Search results

  1. Thomas10

    Mgeni Kutoka US Anahitaji Kuwa na Kadi Ya Chanjo Ya Covid-19??

    Hello Guys! Nina rafiki yangu anataka kunitembelea, na kwa taarifa ambazo bado hatuna uhakika nazo ni kwamba anahitajika kuambatanisha kadi ya Chanjo ya uviko ili aweze kuingia nchini. Hatuna taarifa kamilifu kwa hili, na kwa bahati mbaya, kutokana na mazingira yangu, nimeshindwa kupata mtu...
  2. Thomas10

    Ongozeko la Wanawake Kuota Ndevu, Chanzo ni Nini??

    Wasalaam!! Nashuhudia ongezeko la Wanawake hasa umri kati ya miaka 20-30+ kuota ndevu. Binafsi naliona km tatizo, maana awali hakukua ongezeko la namna hii.. Pamoja na kwamba walikuwapo wanawake wenye asili hii, lakini kwa sasa naona wanaongezeka tena kwa kasi haswa!!! Sasa najiuliza, nini...
  3. Thomas10

    Ndoa imeingia doa. Msaada wa mawazo unahitajika sana

    Habarini! Ndoa ya ndugu yangu wa damu (kaka) imeingiliwa na kirusi hatarishi, maji yamezidi unga. Alimuoa binti (mke wake) kigori kabisa, na kwa utamaduni wetu, hili huwa tukio la heshima kwa muaji na waozeshaji (familia ya binti) pia. Baada ya miaka sita ya furaha na huzuni, ndoa ya ndugu...
  4. Thomas10

    Maendeleo na Ughali wa Maisha Inafikirisha sana

    Bidhaa za viwandan zinazidi kuwa ghali kila uchwao [emoji117]Mafuta ya kula na petroleums [emoji117]Sukari [emoji117]Gesi [emoji117]Vifaa vya ujenzi n.k Sasa ni zamu ya SABUNI[emoji29] Sabani nazo zimepanda bei, tena kwa ongezeko la hadi mia tatu (300) kwa mche mmoja kwa bei ya mlaji. Ziko...
  5. Thomas10

    Nilivyomshauri rafiki yangu aliyeachwa na mpenzi wake

    Rafiki yangu wa karibu, aliachwa na mwenzi aliyemhudumia kwa miaka takribani sita (6) hivi. Alianza nae mahusiano binti akiwa amemaliza kidato cha nne, aliapata ufaulu wa daraja la nne (div 4 point 28) Alijitoa kumlipia ada na mahitaji mengine ya kibinadamu tangu alipoanza masomo ya ngazi ya...
  6. Thomas10

    Uchaguzi 2020 Nilikuwa siamini, sasa nimeamini uchaguzi huu ni muhimu sana

    Tangu juzi kulikuwa na tetesi za kwamba mitandao ya kijamii itazimwa kuanzia leo tarehe 27/10. Binafsi sikuamini kabisa habari hii kwa sababu moja tu [emoji117]Hakuna athari itakayotokea kuharibu uchaguzi kwa watu kuendelea kutumia mitandao hii. Sasa imefungwa, bila taarifa kwa umma au...
  7. Thomas10

    Vyombo Vya Habari na Uchaguzi Mkuu

    Nimejitahidi kufuatilia kwa ukaribu wiki mbili hizi namna vyombo Vya habari: Redio, TVs, Magazeti na hizi Blogs, na nimegundua kuwa zinatoa habari kwa kuzipa uzito zaidi habari za mgombea urais kupitia CCM, Ndug. John. Redio nyingi kama sio zote muda mwingi zikijadili kuhusu uchaguzi, uelekeo...
  8. Thomas10

    Tanzania Blogs zinaongoza kwa makosa ya uandishi

    Kwenye kila blogs 3, utakuta blog 1 ina makosa ya uandishi (spelling error) karibia kwenye kila habari inayotoa. Hii huwa inanifanya nifikirie kwamba owner wa blogs hizi AMA hawana uwezo mzuri wa uandishi AU hawajali sana usahihi wa maneno/sentensi kwenye habari wanazotoa Wana-tasnia wa habari...
  9. Thomas10

    Mtoto mwenye umri chini ya miaka 16 amekamatwa na polisi Trafiki akiwa anaendesha pikipiki

    Mtoto mwenye umri chini ya miaka 16 amekamatwa na polisi (trafic) akiwa anaendesha pikipiki Polisi wanasema anapaswa kulipa faini ya tsh. 100,000. Naomba mweny ufahamu wa jambo hili anipe dondoo ili AMA faini ilipwe AU hatua nyingine zichukuliwe Asante
  10. Thomas10

    Wizi Mwingine Vodacom

    Unapokea ujumbe kutoka vodacom ofa unaokuomba radhi kwa matatizo ya kifundi ya siku iliyopita (mfano jana) na unaonesha kukufuta jasho kwa ofa kidogo... Ujumbe unatoa maelekezo namna ya kupata hiyo futa jasho yako...na unajaribu kufuata maelekezo yake Kama una salio basi utaliwa kiasi chochote...
  11. Thomas10

    NANI KUFUZU HATUA YA MTOANO?

    World Cup inakaribia. Swali ambalo huwa najiuliza na sijawahi kupata jibu ni juu ya NANI ATAFUZU HATUA YA MTOANO kama matokeo ya hatua ya makundi kwa kundi fulani (mfano kundi A) yatakuwa droo!!?? Chukua mfano Kundi A Hili liwe na timu nne: Timu X Timu Z Timu Y Timu Q Matokeo ya hatua ya...
  12. Thomas10

    Huu ni mtindo gani unaotumiwa na TV E kusoma taarifa ya habari?

    Nimeangalia habari ya TV E ya saa 24 inayoruka kuanzia saa 1:00 usiku naona wao wana mtindo tofauti kidogo na media nyingine hapa nchini na vile vya kimataifa. Na huu utofauti ndio unafanya nitake kujua kutoka kwa wana-tasnia... Kuna vitu vitatu nahitaji kuvijua i) Msomaji/mtangazaji wa taarifa...
Back
Top Bottom