Serikali tupieni jicho bandari ya Mtwara kuna uonevu unaofanyika kwa wafanyabiashara wa korosho

mwenda wazimu

JF-Expert Member
Feb 20, 2017
823
1,000
Habari!

Poleni na majukumu ya ujenzi wa taifa, kama kichwa cha habari kinavyo jieleza tunaomba Serikali itupie jicho kwa bandari ya Mtwara. Ukweri ni kwamba kuna tabia za kijinga ambazo azivumiliki watu wanafanya bandari kama mali binafsi na kuwa na maamuzi wanavyo taka na si kwamujibu wa sheria na taratibu. Imefikia hatua anafanya Kazi siku nzima mfanyabiashara mmoja bandari nzima kisa anasifika kwa kutoa hela ya chai wakati bandari inapaswa kuhudumia kwa usawa wafanya biashara wote wanaotumia bandari hii hasa ukizingatia bandari inatumika kipindi cha msimu wa korosho zaidi

Hili swala halivumiliki vimeshafanyika vikao sichini ya mara mbili tunawaeleza hili swala awajari siku ya Leo bandari nzima anafanya stuffing company moja tu.

Tafadhali serikali ingilieni Kati unyanyasaji huu
 

Timbwilimbiz

JF-Expert Member
Aug 24, 2017
201
250
Ujumbe wako unauelekeza kwa nani! Raisi au waziri?
OK wahusika fanyenyi haraka huko kuna harufu ya rushwa.
Ila mtoa Mada ID yako inatutisha kuchangia hapa
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom