Search results

  1. Culture Me

    Kwa Wapendanao tu..

    Huu ndio mwezi wetu wale wote tulio penzini, yaan lile penzi shatashata sio penzi la upande mmoja, raha ya penzi liwe 'nachuro' sio penzi la mizizi na kuaguliwa, Anyway, kikubwa penzi liwepo na lionekane, mnunuliane mazawadi, toaneni outs, nunulianeni maua, mpeane mipesa na muambizane maneno...
  2. Culture Me

    Nijiandae vipi kuingia Miaka 30?

    Guys, September naingia miaka 30 kwa hiyo nipo kwenye kumalizia my 20s [emoji4] Nikifikiria nakua Excited and Nervous at the same time, What does it feel like to be in 30s? will my skin change? will my brain change? will i grow wrinkles? Natakiwa nibadilishe kipi kwenye maisha yangu ili...
  3. Culture Me

    Dada ambaye hujaolewa na kaka ambaye hujaoa, unakutana na changamoto zipi katika jamii yako?

    Leo katika pita pita zangu kwenye mitandao nikakuta mtandao mmoja watu wanatokwa na mapovu si Me si Ke, ikabidi niulize kulikoni ndio naambiwa wamechoka kuulizwa "fulani utaolewa lini? Fulani utaoa lini? Daah! mpaka sasa huna mtoto umri unaenda, utazaa lini?" Hasa wadada ndiyo wanaonesha...
  4. Culture Me

    Wanaume nao hunyanyaswa kingono na Wanawake.

    Tumezoea kesi nyingi za wanawake wananyanyaswa kingono na wanaume, lakini tunafumbia macho upande wa pili wa shilingi, wanaume pia hunyanyaswa kingono na wanawake, cha kusikitisha wanaume hawasemi kwa kuhisi aibu, kuchekwa, kubezwa na hata kutokuaminiwa. Kuna wengine hushikwa makalio na...
  5. Culture Me

    Baby my ex hana pakuishi anaomba ajihifadhi hapa kwetu.

    Mpenzi wako anakuambia kua ex wake amemcall na kumwambia hana pa kuishi anaomba msaada wenu wa hifadhi kwa muda ajipange. Je utamjibu nini?? (Jibu kama wewe ndie mume/mke uliyeletewa hilo jambo na umpendae)
  6. Culture Me

    Presha ya Macho chanzo na tiba yake ni nini?

    Madaktari na Wauguzi naomba mnipe elimu juu ya huu ugonjwa wa presha ya macho, na je inatokana na nini hiyo presha na jinsi ya kujilinda nayo ni vipi? Mama yangu kaambiwa jicho lake moja presha imezidi hivyo kunusuru afanyiwe upasuaji, sasa nawaza hakuna tiba nyingine zaidi ya upasuaji? tiba...
  7. Culture Me

    Kama Ex Girlfriend/Boyfriend wako Anaungua, je utatumia nini kuzima Moto?

    Mimi kama namkuta ex wangu anaungua na moto nitatumia Petrol kuuzima [emoji849][emoji19], Guys, ngoja tuone wapenzi wetu wa zamani walitutendea/tuliwatendea yapi na kama tumesamehe au bado,
  8. Culture Me

    You Raise Me Up by Josh Groban.

    Verse 1. When I am down and, oh my soul, so weary When troubles come and my heart burdened be Then, I am still and wait here in the silence Until you come and sit awhile with me. Chorus. You raise me up, so I can stand on mountains You raise me up, to walk on stormy seas I am strong, when I...
  9. Culture Me

    Asexual People: Tunaishi nao, Ndugu zetu, Rafiki zetu, Pengine hata ni wewe ila hujijui

    Asexual ni wale watu wasiopatwa msisimko wa mapenzi/mahaba kwa mtu yeyote, wengine wanaweza kua kwenye mahusiano lakini wakawa hawataki kufanya mapenzi, Yaani hawajisikii kushiriki sex wala hawafurahii tendo hilo, Unaweza kua Straight, bisexual, Gay au Lesbian na ukabaki ulivyo bila kujiingiza...
  10. Culture Me

    Bob Marley- could you be Loved.

