Search results

  1. B

    Nauza mahindi meupe. Napatikana Mbinga, Ruvuma

    Kwa bahati nzuri hayo ndio MAHINDI yaliyo mengi kwa mwaka huu kwani yale yenye punje Nene kulikuwa na uhaba wa mbegu kwa msimu huu wa kilimo, hivyo wakulima wakalazimika kupanda mbegu hizo za punje ndogo.
  2. B

    Nauza mahindi meupe. Napatikana Mbinga, Ruvuma

    Ndiyo mkuu hizo ndio gharama halisi za mzigo kwa sasa Hadi Dodoma, na kuhusu kukauka ondoa shaka huku nilipo MAHINDI yanaanza kukauka mwezi wa nne mwishoni mvua za masika zinapokoma, hivyo MAHINDI yamekauka mwezi wa Tano na sita wote shambani muda huu ndio wanavuma. Kuhusu uhakika wa mzigo na...
  3. B

    Nauza mahindi meupe. Napatikana Mbinga, Ruvuma

    Kwa yeyote mwenye kuhitaji mahindi meupe naomba tuwasiliane. Kiasi ni kulingana na mahitaji Yako ila si chini ya Tani 30. Bei kwa sasa ni shilingi 600@kg, hapa inajumuisha Bei ya MAHINDI, gharama za kupeki pamoja na ushuru. MAHINDI yanapatikana Mbinga mkoa wa Ruvuma. Mawasiliano, 0758719493
  4. B

    Natafuta mkulima mwenye stock ya soya

    Uko wapi na offer yako ngapi?
  5. B

    Nauza mahindi- niko Mbinga, Ruvuma

    Kwa yeyote mwenye kuhitaji mahindi meupe naomba tuwasiliane. Kiasi ni kulingana na mahitaji Yako ila si chini ya Tani 30. Bei pia ni kulingana na bei ya soko Kwa wakati husika.
  6. B

    Gharama za mobile banking zinatisha, ni ujambazi kwelikweli

    Na ukitaka kujua Kama ni uwizi siku hizi benki nyingi hazijikiti kuweka ATM mashine nyingi, ama branches bali kuwapa mawakala ambako makato ni makubwa
  7. B

    Nimeachwa tena

    Wanawake mnazingua sana....Ila Kama uliyoyasema ndivyo yalivyo basi mshikaji naye kazingua sana!
  8. B

    Mnakumbuka Matangazo ya zamani ya Radio na ITV yalivyokuwa na mvuto!?

    Unaishi Toto jijini mitaani, inahitaji kiburudisho vuta sweet menthol ni yako!! Iwe mchana au usiku upite jangwani au porini safari ni safari ...safari lager.
  9. B

    MSAADA- CHIMBO LA SPARE ZA PIKIPIKI ZA MCHINA

    Habari ndugu zangu, naomba kwa yeyote mwenye kujua chimbo/sehemu panapouzwa vifaa/spare za pikipiki za mchina Kama SAN LG, HAOUJUE NA SINORAY kwa bei ya jumla na bei rafiki tafadhari naomba kuelekezwa.
  10. B

    KERO: Baadhi ya Walimu wa boarding sio waaminifu

    Pole, hili swala ni kweli lipo kwa baadhi ya walimu wasiowaaminifu Kama ulivyosema ila haya pia yanachangiwa na baadhi ya wazazi kwani baadhi hawataki kupitia njia rasmi zilizowekwa na shule husika, kwa mfano. Shule inataka pesa na mawasiliano yote vipitie kwa mwl wa malezi ila mwanafunzi hataki...
  11. B

    Njaa inanukia, mvua zimegoma. Serikali zuieni kuuza chakula nje ya Nchi

    Mkuu unawazo zuri sana Ila Kuna ubinafsi ndani yake. Ninayasema haya Kama mkulima pia, hoja ya kuzuia mazao kutoka nje ni ya ukandamizaji kwa wakukima tabu tunazopata na bei za pembejeo mbona hamuisemi serikali iweke luzuku kwenye mbolea? Bei ya mbolea mwaka huu haikamatiki mbona mpo kimya?
  12. B

    Buriani rafiki yangu Wendo Mwapachu

    Mzee Mohamed picha hazionekani kuna shida kwangu ama ni tatizo la wote? Unatufundisha mengi, nikisoma mada zako hata kabla sijahakiki mwandishi ni nani content na uandishi najua tu ni wewe.
  13. B

    Upandishaji wa madaraja kwa Watumishi wa Umma: Waziri wa Utumishi tunaomba utoe ufafanuzi

    Mkuu kwani ni mara yako ya kwanza kupanda daraja? Kama ndiyo basi subiri utaona nyongeza ya mshahara na baada ya hapo utadai malimbikizo ya nyongeza ya mshahara. Tuwe na moyo wa kushukuru tulikotoka ni giza mama ameleta mwanga.
  14. B

    Magufuli alikuwa muongo sana

    Alisema siku ina saa 48, orodha ni ndefu.
Back
Top Bottom