Mzee Jakaya Kikwete awaasa viongozi kuwa kujishusha hakukufanyi usiwe kiongozi. Kujimwambafai hakukufanyi uwe kiongozi zaidi

Sa
sasa hizo quote ni kwa ajiri ya nani.....ebu ajiulize kwanza yeye mwenyewe alivyokua madarakani alikuwaje......anakumbuka ule mgomo wa madaktari pale muhimbili alafu yeye akapaa akaenda Marekani..watu walianza kufa kwenye mawodi kwa kukosa matibabu...MI NAISHIA HAPO TU.
Two wrongs do not make a right
 
Lazima uwe nae, wote wendawazimu.
Kusema Nyerere alikuwa Msikivu ni uongo

Rejeeni hotuba zake za kugeuka Jiwe na kukataa kuachana na Azimio la Arusha

Jina la ‘Haambiliki ‘ chanzo ni ubishi wake sio usikivu

JPM anafuata Nyayo za Kambarage na sie wa Hovyo hovyo tupo nae bega kwa bega
 
Mara paa,Kikwete mgombea wa uRais kwenye uchaguzi Mkuu wa 2025!

Nawaza nakuwazua lakini ndoto zinaniamisha kuwa inawezekana kabisa Jakaya akawa mgombea wa CCM 2025 endapo tu Magufuli akiweza kumpigia chapuo kwenye mkutano wa Halmashauli kuu ya CCM ili aweze kupitishwa na hatimaye kuwa mgombea.

Kama iliwezekana Russia kwa ndugu Putin je itashindikana kweli hapa Tz!?

Japokuwa swali la kujiuliza je ITAKUWAJE ENDAPO JAKAYA M KIKWETE AKIPITISHWA NA KUWA MGOMBEA 2025!?

Acha kula muda mfupi kabla ya kulala.
 
Katiba ya Tanzania inamkataza MTU aliyewahi kuwa rais Wa Tanzania kwa awamu mbili kugombea urais tena mkuu, soma katiba.
 
Juzi/jana niliona video mahali,kiongozi anapigiwa kelele na mwananchi wake kuhusu maji anaambiwa wewe acha kiherehere na anaagizwa atolewe eneo la tukio.

Viongozi wa Africa wanawadharau sana wananchi wao.
 
Kuna nyuzi nyingine uwa sijui mnazianzisha mkiwa mnawaza nini

Katiba inaruhusu?

Mara mia ungesema akamuachia Shein ah Karume, lakin katiba kumuachia Kikwete hairuhusu,

Labda ungesema atengue katiba alafu awe na uhuru wa kufanya anavyotaka

Britannica
 
Unamaanisha kuna mtu ameambiwa tano zinamtosha?
Tupo gizani bado. Nahisi wastaafu wengi hawafurahii ujimwambafication unaoendelea.
Jiwe kawa Mungu mtu. Mawaziri wamebaki na kazi ya kumsifia saa 24.
Kafanya hiki, kaleta kile, ilikuwa hivi na sasa ni hivi. Anajenga picha kwamba miaka yote ya nyuma hakuna kitu kilifanyika
 
Kuna nyuzi nyingine uwa sijui mnazianzisha mkiwa mnawaza nini

Katiba inaruhusu?

Mara mia ungesema akamuachia Shein ah Karume, lakin katiba kumuachia Kikwete hairuhusu,

Labda ungesema atengue katiba alafu awe na uhuru wa kufanya anavyotaka

Britannica
Katiba ni kijitabu tu chenye maneno ambayo hata kwenye khanga yapo JPM kwa alivyo anaweza kufanya lolote na akaweza na hayupo wa kufanya fyoko!

Rejea manunuzi ya ndege za awali je kuna taratibu za takwa la kikatiba/sheria za manunuzi zilifuatwa!?
 
Tupo gizani bado. Nahisi wastaafu wengi hawafurahii ujimwambafication unaoendelea.
Jiwe kawa Mungu mtu. Mawaziri wamebaki na kazi ya kumsifia saa 24.
Kafanya hiki, kaleta kile, ilikuwa hivi na sasa ni hivi. Anajenga picha kwamba miaka yote ya nyuma hakuna kitu kilifanyika
Ni kama vile nchi imeanza 2015, swali ni je, hawakumjua?
 
Back
Top Bottom