    Chorus, Could you be loved and be loved? Could you be loved and be loved? Verse 1, Don't let them fool ya, Or even try to school ya, Oh, no We've got a mind of our own, So go to hell if what you're thinking is not right, Love, would never leave us alone, A-yin the darkness there must come out...
  11. Culture Me

    THE JACKSON 5 - I'LL BE THERE.

    You and I must make a pact, we must bring salvation back, Where there is love, I'll be there. I'll reach out my hand to you, I'll have faith in all you do, Just call my name and I'll be there. And oh - I'll be there to comfort you Build my world of dreams around you, I'm so glad that I found...
  12. Culture Me

    Ni sahihi Ex boyfriend/girlfriend awe na mawasiliano ya karibu na ndugu/rafiki yako?

    Guys, nimeletewa kesi hapa nimeshindwa kuitatua peke yangu nikasema niwashirikishe na nyie wakubwa wenzangu. Mdada aliachana na boyfriend wake ajabu ndugu yake ameshikana urafiki na huyo shemeji yake wa zamani, yaani kupika na kupakua, outings kama zote, kupostiana ndio mama weee whatsapp...
  13. Culture Me

    COAT OF MANY COLORS BY DOLLY PARTON.

    Dolly Parton - Coat Of Many Colors. Back through the years I go wanderin' once again Back to the seasons of my youth I recall a box of rags that someone gave us And how my momma put the rags to use There were rags of many colors But every piece was small And I didn't have a coat And it was way...
  14. Culture Me

    Mwanamke anaweza kupata ujauzito kama akitumia bomba la sindano kuingiza mbegu za kiume?

    Salaam, Nahitaji kujua kama mwanamke akipata mbegu za kiume akaweka kwenye bomba la sindano na kujidunga ukeni anaweza kupata mimba? Hapa nazungumzia ile ya kinyumbani sio ya kwenda hospital na kupandikizwa. Wajuzi nawaombeni wale wenzangu wa nje ya mada please msichangie chochote piteni tu...
  15. Culture Me

    Andika "LoL" kama umeelewa picha.

    LoL.
  16. Culture Me

    Inakuaje mpenzi anakuficha kitu kwa miaka mingi, je anakua hakuamini?

    Guys, tangu jana nimekua nina mawazo sana, sielewi nifanye nini ili nikae sawa ingawa najua litapita ila sijui litachukua muda gani. Ipo hivi, jana mpenzi wangu ameniambia siri aliyoificha kwa miaka mingi kua ana mtoto mkubwa tu alizaa miaka mingi iliyopita. Kiukweli sijaumizwa na yeye kua na...
  17. Culture Me

    Ellen Degeneres and her wife Portia DeRoss met Kagame in Rwanda

    Mchekeshaji na Tv Show host maarufu nchini Marekani Ellen na mkewe Portia walikua nchini Kenya kwa mapumziko baadae wakaenda Rwanda na kukutana na Rais Kagame, Ellen na Portia wana project ya kujenga 'kampasi' kwa ajili ya 'kusapoti' gorillas.
  18. Culture Me

    Msaada: Blackberry Z10 kuinstall android apps

    Guys, nina hiyo simu naiangalia kama picha nimejaribu vyote sijaambulia kitu, google play haisomi, nimepata Estore inabagua apps, Amazon store ndio kabisaa apps nyingi hakuna. Anayejua hizi Blackberry 10 zinavyo run msaada maana nimeangalia you tube sijaambulia kitu, mizunguko mingi.
  19. Culture Me

    Redemption Songs by Bob Marley

    VERSE: Old pirates, yes, they rob I, Sold I to the merchant ships, Minutes after they took I, From the bottomless pit, But my hand was made strong, By the hand of the Almighty. We forward in this generation Triumphantly. CHORUS: Won't you help to sing These songs of freedom? 'Cause all I ever...
  20. Culture Me

    Msaada wa MENU ya chakula kwa wiki nzima

    Hi Guys, Kama kichwa cha habari kinavyojielezea, naomba kwa ajuaye Menu nzuri ya chakula kwa wiki nzima isiyojirudia plz aniambie. Karibuni.
Back
Top Bottom