilisha bundle nikajiuliza kwaiyo lengo Lao ilikuwa ni kupunguza speed na kupunguza bundle are they serious kweli c bora wapunguze bundle internet speed iwe nzuri.

Sasa hao wanafunzi ndo mnawajazia bundle kubwa then speed low tunaowaweka mjini mnatufanyia ujinga wa low speed asanteni na line nishaitupa mkifufua speed nitarudi
 
Kampuni za simu kama hizi zipigwe faini.

TCRA kazi yenu ni ipi,mnaacha watu wanakula hela zetu halafu huduma mbovu.

Huyo mkurugenzi wa TCRA akitumbuliwa na Rais itapendeza maana hivihivi huwa hawapati akili
 
Acha hiyo mi nimeiweka hivohivo lkn nikipiga SM inasema haina salio nionavo Zain haijawahi kupata waendeshaji ewnye akili wote ni wote on hopeless walianza na ujambazi wakuiba efu 5 wakijidai ni ofa ya dakika sijui Mia 5 ukiweka tu SM haiendi inakwambia ofa inaanzia SA 6 usiku sasa utasema on akili hiyo? Yani acha hii ya unaweka vocha alafu wanajifanya mitambo mibovu wakaja Na ofa nzuri ukiingiza tu elfu inakupa d 24 kidogo wamashairoa hata badala wangepunguza tu ziwe d 20 eti wakaondoa kabisa acha Na sisi tuwadhibu kwa kuwakimbia hadi Leo lhadi wakakoma Na hadi Leo ukisikia hii kampuni imekufa wasije wakasema wamelogwa Bali wamejiloga wenyewe kwa kuwaivia wateja wizi wa kijinga kabisa Na elewa unapowafanya watu hawana akili matokeo yako lazima yawe mabaya tu
 
Wanakera
 
Bando ya chuo ...jero mb 600 wiki....sahv 500 kwasiku tu....

Wiki buku jero
 
Toka wafanye hayo mabadiliko yao ya kipuuzi sina muda nao, wawakamate wajinga wenzao.

Mtandao wa ovyo kuliko Ovyo Yenyewe.
 
Back
Top Bottom