Search results

  1. SAVAGE AF

    SHAMBA LINAUZWA,MKURANGA.

    Habari wakuu, Shamba linauzwa hekari 3 liko maeneo ya Mkuranga Kiparanganda karibu na njia kuu ya Kilwa road. BEI 2.5M Kwa heka 1 N.B Picha sina,ni dharura kuna mtu kapata shida.Asantheni .
  2. SAVAGE AF

    Usiwe kama chura

    Analogy nzuri,Sema wengine wanapenda chura sana.
  3. SAVAGE AF

    Mtoto wa miaka 11 ajinyonga Kenya

    Watu wanapitia mengi sana.
  4. SAVAGE AF

    Jana nimepata surprise ya mwaka kutoka kwa Becky

    Haya mambo ni kujiamini tu na kuwa smart.
  5. SAVAGE AF

    Najiandaa kupigwa mzinga kipumbavu kabisa...

    Wakati anapewa number hakuwa na shida ya mawazo yako sasa ulitaka akwambie ili iweje? Ila sasa ndo anashida ndo maana kalileta jamvini. Kama huna cha kumchangia heri ukae kimya kuliko kumuita mtu mnafiki na kujifanya mjuaji.
  6. SAVAGE AF

    Ushawahi kukanwa? (Kisa cha kweli)

    Sasa kila mmoja akiwa na mentality hii si mtabaki mkitoleana mimacho tu.
  7. SAVAGE AF

    Kwa wanaotarajia kuwekeza 2018 tu

    Jazia nyama mkuu.
  8. SAVAGE AF

    Hot discussion: Wanaume wa Tanzania na mapenzi

    Hapo sawa,tunataka vitu vyenye uhakika,and kuhusu madhara yapo wazi lile tundu halikuwekwa kwa madhumuni ya kujamiana.
  9. SAVAGE AF

    Hot discussion: Wanaume wa Tanzania na mapenzi

    Wewe kweli kibuyu,eti unahuakika mwanzilishi nani tena kwa porojo,kama unahuakika leta facts sio mitazamo yako.
  10. SAVAGE AF

    Hot discussion: Wanaume wa Tanzania na mapenzi

    Nikuhonge mali?Basi zidisha utundu, Nipe michezo ya hatari ninyonye mpaka..Roma Roma
  11. SAVAGE AF

    Tundu Lissu: Kitendo cha Lowassa kwenda Ikulu si cha kuhalalishwa au kunyamaziwa kwa hoja nyepesi nyepesi

    In politics, nothing happens by accident. If it happens, you can bet it was planned that way. Franklin D. Roosevelt
  12. SAVAGE AF

    IKULU: Waziri Mkuu Mstaafu, Lowassa amekutana na kufanya mazungumzo na Rais Magufuli; akiri Rais anafanya kazi nzuri

    In politics, nothing happens by accident. If it happens, you can bet it was planned that way. Franklin D. Roosevelt
  13. SAVAGE AF

    Mtu mrefu zaidi duniani aliishi Handeni, Tanga

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  14. SAVAGE AF

    Ni nani alitaka kumuua Tundu Lissu?

    Nendeni mkatubu.
  15. SAVAGE AF

    Nikki wa Pili ashambuliwa baada ya kuwalaumu CNN na BBC kwa kumuonesha Tundu Lissu

    Kwa hiyo wadau hamjawahi kusikia nyimbo nzuri za nikki wa pili?
Back
Top Bottom