Search results

  1. edger jairos

    Vidonda vya tumbo mpaka kooni

    Wapendwa habari, Mimi ni mwanachama mwenzenu humu jf, Nina mtu mzima mmoja ndugu na mimi anasumbuliwa sana miaka miwili sasa na vidonda kiasi cha kufika shingoni,nafuu yake ni kula kwa wingi na kula bamia. Je, mnanisaodiaje Ana Bima kubwa apate msada Asanteni sana Mwenye kufahamu combinations...
  2. edger jairos

    Mchumba ana hasira

    Jamani mnisaide, Je, kuna sababu yoyote inayofanya umwache mwanamke ambaye hataki ndoa, hatimaye kurudishiwa mahali iliyolipwa? Na utaratibu wa kurudishwa upo, kama upo upi, zipitie njia zipi au ni NON REFUNDABLE?
  3. edger jairos

    Naomba master cylinder 4wheel noah old

    Habar! Ni Muster cylinder ya breck ya 1)NOAH old model 4wheel 2)Model number SR50 3) Engine number 3S0059590. 4)Engine capacity 1990 Naitaka kujua original na bei zake 748001009
  4. edger jairos

    Naomba nisaidiwe tatizo hili la voice Note za WhatsApp

    Jama habarini My watsap voice note zina voice kama vikatuni au makolokocho hivi. Naomba kuelekezwa Namna ya kuset njia Zote ili iludi kama mtu anavoongeakawaida.
  5. edger jairos

    Nauliza Battery ya gari

    Naomba kujua battery Bora kuliko zote na mpya n50 kati ya exide na atlas na zinapopatika ( Harrier old model 1999 cc) Bei pia zikoje?
  6. edger jairos

    Kwa ufauli wa D mbili na C moja anaweza kupata chuo?

    Ufaulu wa D mbili Na C moja masomo ya social form 4 anaweza enda chuo ? Maana mimi ninajua D nne ndio zatakiwa lkn mwl nyerere wamekataa. Msaada apate chuo jamani.
  7. edger jairos

    Mitindo ya unyoaji wa nywele kwa watumishi wa umma

    Habarini, Nimekuwa na changamoto hii, Naomba kujua sheria na vifungu ikiwezekana picha zinazozungumzia suala la style na aina gani ya mitindo inayotakiwa kazini. Naomba kuwasilisha na kufahamishwa.
  8. edger jairos

    Car4Sale Raum CCR inauzwa

    Haina tatizo Piga 0748001009 Ununio Dar Ndani Ina good CONDITION Cc 1490 Bei 6.5milion 6.5mil
  9. edger jairos

    Car4Sale Raum New no CCR

    Haina tatizo Inauzwa Mil. 6.8 Dar-Ununio
  10. edger jairos

    Naomba kujuzwa uzuri wa hii Noah new shape

    Naomba kuuliza Uzuzr wa gar hiii katika soko hasa kwa matumizi ya apa mjini
  11. edger jairos

    Toyota ipsum new model

    Nauza haina tatizo la kiufundi. Ununio dar O748001009 Engine 2az. Full ac 9mil..
  12. edger jairos

    Matokeo form 4

    Naomba kufaham nimepata D kiswahili D civics D english.From st.Mary. Je ni Chuo kipi anaweza aka post??
  13. edger jairos

    Mwenye bampa la ipsum new model

    Mwenye bampa la mbele nahitaji pesa mfuko wa shati. 0713099309.0748001009.mbez beach
  14. edger jairos

    Watu wa bima Assesment wanachelewa sana, nifanyeje?

    Jaman habrini, Hebu niulize, Gari yangu mwenzangu aligonga ukuta, Akapeleka garage moja classic yenye ubiana na watu wa bima. Meneja akamsahur garama ya kutengeneza ni kubwa abt 1.5mil so atumie bima, Ishu inakuja watu wa bima Assesment wanachelewa sana naogopa gar ikawa kimeo. Nifanyeje...
  15. edger jairos

    Toyota ipsum inauzwa 9mil

    9mil Full ac New tyres Km 89000 Black colour 2az engine Kila muhim safi kabisa 0748001009 0713099309 0710532693 Mbez beach
  16. edger jairos

    Naomba ufafanuzi kuhusu hili la matumizi ya Mafuta badala ya gesi katika gari

    Habari, Naomba kujua nasikia gesi kama mafut katika gari ni Bora zaid kuliko petrol/ diesel(mafuta). Je, kuna uzuri wa hii kitu haina madhara? Kiuchumi na kiusalama? Msaad wadau.
  17. edger jairos

    Uendeshaji huu gari ni sahihi?

    Niliwah leta hii mada mm nina marafiki wengi Na kila anaetaka kuendesha gar langu anaeendesha kwa kadri alivoelekezwa. Je uendeshaji wa gar Miguu miwili ni nini atahar au faida tofauti na mguu mmoja katika zile pedal mbili za automatic yaan less na brake. Msaad nielewe tena vizuri.
  18. edger jairos

    ARU- Ardhi University

    HABARINI: Mbona dirisha la udahili undergraduates hawajafungua bado? ARU.
  19. edger jairos

    Kupata NACTE transcripts inachukua muda gani?

    Naomba kujua taratbu za kupata transcripts nacte zao zikoje?. Na zinachukua muda gani?
  20. edger jairos

    Automatic Transmission

    Je, ni madhara kutumika miguu miwili kwenye pedal mbili za gari wakati wa kuendesha? Na ambae anatumia mguu mmoja katika pedal zote mbili?
Back
Top Bottom