Search results

  1. Salim A. Msangi

    Corona Virus; New 9/11 (Welcome to a New Normal)Prt 6

    Ulaya wanayo mkakati kufikia 2025 wawe wameachana kabisa na sarafu na waende kwenye Cashless Society. Moja ya vitu ambavyo janga hili litafanikisha ni kuongeza kasi ya kusambaa kwa Cashless Society kwenye uwigo mpana, na wakati ambapo tutakuwa tunaandika historia ya janga hili dunia nayo itakuwa...
  2. Salim A. Msangi

    Corona Virus; New 9/11 (Global ID)Prt 5

    Kwa miongo kadhaa sasa kumekuwa na juhudi za makusudi za kutoa chanjo zinazo lenga kupambana na aina Fulani ya maradhi na mahusisi kwa makundi tofauti ya watu, rika, maeneo na hata nchi. Pamoja na kwamba chanjo hizi zimekuwa zikipokea upinzani mkubwa, tena wakitafiti, wenye hadidi rejea za...
  3. Salim A. Msangi

    Corona Virus; New 9/11 (Gates Man of the Show)Prt 4

    Athari ya 9/11 na kukamilisha malengo yake imekwenda kwa takribani miongo miwili, kutoka kwa movie na kanda zilizo okotwa Torabora, kuja kwenye video za Osama zilizo kuwa zikizundiliwa na Al Jazeera mpaka kuja ‘kuuwawa’ kwa Al-Baghadad. Zote hizo zilikuwa ni movie zinachezwa kutufikisha hapa...
  4. Salim A. Msangi

    Corona Virus; New 9/11 (P+R=S)Prt 3

    Problem + Reaction = Solution. (P+R=S) Formula hii imetumika sana kwenye majukwaa ya kisiasa, kitaifa na kimataifa, toka enzi za WWI na hata kurudi nyuma mpaka hivi karibuni kwenye 9/11 na yaliyo fuata baada ya hapo. Ukionganisha nukta za maelezo ya wana Globalist kabla ya janga hili, na sasa...
  5. Salim A. Msangi

    Corona Virus; New 9/11 (Global Respond)Prt 2

    Kuna kile kilichoitwa ‘Event 201’, Bill Gates kama kawaida alikuwepo kama mdhamini, mara hii akishirikiana na World Economic Forum, ‘event’ hiyo ilijikita kwenye kuzungumzia uwezekano wa kuibuka baa la maradhi ya kuambukiza litakalo weza kuuwa watu kwa idadi kubwa na kwa muda mfupi. Mpaka jina...
  6. Salim A. Msangi

    #COVID19 Corona Virus; New 9/11 (Kumekucha)Prt 1

    TANBIHI: MADA HII SI KWA WATU WOTE. MAHUSUSI KWA WALE WENYE FIKRA PANA, WENYE UWEZO WA KUPOKEA MAWAZO KIZANI NA ELIMU NA IMANI YAO NA KUYACHANGANUA NA KUJENGA HOJA, DHANA SAWA AU TOFAUTI BILA KUKWAZIKA AU KUMKWAZA YOYOTE. KWA NAMNA YOYOTE IKIWA UNAFAHAMU UWEZO WAKO WA KUCHANGANUA NA KUTOFAUTISHA...
  7. Salim A. Msangi

    Kifo cha Al Baghdad - De javu

    Alianza Bush, alipohitaji kura za wananchi wake, aliwajia na hadithi za Saddam kuhusika na 9/11, akaunda zengwe la maana na mwishowe akaivamia Iraq ilia pate pa kuponea, kilichofuatia ni historia. Rais George W. Bush akilianzisha Staili hii akaja nayo kijana mtanashati, Obama...
  8. Salim A. Msangi

    Je, kuna Mungu ? Part 6 (Kuumbwa kwa Kaalam)

    Tunaendelea … Tuliishia kwenye kuumbwa kwa Arshi Tukufu. Mtume Mtukufu Muhammad (saw), anatufundisha kuwa, baada ya Arshi tukufu, kilicho fuata ni. Kaalam(Pen). Mtume wa Allah (sw) alipozungumza kuwa Allah (sw), aliiumba Kalaam, aliendela kusema kuwa, wakati Kaalam inaumbwa, Arshi Tukufu...
  9. Salim A. Msangi

    Pembe Tatu ya Kanisa, Jesuit na Yesu.

    TANBIHI: MADA HII SI KWA WATU WOTE. MAHUSUSI KWA WALE WENYE FIKRA PANA, WENYE UWEZO WA KUPOKEA MAWAZO KIZANI NA ELIMU NA IMANI YAO NA KUYACHANGANUA NA KUJENGA HOJA, DHANA SAWA AU TOFAUTI BILA KUKWAZIKA AU KUMKWAZA YOYOTE. KWA NAMNA YOYOTE IKIWA UNAFAHAMU UWEZO WAKO WA KUCHANGANUA NA KUTOFAUTISHA...
  10. Salim A. Msangi

    Je, kuna Mungu ? Part 5 (Kuumbwa kwa Arshi Tukufu)

    Mtume wa Allah, anatuambia kwamba, alikuwepo Allah, hapakuwa na chochote, kisha Allah Mtukufu akaumba Arshi. Arshi kutokana na mapungufu yale yale niliyo kwisha yaeleza ya kwenye huu ulimwengu wa 3D, na ya viumbe wenyewe tunao ishi humu kwenye 3D, dhati yake halisi ya Arshi i-mbali sana nasi...
  11. Salim A. Msangi

    Kuelekea 2020

    Salaam wanajamvi ... Uchambuzi kuelekea 2020 Kwenye hii safari mengi yatatokea na kuonekana ... mengi yatashangaza kama yalivyo kwisha anza sasa.. Lakini kabla ya kufika 2020 turudi 2015... Pamoja na madhaifu makubwa waliyokuwa nayo ccm kabla ya 2015 ... lakini bado hapa kuonekana kwa upande...
  12. Salim A. Msangi

    Tanzania imekuwa mpira wa wanasiasa

    Demokrasia imefeli Hakuna upinzani wa kweli kwenye vyama vya siasa. Ni divide and rule, tunagawanywa ili tutawaliwe. Siku zote washindi wamekuwa si wananchi bali wana siasa. Tizama chaguzi mbalimbali kote duniani, hata huko Marekani ambako ndiyo ‘viranja’ wa hiyo demokrasia hakuna kitu Zaidi ya...
  13. Salim A. Msangi

    Wasanii wa siku hizi hawana LYRICS zenye ujumbe kabisa.

    Sijui nini? Lyrics hazina hata hamu ya kusikiliza kabisa siyo za local wala international. Nilikuwa namsikiliza Coolio kwenye "Gangsta's Paradise" na "C U When you get there". Ni kama dunia nyingine kabisa ya mashairi. Lakini njoo sikiliza nyimbo na mashairi ya kuanzia 2000 kuja mpaka sasa, my...
  14. Salim A. Msangi

    Undumila kuwili wa serikali na NGOs wa kupinga Ndoa na Mimba za utotoni

    Harakati hizi za kupinga ndoa na mimba za utotoni zinashangaza sana. Hazina tofauti na kujaza maji kwenye gunia. Kampeni kubwa inafanyika kupitia serikali na wizara zake na watumishi, mashirika yasiyo ya kiserikali na watetezi wa haki za wanawake na watoto kupinga ndoa na mimba za utotoni...
Back
Top Bottom