Tetesi: Mwandosya kanyimwa kibali cha kuingia Ikulu toka mwezi Juni!

alexelias

JF-Expert Member
Sep 1, 2017
2,032
3,198
Wazee wetu na nyinyi muachage kujifanya wajuaji.

Mark James mwandoysa aliyepata kuwa Waziri wa mda mrefu wa awamu ya tatu na ya nne inasemekana kanyimwa kibali cha kwenda kuonana na Rais toka mwezi Juni.

Chanzo cha uhakika toka watu wake wa karibu vinatabanaisha bwana mkubwa inawezekana hataki hata kumsikia achilia mbali kuonana naye.'Toka mwezi wa sita anabembeleza aonane na bwana mkubwa lakini hajapatiwa jawabu hadi hivi leo'alisema mnyetishaji wetu.

Mytake;Mwandosya ulichagua kumpinga JPM sasa ya nini unabembeleza kwenda kujikomba na kupiga magoti ilhali wewe ni mbabe!?
 
Wazee Uwa Wananishangaza Sana

Mtu Umekuwa Waziri Zaidi Ya Miaka 15 Unabembeleza Ili Iweje ?

Mtu Umekuwa Mtumishi Wa Umma Toka Miaka Ya 80 Uko Bado Unabembeleza Vyeo?;,

Profesor Mzima Si Ukae Tu Na Wajukuu Ule Pension( Ulichovuna)

Vijana Watafanya Kazi Gani Kama Wazee Bado Wanataka Fulsa Za Kubebwa?
 
Mwandosya syo profesa aliyeokotwa jalalani kama yule mpuuzi wa sjui tabora, ametia aibuuu
 
Wazee Uwa Wananishangaza Sana

Mtu Umekuwa Waziri Zaidi Ya Miaka 15 Unabembeleza Ili Iweje ?

Mtu Umekuwa Mtumishi Wa Umma Toka Miaka Ya 80 Uko Bado Unabembeleza Vyeo?;,

Profesor Mzima Si Ukae Tu Na Wajukuu Ule Pension( Ulichovuna)

Vijana Watafanya Kazi Gani Kama Wazee Bado Wanataka Fulsa Za Kubebwa?
Achana na mpiga ramli huyo. Mwandosya na Magu walikutana huko Tukuyu na wakaongea vizuri tu.
Mwandosya aliomba ujenzi wa barabara ya Km 17 iongezwe hadi angslau 21, lakini rais Magufuli alikubali ombi hilo ma kuongeza hadi Km 71.
 
Ikulu kufanya nini..vyeo tena nini..?
Ndo maana ajira hamna, wazee bado wanataka kuendelea tu..du..!!
Wengine walisema Magu mshamba, sasa wao ndo wanaenda kumgongea hodi..siasa nazo..du..!!
 
Ratiba ni ndefu hata jamaa flani flani nasikia wapo kwenye foleni kitambo ila jamaa amewakazia!
 
Wazee Uwa Wananishangaza Sana

Mtu Umekuwa Waziri Zaidi Ya Miaka 15 Unabembeleza Ili Iweje ?

Mtu Umekuwa Mtumishi Wa Umma Toka Miaka Ya 80 Uko Bado Unabembeleza Vyeo?;,

Profesor Mzima Si Ukae Tu Na Wajukuu Ule Pension( Ulichovuna)

Vijana Watafanya Kazi Gani Kama Wazee Bado Wanataka Fulsa Za Kubebwa?
Itakuwa kwa ajili ya kizazi chake, watoto wake labda wananyukwa
 
Wazee wetu na nyinyi muachage kujifanya wajuaji.

Mark James mwandoysa aliyepata kuwa Waziri wa mda mrefu wa awamu ya tatu na ya nne inasemekana kanyimwa kibali cha kwenda kuonana na Rais toka mwezi Juni.

Chanzo cha uhakika toka watu wake wa karibu vinatabanaisha bwana mkubwa inawezekana hataki hata kumsikia achilia mbali kuonana naye.'Toka mwezi wa sita anabembeleza aonane na bwana mkubwa lakini hajapatiwa jawabu hadi hivi leo'alisema mnyetishaji wetu.

Mytake;Mwandosya ulichagua kumpinga JPM sasa ya nini unabembeleza kwenda kujikomba na kupiga magoti ilhali wewe ni mbabe!?
inasemekana prof alitaka kwenda kumpa jamaa makavu live mule mule Magogoni ndo maana!
 
Achana na mpiga ramli huyo. Mwandosya na Magu walikutana huko Tukuyu na wakaongea vizuri tu.
Mwandosya aliomba ujenzi wa barabara ya Km 17 iongezwe hadi angslau 21, lakini rais Magufuli alikubali ombi hilo ma kuongeza hadi Km 71.
Huna hulifahamulo kaa kimya!
 
Back
Top Bottom