Search results

  1. sakapal

    Hili nalo neno......

    Kwenu wanaume na wanawake wa jukwaa hili, Hili jambo huniwazisha sana. Ni kawaida kabisa pale ambapo mwanaume anapotoka nje ya ndoa basi watu wote wanawake kwa wanaume watamlaumu mke wake kuwa ni chanzo. Hali hii imezoeleka hadi kupelekea wanawake kukaa kimya na kutosema hata kwa wachungaji wao...
  2. sakapal

    Hii Video hii.............

    Iliniachia majonzi sana mara baada ya kutumiwa na kuiona ......
  3. sakapal

    Hello!! missing u

    Hi there!!! long time no see you!!, really missed u guys!! I just pass to say hi, take care and note that sakapal loves u. :A S angel: I missed the bange thing....:bange: I just love this song... it has a lot of memories... Atomic Kitten - Eternal flame - YouTube2 and this one too... Shania...
  4. sakapal

    Mmmhh...hubby kaninunia kisa..?

    Habari zenu wapendwa, Si ugomvi mkubwa sana ila umesababisha nimenuniwa, ni hivi baba na mama mkwe wamekuja kututembelea sasa tumewaandalia chumba chao wamelala. Jana usiku wao wakatangulia kulala mie na hubby tukabaki sebleni tunaangalia tv huku unasogoa. Tulipoamua kwenda kulala muda ulikuwa...
  5. sakapal

    Ni kwa neema tuu.......

    Habari zenu, Mambo niliyoyasikia na kuyaona week end hii yamenifanya nifikirie maisha yangu kwa upya. Kwanza Jumamosi nilikutana na mdada mmoja (Happy) tuko age mate, tulikuwa tunakaa mtaa mmoja wakati tunasoma shule za msingi. Miaka mingi imepita mie nina familia na maisha yangu ila historia...
  6. sakapal

    Love life circle...

    Habari, Sikuwahi kuwaza wala kufikiri kuwa iko siku nitakuwa in love feelings again na kum-miss niliyekuwa namuona wa nini............. Its a long story na ilifika mahali nikaondoka kwangu na kwenda Obama nikijua I will be free again waapi. Kumbe mwenzangu nae alikuwa anatamani nirudi...
  7. sakapal

    It's 5 o'clock amigo!!

    Holla chit chat pple, Today nimejikuta nimemkumbuka mtu aliyenitumiaga huu wimbo mwaka jana. Leo tangu asubuhi nimekuwa nikiusikiliza kupunguza mawazo huko uliko Chotta Matte..........!! Sayonara. Naupenda wimbo huu kwa ajili yake. Hii inanisaidia kupunguza yaliyo moyoni mwangu maana siwezi...
  8. sakapal

    Nimetoroka mwenzenu

    Habari zenu, leo ni wedding anniversary yangu na nimetoroka Ikulu kwa Obama kuja kuwasalimu tuu This is the gift I prepare for my hubby nzuri au mbaya? ur comments pls nimewamiss na bado nawapenda japo najua wengine wananichukia na kuniponda. Sakapal na bye narudi mjengoni now.
  9. sakapal

    Nabwaga manyanga, am leaving for good!!

    I Salute all MMU members, Hope ur all good katika shuhuli za kutafuta shekeli, wagonjwa poleni na get well soon. he time has come for sakapal to say good bye to the people who have been my fans and company whenever and wherever I was bored or lonely. Kabla sijajiunga JF nilikuwa na-peruse...
  10. sakapal

    Happy Birthday Sakapal!!

    Ni kweli its my birthday just wish me luck buddy, it's my luck already as my hubby's birthday is in next week, remember last year niliwaomba ushauri wa kum-surprise? This year its celebration as we are all in holiday. Peace and Love, Sakapal.
  11. sakapal

    Effects of knowing a person outside jf............prefer anonymuos

    I Salute all MMU members!!!!! Habari zenyu wapendwa, hope mko vizuri kakitka kusaka shekeli, me too am fine, get well soon kwa wote wanaogonjweka. Ni hivi tangu niingie JF April 2011 ndo niliji register kama member but before was browsing kama guest it was since late 2010 na kilichonofanya...
  12. sakapal

    Umemuona sakapal? Mfatilie hapa.......................... .

