Mbunge wa Nkasi, Kessy amemwomba Rais Magufuli amnyonge mkandarasi aliyekula pesa za mradi wa maji

alexelias

JF-Expert Member
Sep 1, 2017
2,032
3,198
Mbunge wa Jimbo la Nkasi Mkoa wa Rukwa amemsihi Mheshimiwa Rais John Pombe Magufuli amnyonge na KUMUUA mkandarasi aliyekula pesa za mradi wa Maji wa mji mdogo wa Laela huko Mkoani Rukwa.

Amesema hayo baada ya kupewa nafasi na Mheshimiwa Rais ili aweze kueleza ni kwa namna gani hata yeye asivyoridhishwa na maendeleo ya miradi ya maji Mkoani humo.

'Mheshimiwa Rais kama nikuelezavyo mara zote watu kama hawa ni bora uwanyonge' alisema Mheshimiwa Kessy.
 
Kama alivyozoea kuwapiga #spoku# za makalioni wafanyakazi wake? Hasa waliopita kwenye kituo chake cha mafuta pale Namanyere. Jamaa akitoka mzindaganjah ndio anafatia kwa utemi pande zile. Sijui kwanini kamati za ufundi zimemshindwa!
 
Huyo ni mtu poa sana hapendi kona kona
 
Huyo Mbunge atwambia kama sheria ya kuwanyonga mafisadi ilipitishwa na Bunge analolitumikia vinginevyo aache chuki binafsi
 
Huu ni uchochezi kwa Rais wetu mpendwa anataka kuiaminisha dunia kuwa Rais wetu ni muuaji? Ashindwe na alegee kwa kumpakazia Rais wetu.
 
Kama alivyozoea kuwapiga #spoku# za makalioni wafanyakazi wake? Hasa waliopita kwenye kituo chake cha mafuta pale Namanyere. Jamaa akitoka mzindaganjah ndio anafatia kwa utemi pande zile. Sijui kwanini kamati za ufundi zimemshindwa!
Pimbi kweli huyu au kwa kuwa yeye aliwaingizia spoku za moto Wafanyakazi wake aliohisi wamemuibia? Mbona hakunyongwa?
 
Hizi kauli Ni za kutulia mashaka, ipo siku zitakuwa zikitekelezwa maana zitakuwa za kawaida watu kuzisikia na kutekelezwa....
 
Back
Top Bottom