Search results

  1. Borakufa

    Piga Kura Linda Kura ndani Mita 10

    Wanaume mkifika vituoni hakikisheni mnakuwa watulivu sana halafu msiwe na haraka ya kuwahi kupiga kura! Hakikisheni mnawatanguliza wadada,wamama,wazee,walemavu na wagonjwa! yani kueni bize kuuliza nani anajisikia vibaya atangulie kupiga kura! Yani mdogo mdogo! wengine mnaweza kujiangusha vile na...
  2. Borakufa

    Wanalazimisha!!Basi ikiwa watafanikiwa nchi hii iitwe serikali ya jeshi la polisi la Tanzania!!

    Kila kukicha ni mipango michafu tu ya kulazimisha ushindi! Kwa hivi sasa mipango yote ovu inayopangwa kuvuruga matokeo watekelezaji wake wakuu ni jeshi la polisi la Tanzania. Watawala waovu wanazidi kushupaza shingo zao! Hawafikiri kitu kingine bali kushinda tu kwa vyovyote! EH MUNGU ULIE MWEMA...
  3. Borakufa

    Ghadhabu ya Mwenyezi Mungu inaweza kuwa juu yetu baada ya Uchaguzi

    Watu wako biz,tena biz kinoma wanapanga mikakati na mipango hevi ya kuharibu uchaguzi,kulazimisha bao la mkono yani kufanya lolote lile ili mradi tu wabaki madarakani wakati wanajua ndani ya sakafu za mioyo yao,pumzi imekata!! hawapendwi tena ila tu kwa wachache wanao faidi nao wakiwa...
  4. Borakufa

    Mkwara wa JK na Wateule wake sasa unazichoma hata kura chache walizokuwa nazo!

    Habarino JF. Mama yangu na mke wangu ni makada wa kufa wa ccm!! Wamejiandikisha kupiga kura katika jimbo la arusha mjini kata ya Levolosi. Mara baada ya kusikia mkwara wa JK kisha na wateule wake wengine(kwenye nec,wakuu wa mikoa na wilaya) juu ya suala la mita 200,halafu kuonyeshwa magari...
  5. Borakufa

    Kampeni za Uchaguzi na Umeme zimenoga

    Wanamkeka habarino. Wakati kampeni za uchaguzi zikipamba moto,tanesco nao wamenoga kwenye kampeni zao kwenye umeme.:glasses-nerdy: Juzi kati walizuka na kauli mbiu tunaunganisha bomba kwenye mitambo hivyo wabongo tuwe na subira issue ya mgao imepata dawa. Wakaunganisha weeeeee! mpaka...
  6. Borakufa

    CCM inatafuta huruma ya wazungu!!

    Baada ya kuona mambo yamewabana kona zote katika kampeni za uchaguzi mkuu ujao(25.10.2015) na ili kuhakikisha wanabaki madarani kwa njia yoyote ile,katibu mkuu wa chama cha mapindizi ndugu,kanal Abulahman Omary Kinana (Bingwa wa propaganda)ametupia makala katika mtandao wa The Hill wa usa ili...
  7. Borakufa

    Vituo vya kupigia kura kuchelewa kufunguliwa

    Wanajamvi kama mnakumbuka ni hivi juzi kati kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa kulifanyika hujuma ya kila namna ili kuhakikisha kuwa ccm inapata matokeo mazuri katika uchafuzi ule. Kama sote tunavyofahamu wasimamizi wa majimbo katika uchaguzi huu mkuu ni watu wale wale waliosimamia uchaguzi...
  8. Borakufa

    Kinachotokea znz ni Hatari sana Lazima tuwe makini! (Jicho la tatu)

    Ndugu zangu watanzania! Hoja ya jumuia ya uamusho ilikuwa hawautaki muungano! Lakini tayari rais wa jamuhuri ya muungano alikwisema muungano haujadiliki lakini pia cc ya ccm ilikwishasema muungano lazima uwe wa serikali mbili siyo vinginevyo!!! Hili ni bomu kwa zanzibar na Tanganyika...
  9. Borakufa

    Dua za Mh: Lema Mungu aliyejuu amezisikia!!

