Search results

  1. alexelias

    Kumbe Kanali wa Jeshi ni cheo kikubwa kuliko cheo cha IGP

    Leo katika hafla ya uapisho wa Viongozi mbalimbali pale Ikulu lipo jambo limenitafakarisha sana. Katika kusanyiko lile walikuwepo Wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama;Mkuu wa Majeshi,IGP,Mkuu wa Magereza,DGIS na Mkuu wa Uhamiaji. Wakati Mheshimiwa Rais alipopita kuwasalimu Wakuu hao wa...
  2. alexelias

    Mzee Jakaya Kikwete awaasa viongozi kuwa kujishusha hakukufanyi usiwe kiongozi. Kujimwambafai hakukufanyi uwe kiongozi zaidi

    Katiba ni kijitabu tu chenye maneno ambayo hata kwenye khanga yapo JPM kwa alivyo anaweza kufanya lolote na akaweza na hayupo wa kufanya fyoko! Rejea manunuzi ya ndege za awali je kuna taratibu za takwa la kikatiba/sheria za manunuzi zilifuatwa!?
  3. alexelias

    Mzee Jakaya Kikwete awaasa viongozi kuwa kujishusha hakukufanyi usiwe kiongozi. Kujimwambafai hakukufanyi uwe kiongozi zaidi

    Mara paa,Kikwete mgombea wa uRais kwenye uchaguzi Mkuu wa 2025! Nawaza nakuwazua lakini ndoto zinaniamisha kuwa inawezekana kabisa Jakaya akawa mgombea wa CCM 2025 endapo tu Magufuli akiweza kumpigia chapuo kwenye mkutano wa Halmashauli kuu ya CCM ili aweze kupitishwa na hatimaye kuwa mgombea...
  4. alexelias

    Tetesi: Mwandosya kanyimwa kibali cha kuingia Ikulu toka mwezi Juni!

    Wazee wetu na nyinyi muachage kujifanya wajuaji. Mark James mwandoysa aliyepata kuwa Waziri wa mda mrefu wa awamu ya tatu na ya nne inasemekana kanyimwa kibali cha kwenda kuonana na Rais toka mwezi Juni. Chanzo cha uhakika toka watu wake wa karibu vinatabanaisha bwana mkubwa inawezekana...
  5. alexelias

    Rais Magufuli afungua Msikiti Sumbawanga, awashukuru waislamu kwa upendo wao wa kumualika

    Rais Magufuli amefungua msikiti wa Sumbawanga na kuwataka waislamu kuendelea kuwa wamoja na kudumisha upendo miongoni mwao na kwa wale wasio waislamu. Kadhalika Rais Magufuli amewashukuru waislamu kwa kumpa heshima ya kufungua msikiti huo na kusema huo ni upendo wa dhati ikizingatiwa kuwa...
  6. alexelias

    Joseph Selasini: Tunapata wapi msuli wa kudai demokrasia ndani ya nchi wakati tunaonyesha mkakati wa kuizuia ndani ya chama?

    Eti Chama cha demokrasia na maendeleo-upuuzi ! Cecil Mwambe aliyetangaza Nia ya kugombea uenyekiti ili ashindane na Mbowe anatukanwa kama si Mbunge wao kule mitandaoni. Baadhi yao 'wamtusio ' wamefikia hatua ya kumtusi yeye na familia yake kisa yeye kutangaza nia ile. Mytake;Tuelezwe rasmi...
  7. alexelias

    Mbunge wa Nkasi, Kessy amemwomba Rais Magufuli amnyonge mkandarasi aliyekula pesa za mradi wa maji

    Ndiye Mbunge pekee asiye na deni hata shilingi mia!
  8. alexelias

    Mbunge wa Nkasi, Kessy amemwomba Rais Magufuli amnyonge mkandarasi aliyekula pesa za mradi wa maji

    Mbunge wa Jimbo la Nkasi Mkoa wa Rukwa amemsihi Mheshimiwa Rais John Pombe Magufuli amnyonge na KUMUUA mkandarasi aliyekula pesa za mradi wa Maji wa mji mdogo wa Laela huko Mkoani Rukwa. Amesema hayo baada ya kupewa nafasi na Mheshimiwa Rais ili aweze kueleza ni kwa namna gani hata yeye...
  9. alexelias

    Rukwa: Rais Magufuli amtaka IGP kumshusha cheo na kumsimamisha kazi Kaimu RPC kwa kudharau amri halali ya Waziri Kangi Lugola

    Akihutubia mamia na makumi ya wananchi wa Mji mdogo wa Laela Mkoani Rukwa Mheshimiwa Rais John Pombe Magufuli amehoji ni kwasababu gani amri halali ya Waziri wa Mambo ya Ndani ya kuwataka Askari baadhi waliotuhumiwa na wananchi wa eneo hilo kwa matumizi mabaya ya ofisi na ulaji rushwa...
  10. alexelias

    ATCL yasitisha rasmi safari zake za Dar kwenda Johannesburg, Afrika Kusini

    Akizungumza na waandishi wa habari Mkurugenzi wa SHIRIKA la ndege Tanzania amesema safari za Tanzania kwenda Afrika ya Kusini hazipo tena hadi itakapotangazwa vinginevyo. 'Sababu ni zile zile tu' amesema Ladslaus Matindi ambaye ni Mkurugenzi wa SHIRIKA hilo. Hii ni kuanzia tarehe 07/10/2019 na...
  11. alexelias

    Kidiplomasia imekaaje hii ya Rais wa nchi nyingine jirani kutimba na walinzi wake wenye silaha kali!?

    Mapema leo Rais Magufuli katika hali isiyotarajiwa alitimba pale Nakonde Zambia akiwa na walinzi wake wenye siraha kali! Kwa wajuvi wa mambo ya Kidiplomasia imekaaje hiyo? Kingine,kwa nini Magufuli alipendwa na kusikilizwa na kushangiliwa kwa nguvu zote na wananchi wale wa Zambia kuliko Rais...
  12. alexelias

    Hali si hali tena ndani ya Chadema,Makundi ni bayana sasa ndani ya Chama.Mbowe aandika waraka mzito!

    Uchaguzi wa Kikanda ndani ya Chadema umedhihilisha bayana kwamba makundi yapo na imefikia hatua hata Mwenyekiti wa Chama hicho inaelekea yameanza kumshinda na hata yeye amekiri hilo. Kwa mfano,uchaguzi wa Kanda ya Kaskazini umekuwa na makundi yanayohatarisha usalama na uimara wa Chama na hali...
Back
Top Bottom