Search results

  1. N

    Ku - date na mabinti wa 18-28 ni mateso tupu hamna furaha kabisa

    ndo maana vitu pana pana kumbe tembo nao wanatia maguu.
  2. N

    P Diddy na mabinti zake watatu wakiwa kwenye Venice

    hahaha alafu baba amevaa hereni na shorts
  3. N

    Mwanamke unawezaje kumjibu jeuri mume wako?

    Ndio maana nyie ni k, mtazaaje bila men? Respect us.
  4. N

    Dunia hii ni holographic simulation (Were not human)

    labda kutengeneza ma.game na mambo ya outerspace na aliens na women
  5. N

    #COVID19 Askofu Gwajima: Wapo waliochanjwa chanjo feki ili kuwashawishi watu wachanjwe. Sijachanjwa na haitatokea

    kiongozi wa dini, au mtu wa mungu akijua jambo la manufaa kwa watu wake lazima awaambie. unamwambia mtu achanje ni lini umempatia elimu ya faida na hasara za chanjo, na atakayewajibika/kutowajibika (disclaimer) na matokeo baada ya chanjo! ? kupotosha nn, kuchanja c. lazma, habari za kufa...
  6. N

    TANZIA Ambilikile Mwasapile, maarufu 'Babu wa Loliondo' afariki Dunia

    Yeuwiiii, ametutoka wkt tunamwitaji vibaya atupatie nyungu tupige, nchi inaumwa ugonjwa wa koleo hatari mara 19 duniani kote.
  7. N

    King Kiba amla Sadala Chenga ya Mwili

    ukiacha msiba, hata ktk hali ya kawaida unataka kiba akiachia ngoma simba akaushe!, manake ligi ya simba haiwezi.
  8. N

    Harmonize aja na wimbo mpya, atangaza yeye ndio Mwalimu wa Amapiano

    labda darasa la wajinga, walimu wa amapiano wako SA kiazi ww
  9. N

    Kongamano la Katiba Mpya Liendelee: Mnyika achukue nafasi ya Mbowe

    umejimilikisha mwanza? c.ajabu unaishi dar
  10. N

    TV4Sale Changamka TCL TV 32"

    TCL led 32 d 2710
  11. N

    TV4Sale Changamka TCL TV 32"

    Dar, ni used kidogo (In good condition)
  12. N

    TV4Sale Changamka TCL TV 32"

    -TCL tv 32", USB Port: Flash: Audios/Videos/Movies/Pictures/Docs -HDMI Ports/Deck - VGA Port/Monitor Tshs 350,000/= only. Only serious buyer, CALL: 0758 233191
  13. N

    Jakaya Kikwete Rais mbovu ambae historia itamkumbuka kwa kuinyima nchi Katiba Mpya

    We una matatizo na Mh. Jackaya, na kama aisingeanza mchakato wa katiba mpya mapaka muda ulipomtupa ungelisemaje?. Ukiacha Nyerere, wengine waliofuata hata hawakuanza hata mchakato wa maoni ya wananchi/katiba na katiba pendekezwa. Amka, tumia akili ww. Dunia ya leo watu hawadanganyiki kirahisi...
  14. N

    Barrick na Tanzania waunda Kampuni ya ubia iitwayo Twiga Minerals na Serikali itamiliki asilimia 16

    Wahasibu na wadau wote wa mahesabu, kama kuna closing stock, opening stock na annual dividend, dividend per share, mmoja anamiliki 84% shares, mwingine 16% shares, ni dhahiri kwenye (dividend) hapo ndiyo kuachana kama mbingu na ardhi, hakuna cha "win win situation". Niambie ni mazingira gani...
  15. N

    Kwanini maeneo mengine nchini hayajengi vituo vya afya (kipekee Moshi Vijijini/ Vunjo)

    Acha masikhara ww, yaani mgonjwa utembee kutoka Posta mpaka Mbezi kwa miguu kufata huduma katka hospitali kubwa unaona iko sawa? Kwa nn zisijengwe hizo zahanati maeneo hayo?
  16. N

    Kwanini maeneo mengine nchini hayajengi vituo vya afya (kipekee Moshi Vijijini/ Vunjo)

    Pongezi kwa Wilaya zote nchini ambazo zimekamilisha/zinaendelea kujenga vituo vipya vya afya kwa fedha za Serikali. Katika Wilaya ya Moshi Vijijini (Vunjo) kwa miaka mingi maeneo ya Kitowo, Kirararacha, Kyala, Komalyango, Nduweni, na maeneo mengine mengi ya Moshi Vijijini/Vunjo hayana vituo vya...
  17. N

    ‘Terminal 3’ ya JNIA na vivutio lukuki vya ndege na abiria

    Hakuna haja ya kulalamika. Ndiyo maana ya utofauti na hadhi ya terminal. Kwa Mtz yeyote mjanja anajua kuwa ukitoka nje ya uwanja, opp ya termina 2, utapata huduma zote kuanzia chai, supu, chakula, vinywaji n.k kwa bei zetu mtaani, jiongeze.
  18. N

    Tanzania iko wapi kwenye huu mkutano wa Russia-Africa?

    Tulishatuma na tunaendelea kutuma watanzania China kwa mwendo wa hapa kazi tu. C.unajua China ni rafiki yetu mkubwa. Ila kuna Wachina 100 inasemekana walishikwa huko kanda ya ziwa wakichimba dhahabu holela, sasa cjui kama Wabongo wanaweza changamkia fursa namna hiyo kule China.
  19. N

    Rwanda na Urusi waingia kwenye makubaliano ya nyuklia

    Huu ujeuri wa Kim The Nuke Kid hatuutaki EAC. Mara utasikia ile nchi iliyozindua smart phone ya kwanza Africa, imepiga hatua na sasa wana.develop Projectiles. Kwani yale mapanga shaa, shaa ya 1994 mliyatupia wapi vile mpaka mtake Nuclear power plant?
Back
Top Bottom