Search results

  1. 2017 No Name

    Mkuu wa Taasisi ya Teknolojia Dar es Salaam, Prof Ndomba hana uwezo wa kuiongoza Taasisi hiyo, abadilishwe

    Sa kuwa na vyeti halisi ndo kigezo cha weledi wa kazi.,. Huyo Ndomba anaelalamikiwa ana vyeti feki? Sent using Jamii Forums mobile app
  2. 2017 No Name

    Mkuu wa Taasisi ya Teknolojia Dar es Salaam, Prof Ndomba hana uwezo wa kuiongoza Taasisi hiyo, abadilishwe

    Mfano, Register wa D.I.T sifa gani kazi ya hizi hana??? Sent using Jamii Forums mobile app
  3. 2017 No Name

    Mkuu wa Taasisi ya Teknolojia Dar es Salaam, Prof Ndomba hana uwezo wa kuiongoza Taasisi hiyo, abadilishwe

    Kwa hilo namuunga mkono Ndomba, D.I.T hamna wafanyakazi kabisa. Sent using Jamii Forums mobile app
  4. 2017 No Name

    Mkuu wa Taasisi ya Teknolojia Dar es Salaam, Prof Ndomba hana uwezo wa kuiongoza Taasisi hiyo, abadilishwe

    D.I.T sio Ndomba tu... Ni wafanyakazi karibia wote wana hizo sifa. Uliza mwana D.I.T yoyote aliepata shida ambayo inatakiwa kutatuliwa na uongozi. Inawafanyakazi wa hovyo sijawahi ona sehemu yoyote. Sent using Jamii Forums mobile app
  5. 2017 No Name

    Mume anahitajika umri 38-50

    Ingependeza kama angekuja mwenyewe,.. Sent using Jamii Forums mobile app
  6. 2017 No Name

    Why don't poems pay in Tanzania?

    Geuza mashairi kuwa nyimbo... Sent using Jamii Forums mobile app
  7. 2017 No Name

    Rukwa: Mwajiri achinjwa akidaiwa mshahara

    Na yeye aliona bora tu afe kuliko kutoa hio laki tatu na nusu??? Sent using Jamii Forums mobile app
  8. 2017 No Name

    Rukwa: Mwajiri achinjwa akidaiwa mshahara

    Imagine, unakufa sababu ya deni la 360k. Si angemlipa tu hela yake au ka hana hela asingemuajiri tuu. Inasikitisha! Sent using Jamii Forums mobile app
  9. 2017 No Name

    Sergio Ramos katumia Kiswahili katika akaunti yake

    Kabla ya movie kulikua na katuni ya lion king, mwaka jana ndo wakatengeneza movie yake. Ni kama jungle book, ilikua katuni baadae wakatengeneza movie. Sent using Jamii Forums mobile app
  10. 2017 No Name

    Kula tunda kimasihara kunavyoigarimu ndoa yangu

    Bf Tulinagwe,Mi sina cha kukushauri, ila huyo mtoto wa nje uliemleta ndani mkeo akirudi mtafutie pa kwenda maana shughuli atakayoipata sio ya nchi hii. Mi naona ka uliona hiko kichanga kitaharibu privacy yako na mkeo tu sioni kingine cha msingi hapo, mwambieni tu shemeji atafute yaya wa kukaa na...
  11. 2017 No Name

    Mafunzo ya Microsoft Excel

    Natumia Udemy. Sio free. Sent using Jamii Forums mobile app
  12. 2017 No Name

    Mafunzo ya Microsoft Excel

    Salam! Nimeanza kujifunza kutumia Microsoft Excel kupitia online courses, nia yangu ni kufikia expert level. Changamoto niliyonayo ni kukosa kazi za kuapply vitu nnavyojifunza na kutambua changamoto zinazoendana na kufanya kazi kwenye program hii. Kama una kazi inayotakiwa kufanywa kwenye...
  13. 2017 No Name

    Niruhusu nikusaidie kutatua changamoto yako kiafya

    Nna tatizo la kuvimba miguu hasa joint, goti na foot na hua napata maumivu makali sana mpaka nashindwa kutembea. Mara ya mwisho kwenda hospitali nilifanyiwa vipimo vya damu na nliambiwa Uric Acid imezidi mwilini ndo maana napata hilo tatizo. Wakanishauri niache kula nyama ya ng'ombe na mbuzi na...
  14. 2017 No Name

    Unapokuwa out of mood (down) wimbo gani huwa unapenda kusikiliza?

    Future - My Savages Lil Uzi Vert - Xo Tour Life Future - Codeine Crazy Future - Hardly Meek Mill - 1942 Flows Meek Mill ft Tory Lanez- Litty Meek Mill- Blue Notes Meek Mill - Championships Meek Mill - Young Black America Dr.Dre - Talking To My Diary Rich Hommie Quan - ''Promise I'll Never Stop...
  15. 2017 No Name

    Nifanyaje ili anielewe kuwa sikufanya makusudi kuanika picha zake za utupu?

    Hahaha,.. Sema kati ya ujinga ambao nashindwaga kuuelewa ni huu wa kutumiana nudes,..hua mnatumiana za nini. Tushaijua hio app uliyotutangazia,tutaitafuta,asante kwa tangazo.
  16. 2017 No Name

    Kampuni gani unaikubali kwa kutoa movies kali kati ya hizi?

    Mi nilikuaga siangalii animations,ila coco na moana zilinifanya nianze kuangalia animations.,. Marvel studios na Universal mi ndo nawaelewa zaidi kwa movie.
  17. 2017 No Name

    Msaada wa Mawazo wanabodi nimedsco chuo.

    Apply tena upya afu badirrisha kozi.,. Nimeona tangazo la TCU la kuruhusu waliodisco kuapply upya leo. Au ongea na lecturers wako kwanza afu ndo uapeal.
  18. 2017 No Name

    Jifunze kitu hapa - TRUE STORY

    Nilijua ni mimi tu napitia hili,..kumbe nna mwenzangu huku,.. I still believe in God.
Back
Top Bottom