    "Ndugu zangu wana wa Arusha, serikali ya ccm imewapora mbunge wenu kwa kuitumia mahakama! huu ni uhuni na ni dhambi kubwa! Haiwezekani haki ya watu zaidi ya elfu 56 kuporwa na watu wachache eti kwa kuwa tuliwapa madaraka na sasa wanayatumia kuwadhulumu ninyi! kwa matakwa yao ya kifisadi"...
  10. Borakufa

    Hainess na Machamuli Updates!

    Viva CDM. Wana JF waheshimiwa makamanda wa mwanza walipigwa transfer toka bugando mpaka muhimbili, tupeni taarifa zao sasa wanaendeleaje? maana ushindi mtamu unatufanya kama tunawasahau vile!! pls mwenye habari zao wanaendeleaje mwaga hapa watu tutulie. Nawasilisha.
  11. Borakufa

    Wana Habari wapata ajali mbaya Arumeru

    Wakiwa wanatoka katika Kata ya Ngarenanyiki wakielekea usa river wakitumia gari la mbunge wa musoma mjini V. Nyerere (Kiboko wa Mkapa) wanahabari watano wa dira ya Mtanzania,Tanzania Daima, Jambo leo, Sunrise Radio na Majira wamepata ajali! hawajaumia sana isipokuwa Grace Mbise Majira hali yake...
  12. Borakufa

    Hii ni roho ya Muuwaji

    1.Mtu anayeweza kuipeleka gerezani maisha familia nzima (Nguza & family) kwa kosa la kutunga tu!!huyu ni muuaji katili. 2.Mtu anaweza kuwazulia ubaya,kuwachafua na kuwadhalilisha wenzake ili yeye ateuliwe kuwa mgombea uraisi kupitia chama chake huyu ni kama muuaji tu. 3.Mtu anayetoa amri kwa...
  13. Borakufa

    Dar- es-salaam Wake up!

    Katika utafiti wangu mfupi nimegundua wakazi wengi wa jiji la Dar es salaam wanachangia kwa kiasi kikubwa nchi hii kutoendelea. Imetokea mara nyingi katika nchi nyingine linapotokea jambo likafanywa na serikali kinyume na matakwa ya wananchi basi raia wa miji mikubwa kama Dar katika nchi husika...
  14. Borakufa

    Radio Imaan, Shura ya Maimamu, Basuta na Bakwata Mnatudhoofisha Waislam kwa siasa za Tanzania

    Islam ni dini iliyokamilia! Haiitajiki abadani nasema!! mfumo mwingine toka nje ya uislam ili utendeke au ufanye kazi sawia! Uislam ni mfumo pekee ambao hukuacha chochote! yani hata jinsi ya kunya (kujisaidia mtaniwia radhi) dini hii imefundisha. Ole wenu nyie shura ya maimamu, ole wenu ninye...
  15. Borakufa

    Jenista Muhagama amfunika Makinda!

    Dah wana JF mmemcheck Jenista Muhagama alivyoliongoza Bunge leo japokuwa U-CCM ulimwathiri wakati akiliongoza Bunge leo toka asubuhi lakini ameonekana imara na kujiamini kuliko Mama Makinda?
  16. Borakufa

    CHADEMA ina Wanachama wangapi?

    Hey pipoo Chama kina kinachanja mbuga! kwa sasa kinamashabiki, wakereketwa na wapenzi kibao! lakini bado zijaziona juhudi za makusudi za kuhakikisha wale wote wanaoonyesha mapenzi makubwa kwa chama chetu wanapewa uwanachama haraka. Tunayo miaka 4 tu ya kufanya kazi kwa bidii ili kuufikia...
  17. Borakufa

    Masikini TBC

    Heshima kwenu wakuu! Tido Muhando alipofanyiwa zengwe TBC wengine tulijua nini kinafuata! Shirika hili ambalo ni mali yetu sisi wananchi lilisimama katika kutoa haki japo lilikuwa likibanywa kwa njia moja au nyingine wakati wa ukurugenzi wa Tido Muhando. Kweli alikuwa na mapungufu yake kama...
Back
Top Bottom