Culture Me
JF-Expert Member
- May 24, 2017
- 10,493
- 21,453
LoL.
I think the girl has three hands... lol[emoji3][emoji3]I see the white hand. Lol(o) 😀
Indeed, this guy went too far... lol.Photoshoped..
Its no photoshop, she must be an indian goddess, see all the assets and mystical powers she got! Three hands is no big deal. 😀I think the girl has three hands... lol[emoji3][emoji3]
what a photoshop.
Wewe umetoka kapa mkuu.Nimeona hapo juu kidogo ya goti la Msela kuna kitu kimevimba!!(dushe?) limefikaje huko jamanni? Na Demu ana paja upande mmoja na Upaja upande mwingine!!
Lol...Bidada paja la kushoto limelizdi ukubwa la kulia.
Hahaha msela kasahau hata kutoa Tag kwenye suruali... hehehe paja upande mmoja limebonyea... photoshop.Nimeona hapo juu kidogo ya goti la Msela kuna kitu kimevimba!!(dushe?) limefikaje huko jamanni? Na Demu ana paja upande mmoja na Upaja upande mwingine!!
Lol.... Indian Goddess indeed.Its no photoshop, she must be an indian goddess, see all the assets and mystical powers she got! Three hands is no big deal. 😀
Lol... aangalie vzr ataelewa.Wewe umetoka kapa mkuu.
Hahaha sio mbaya kama umeelewa.De Gea mikono mia mia.... Samahani siwezi kuandika hilo neno ambalo wanaume wa Dar wanalipenda kama dada zao.
Hapana ule mkono ni wa mtu mwingine ambae alikua kwenye hiyo picha kabla hajamtoa na kuweka picha ya huyo mdada.... photoshop...angalia vzr hata pozi kati ya paja la jamaa na paja la mdada... lolule mkono ni wa mwanaume mwenyewe lol
Huyo anayesema nimetoka kapa atakuwa hajaona hata hilo paja la Msela lilivyokaa kimagumashi!! Au unatoa zawadi kwa mshindi?Hapana ule mkono ni wa mtu mwingine ambae alikua kwenye hiyo picha kabla hajamtoa na kuweka picha ya huyo mdada.... photoshop...angalia vzr hata pozi kati ya paja la jamaa na paja la mdada... lol
Try your best not to use this word LoL ...one of its transilation is Lucifer our Lord..!!!
Kama anatoa zawadi na aseme tu. Tuliowai mapema akidhubutu kutunyima haki yetu....enheheheee! 🙂Huyo anayesema nimetoka kapa atakuwa hajaona hata hilo paja la Msela lilivyokaa kimagumashi!! Au unatoa zawadi kwa mshindi?