India ni mtaji wa nani?

India ni mtaji wa nani?

dutch2

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2017
Posts
1,009
Reaction score
977
60f1949e1163794331b2618909e66070.jpg
 
Unacheza na IC's wewe............Electronics component ndiyo kila kitu humu mu Dunia..........
 
Japan hana uwezo wowote wa kuizingua china zaidi ya kutegemea nguvu za basha wake USA.japan isifikiri china ya leo ni sawa na ile ya Qing dynasty au ile ya kuomintang ya kina Sun Yat Sen wataumia.
 
Mimi nadhani kila mmoja atakuwa na Maslahi fulani ambayo yanaweza kuwa tofauti na ya Mwingine. Kwani hujaona hapa Bongo ?, Mara leo atakuja Mchina na kudai mshirikiane ktk biashara, mara Kesho utamsikia Mjapani naye kaja na kudai tuwe naye urafiki kibiashara, mara utamsikia MKanada, n. K. Kwa hiyo elewa hivyo.
 
kuna kitu lazima hapo na ni mshirika wa mataifa makubwa
 
Back
Top Bottom