Dua za Mh: Lema Mungu aliyejuu amezisikia!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dua za Mh: Lema Mungu aliyejuu amezisikia!!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Borakufa, Apr 19, 2012.

 1. Borakufa

  Borakufa JF-Expert Member

  #1
  Apr 19, 2012
  Joined: May 26, 2011
  Messages: 1,503
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  "Ndugu zangu wana wa Arusha, serikali ya ccm imewapora mbunge wenu kwa kuitumia mahakama! huu ni uhuni na ni dhambi kubwa! Haiwezekani haki ya watu zaidi ya elfu 56 kuporwa na watu wachache eti kwa kuwa tuliwapa madaraka na sasa wanayatumia kuwadhulumu ninyi! kwa matakwa yao ya kifisadi"

  "Msiogope ninyi mlio wengi kwani mimi mmoja mtanikatisha tamaa! Vumilieni twendeni tukafunge siku saba, na siku ya nane tukatoe sadaka kwa watu masikini, wajane na mayatima nina uhakika Mungu atatujibia!"

  "Wao wana pesa na madaraka sisi tuna MUNGU"

  Says by Mh: Lema at NMC- Unga LTD on 07.04.2012
   
 2. Janjaweed

  Janjaweed JF-Expert Member

  #2
  Apr 19, 2012
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 9,528
  Likes Received: 882
  Trophy Points: 280
  thread nyingine sijui mtu anaanzisha akiwa amevuta bange au yuko wapi aisee
   
 3. Ndachuwa

  Ndachuwa JF-Expert Member

  #3
  Apr 19, 2012
  Joined: Mar 8, 2006
  Messages: 4,530
  Likes Received: 725
  Trophy Points: 280
  Did you mean Hon Mizengo Pinda he is being voted out?
   
 4. andrewk

  andrewk JF-Expert Member

  #4
  Apr 19, 2012
  Joined: Apr 13, 2010
  Messages: 3,103
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  yametimia naona huko arusha na sengerema
   
 5. Borakufa

  Borakufa JF-Expert Member

  #5
  Apr 19, 2012
  Joined: May 26, 2011
  Messages: 1,503
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Kwa nini mzee?? si lazima usome au??
   
 6. Janjaweed

  Janjaweed JF-Expert Member

  #6
  Apr 19, 2012
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 9,528
  Likes Received: 882
  Trophy Points: 280
  sasa si umeandika tusome au??
   
 7. MVUMBUZI

  MVUMBUZI JF-Expert Member

  #7
  Apr 19, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 4,970
  Likes Received: 666
  Trophy Points: 280
  Hivi Borakufa kwanini utuweke roho jujuu? Una maana dua zipi zimejibiwa mbona umekurupuka sana hueleweki ?
   
 8. Janjaweed

  Janjaweed JF-Expert Member

  #8
  Apr 19, 2012
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 9,528
  Likes Received: 882
  Trophy Points: 280
  and that is my point, kakurupuka... ameanzia katikati na kuishia katikati, sioni kichwa wala mkia wa post yake!!!
   
 9. M

  Mabelana JF-Expert Member

  #9
  Apr 19, 2012
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 441
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 60
  Anaandika habari za kishabiki hapa, kwa nini usiende nyumbani kwake ukampongeze huko, acha uzembe huna cha kuandika kaa kimya ok!
   
 10. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #10
  Apr 19, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,322
  Likes Received: 22,145
  Trophy Points: 280
  Zidumu fikra za mwnyekiti
   
 11. Borakufa

  Borakufa JF-Expert Member

  #11
  Apr 19, 2012
  Joined: May 26, 2011
  Messages: 1,503
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0

  Mtu anapokuwa amefunga si anakuwa anafanya maombi kwa muumba wake jamani! sijakurupuka labda tu imani yako ni tofauti na yangu na Lema!
  Maana kama imani yako ni sawa na yetu means unajua mtu anafunga(Kuacha kula) ili iweje siyo!!
   
 12. Janjaweed

  Janjaweed JF-Expert Member

  #12
  Apr 19, 2012
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 9,528
  Likes Received: 882
  Trophy Points: 280
  Umefunga nini, na majibu uluyoyaona ni yapi?

  Andika kama mtu aliyefunga na kuomba basi... clear message!!! sio kama mtu aliyelamba bange na kidumu ya mbege
   
 13. Borakufa

  Borakufa JF-Expert Member

  #13
  Apr 19, 2012
  Joined: May 26, 2011
  Messages: 1,503
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Pole pole member! post 20 unawashwa huko chini mmh! na bado! mimi shabiki kweli sijui wewe ni nani ha ha ha!
   
 14. Mnama

  Mnama JF-Expert Member

  #14
  Apr 19, 2012
  Joined: Oct 13, 2010
  Messages: 1,651
  Likes Received: 358
  Trophy Points: 180
  Tuelezee zaidi !
   
 15. Borakufa

  Borakufa JF-Expert Member

  #15
  Apr 19, 2012
  Joined: May 26, 2011
  Messages: 1,503
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Nimeshaeleza mnama
   
 16. AdvocateFi

  AdvocateFi JF-Expert Member

  #16
  Apr 19, 2012
  Joined: Jan 15, 2012
  Messages: 10,705
  Likes Received: 592
  Trophy Points: 280
  Kweli Mungu amejibu maombi ya mzee lema kwani majambazi (CCM) walimvua ubunge kwa hila na chuki binafsi but mi naamini kupitia maombi ya mhe lema Mungu akaamua kuwapalanganisha cccm wao kwao maani walimjia lema kwa njia 1 but Mungu akawatawanisha kwa njia 7, na hata tunavyoona wimbi la vijana wengi toka CCM kuhamia CDM ni ukweli unaothibitisha kuwa Maombi ya G. Lema yamejibiwa.
  Solidarity forever
  Tolerance gives power.
   
 17. kookolikoo

  kookolikoo JF-Expert Member

  #17
  Apr 19, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 2,537
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Hujaeleweka!
   
 18. Borakufa

  Borakufa JF-Expert Member

  #18
  Apr 19, 2012
  Joined: May 26, 2011
  Messages: 1,503
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Kokoliko, Lema siku hiyo akihutubia katika viwanja vya NMC Unga ltd alitutaka wananchi wa arusha pamoja na yeye tuingie kwenye maombi kwa kufunga siku saba! alitusihi katika siku hizo saba kila mmoja aliyegushwa na dhulma hiyo aombe kivyake na siku ya nane tufungue na tukatoe sadaka kwa masikini,mayatima,wajane na wenye shida nyingine! Mimi nilifunga siku saba na nimeomba mambo mengi na siku ya mwisho nilifanya kama Mh Mbunge wetu alivyotuagiza! sasa hujaelewa nini??
   
 19. Borakufa

  Borakufa JF-Expert Member

  #19
  Apr 19, 2012
  Joined: May 26, 2011
  Messages: 1,503
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Hizi ni dalili za Ukada:blabla:
   
 20. Janjaweed

  Janjaweed JF-Expert Member

  #20
  Apr 19, 2012
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 9,528
  Likes Received: 882
  Trophy Points: 280
  ni kweli, mimi ni kada wa chadema, kuna kosa lolote??
   
Loading...