mwenda wazimu
JF-Expert Member
- Feb 20, 2017
- 819
- 1,283
Habari,
Kumekuwa na nguvu kubwa kutushawishi kwenye uduma zenu za ttcl nasi tumeona tuunge mkono, maana ni shirika la umma, cha ajabu mmekuwa watu mnao toa huduma zisizo eleweka inakera kwakweli,kwanini nimekuja kulalamika!
Nilikuwa mteja wa mda mrefu ila nilikuwa maeneo ya posta nika hamisha ofisi yani kuhama jengo na kuamia jengo jingine nika itaji huduma nayo iamishwe, nikaenda kuwa taarifu niliemkuta akaniambia nalipia sawa na anae fungiwa mara ya kwanza nikaripa ikachukua wiki mbili kuja kufunga tu tena baada ya kupiga kelele sana,mafundi kuja wakasema ukutakiwa kulipa kwasababu wewe unahama tu ulikuwa mteja nikasema sio mbaya kwa hiyo fata taratibu andika email utume kwetu ndo tutakuja ili waweze kubadilisha data maana umehama wilaya umetoka ilala kuja temeke nikafanya hivyo ndo wakaja kufunga,wamefunga ila access ya internet amna wanadai mpaka watu wa i.t wabadili data ndo nipate internet licha ya kuwa mtu umesharipa gharama zote mpaka leo ni mwezi sasa siwaelewi mnafanya nini,kazi yenu nini hivi nani anaweza kukaa anawasubiri nyinyi mpaka mjisikie kuja wakati biashara zangu zimesimama,kama amuwezi kazi mtuambie mnauzi sana nasizana kama kuna utaratibu wa biashara duniani wa aina hii na ukawa na mafanikio fanyene kazi kwa taratibu na kwa wakati.