Search results

  1. mwenda wazimu

    Kampuni imesajiliwa inauzwa kwa wale wenye uhitaji wa kununua kampuni badala ya kusajili

    Kampuni imesajiliwa inauzwa kwa wale wenye uhitaji wa kununua kampuni badala ya kusajili. Maelezo yake ni kama ifuatavyo 1. Aina ya kampuni: clearing and forwading 2. Imesajiliwa: Jamhuri ya Muungano wa Tanzania 3. Mwaka wa usajili: 2019 4. Idadi ya wamiliki: 2 5. Shughuli inazofanya: Biashara...
  2. mwenda wazimu

    Serikali tupieni jicho bandari ya Mtwara kuna uonevu unaofanyika kwa wafanyabiashara wa korosho

    Habari! Poleni na majukumu ya ujenzi wa taifa, kama kichwa cha habari kinavyo jieleza tunaomba Serikali itupie jicho kwa bandari ya Mtwara. Ukweri ni kwamba kuna tabia za kijinga ambazo azivumiliki watu wanafanya bandari kama mali binafsi na kuwa na maamuzi wanavyo taka na si kwamujibu wa...
  3. mwenda wazimu

    House4Rent Apartment inaitajika mtwara

    Habari Mtwara kwa mwenye apartment ñzuri na yenye usalama kwa 100% please ni pm N.B shangani apartment nazijua sihitaji hapo
  4. mwenda wazimu

    TTCL ndo maana mnapoteza wateja!!

    Habari, Kumekuwa na nguvu kubwa kutushawishi kwenye uduma zenu za ttcl nasi tumeona tuunge mkono, maana ni shirika la umma, cha ajabu mmekuwa watu mnao toa huduma zisizo eleweka inakera kwakweli,kwanini nimekuja kulalamika! Nilikuwa mteja wa mda mrefu ila nilikuwa maeneo ya posta nika hamisha...
  5. mwenda wazimu

    SCRAP METALS

    Habari, Nahitaji scrap/skrepa/chuma chakavu,ninanua kwa anae weza kukusanya kuanzia tani moja na kuendelea tafadhari tuwasiliane soko ni uhakika na bei iko kama ifuatavyo copper 1kg=900Tsh blase 1kg=5000Tsh cast iron/dongo 1kg =360Tsh soft 1kg =2300Tsh cast aluminum 1kg=2300Tsh Betry chakavu za...
  6. mwenda wazimu

    Nahitaji paper bags

    Habari wakuu Nahitaji paper bags za 1kg kama carton 100 tafadhari kwa alie nazo au anaejua zinapo patikana msaada tafadhari
  7. mwenda wazimu

    Clearing and forwarding agency

    Habari kwa mahitaji ya agents kwa ajili ya kazi/biashara yako waweza kutuona BALUCHISTAN CLEARING AND FOWARDING CO LTD tupo dara es salaam,ni kampuni ambayo imesajiliwa na inatambulika kisheria,ukiitaji kufahamu chochote kuhusiana na taratibu za kodi na uagizaji mizigo nje ya nchi waweza...
  8. mwenda wazimu

    Nini kinachokutofautisha wewe na wasichana wengine

    Hivi ni nini kinachokutofautisha wewe na wasichana wengine au ni vitu gani vitatu ambavyo unauhakika mwanaume atavipenda kwako,tafadhari usiniambie uzuri" Kama umeelewa naomba jibu kama ujaelewa uliza
  9. mwenda wazimu

    Ananipendea pesa

    ACHA KUCHEKESHA ETI OOOHHH ANANIPENDEA PESA Unaishi nyumba ya kupanga na hata kama umejenga kwa mkopo kudunduliza matufali, una kagari kamkopo au hata ni mtu wa daladala. Akija kwako ukijitahidi sana umempa hela ya Bajaji sana sana utaongezana naye kutembea kujifanya eti mapenzi kumbe ubahili...
  10. mwenda wazimu

    WAKALA WA KUPOKEA NA KUSAFIRISHA MIZIGO

    Wakala wa Kupokea na Kusafirisha Mizigo ni watu waliopewa leseni na Kamishna wa Idara ya Forodha na Ushuru kufanya kazi ya kushughulikia nyaraka na kupokea mizigo kutoka kwenye udhibiti wa forodha kwa niaba ya wanaoingiza mizigo.
  11. mwenda wazimu

    Uingizaji na Uondoshaji wa Bidhaa Nchini

    Maduhuli ni bidhaa na huduma zinazoingizwa nchini Tanzania kutoka nje ya nchi. Taratibu za maduhuli zinapaswa kufuatwa ili kukomboa bidhaa kutoka Forodhani kulingana na Sheria ya Usimamizi wa Forodha ya Jumuiya ya Afrika Mashariki ya mwaka 2004. Maduhuli kuja Tanzania yanapitia hatua mbalimbali...
  12. mwenda wazimu

    Kwanini serikali haitoi vibali vya kuingiza sukari na mahindi ndani ya nchi?

    Habari, Nimekuja kwenye jukwaa hili nikiamini kuna wataalamu wa kutosha na wenye uzoefu na mambo ya uchumi, kwa sasa serikali yetu aitoi vibali kwa watanzania kuingiza mahindi/sukari ndani ya nchi, kwa sasa ukiingiza mahindi au sukari ni kama umeingiza bangi mwisho wako utakuwa ni mbaya...
  13. mwenda wazimu

    Nini hatma ya hizi ndoa

    Poleni na majukumu wana jf Tangu serikari izuie swala la huamisho wa watumishi kumekuwa na wakati mgumu sana kwa watumishi walio funga ndoa,ndoa nyingi zimepoteza muelekeo,si zani kama serikali inawatendea haki watumishi hawa,Tafuteni namna ya kuwasaidia Sote tunajua ndoa ndo chimbuko la taifa...
  14. mwenda wazimu

    WALINZI WA DARAJA LA KIGAMBONI (JKT) NA MCHEZO WA RUSHWA

    Nina ishi kigamboni mara nyingi nimekuwa napenda kufanyia mazoezi jioni eneo la daraja,ninacho kiona kila leo kukicha kina kela JKT wanao husika na ulinzi pale wamekuwa ni kelo kwa wana nchi wa nao tumia daraja hilo hasa pale wanapo piga picha.ukipiga picha tu utamuona askari akija na...
Back
Top Bottom