    I salute all MMU members!! Hope u r all fine, pia poleni na uchovu na kero mlizozipata kutokana na ziara za Obama, kwa wale wakazi wa Dar. Sasa nisiswachoshe sana mie bana nimehamia morocco near AAR Hospital (kwa sababu za kiintelijinsia) sasa tangu nihamie hapa niliamua kuanzisha kazoezi ka...
  13. sakapal

    Mtoto wa sakapal huyoooo

    Baby Girl Swims Like a Pro - YouTube Jamani ni vyema kumfundisha mtoto wako akajua kuogelea tangu akiwa mdogo ili hata akikutana na mazingira hayo hata kwenye hatari anaweza kujiokoa. Haya wazazi changamoto hiyoo. Ever remaining, sakapal.
  14. sakapal

    Sakapal akifanya yoga, karibuni wote mjiunge

    yoga for relaxation - YouTube I salute all MMU, Nawakaribisha wana MMU wote mje kwenye yoga haya ni mazoezi ya viungo unakuwa imara na flexible kupinda vyovyote vile. Hii ni sehemu yangu nimeifungua mwenyewe na huyo ni mimi ndo namalizia maandalizi ya kuonana na Obama. Karibuni sana hasa kina...
  15. sakapal

    Mwalimu mkenya kamuathiri mtoto wangu sasa na mimi pia.....(lafudhi)

    I salute all MMU member, Hope mko sawa na kusaka shekeli ilhali mkijiandaa kumpokea baba mtarajiwa wa kitinda mimba wangu. Ni hivi nimekuwa nikipata shida sana hasa ninapokuwa namsimamia mtoto kufanya home work au akisoma kitabu aloud kumsaidia kutamka baadhi ya maneno anayokwama au new...
  16. sakapal

    Ningekuwa mwanaume mimi sakapal....me & you....

    Ommy Dimpoz Ft Vanessa Mdee - Me N You {Official Video} - YouTube Yaani ile kusema ukweli ningekuwa mwanume mimi sakapal wallah kwa jinsi yoyote ile ningemuoa huyu binti wa kwenye hii video, amenikosha jinsi alivyo hasa hapo anapoonekana yuko kama kwenye chumba cha gym amekalia huo mpira wa...
  17. sakapal

    Nina genye na rais obama msaada wenu tafadhali

    I salute all MMU, Leo niko kivingine kabisa si kwamba mtu ameiba password yangu La hasha wala si bange ninazokula. Ni hivi tangu nilipojua kuwa Obama anakuja bongo nimekuwa nikijisop sop kila mahali now niko fit and ready. Msaada ninaoutaka ni mtu anisaidie niwe among watanzania watakaomhudumia...
  18. sakapal

    Kulala msibani balaa

    Salute all MMU, Hivi kulala msibani ni lazima? Nauliza hivi maana kunavitu nimeviona juzi msibani nikaona niwajuze tuu. Tumelala pale msibani mama mmoja Usiku akaanza kuota anadinyanya na mumewe khaa! Watu wote msibani tuliamka maana huyo mama alikuwa anakata mauno balaa na kutoa miguno ya...
  19. sakapal

    mwenzenu nimeekamatika hapa

    I salute all MMU, samahani kwa utakayekwazika kwa uzi huu ila.......... niko nyoronyoro..... Mmmh!! Sijui ndo uteja, ila hapa nimekamatika, week end hii nilikuwa night shift full... Haya maneno na huu wimbo ndo vilitawala kwenye night shift. Hadi sasa bado naimba, karibuni tuhorojeke pamoja...
  20. sakapal

    After being tempted............

    Hello peoples of MMU!! Am feeling sooo good, OmYoga & Lifestyle Magazine - Faith Hunter Video Blog #2 - Extended Side Angle Pose - YouTube http://www.youtube.com/watch?feature=player_detailpage&v=gCYCKO4XX9U#t=9s This is what am doing today after having a bulging ragga muffin yesterday till...
Back
Top Bottom