Mtoto wa sakapal huyoooo

Mtoto wa sakapal huyoooo

Baby Girl Swims Like a Pro - YouTube

Jamani ni vyema kumfundisha mtoto wako akajua kuogelea tangu akiwa mdogo ili hata akikutana na mazingira hayo hata kwenye hatari anaweza kujiokoa.
Haya wazazi changamoto hiyoo.
Ever remaining,
sakapal.
Labda nyie mnaoishi karibu na bahari watoto wenu wanahitaji ujuzi wa kuogelea. Sisi tunaoishi huku bush kwenye vumbi hakuna hata bomba la maji watoto wetu wanaogeshwa siku ameugua ili aende hospitali akiwa msafi au siku ya sikukuu tu kama vile Christmas, Pasaka nk.
 
Huu ni urongo mtupu...

Jamaa anachezesha mwanasesere halafu anatuona kama vile hatuna macho...
 
kwetu kuna visima tu maybe atajifunzia kwenye beseni la kuogea.
 
afadhali ww umeona mie hata kabundle kakuingilia huko YOUTUBE sina ninafanya imagination tu hapa.
 
Baby Girl Swims Like a Pro - YouTube

Jamani ni vyema kumfundisha mtoto wako akajua kuogelea tangu akiwa mdogo ili hata akikutana na mazingira hayo hata kwenye hatari anaweza kujiokoa.
Haya wazazi changamoto hiyoo.
Ever remaining,
sakapal.

What i guess that is not a real baby. Ingawa pia inaweza kuwa kweli lakini mpaka nione kwa macho ya nyama moja kwa moja. Nialike kwako siku moja nije kumshuhudia live.
 
Karibu sana mitaa ya afrikana mbezi beach kuelekea white sand hotel karibu mno, thats my real baby wala sio mdoli. Nilianza kumfundisha kuogelea tangu akiwa na miezi 6.
 
afadhali ww umeona mie hata kabundle kakuingilia huko YOUTUBE sina ninafanya imagination tu hapa.

Mhhhh uko mrembo my dear wacha zombe aje ajionee mwenyewe na aache tabia yake ya kukandia wadada wa jf.
 
Last edited by a moderator:
kwetu kuna visima tu maybe atajifunzia kwenye beseni la kuogea.

Beseni la kuogea likiwa kubwaaa linasaidia kuanza kumfundisha vizuri anakuwa si muoga wa maji, pia inamjengea ujasiri na kujiamini.
 
Labda nyie mnaoishi karibu na bahari watoto wenu wanahitaji ujuzi wa kuogelea. Sisi tunaoishi huku bush kwenye vumbi hakuna hata bomba la maji watoto wetu wanaogeshwa siku ameugua ili aende hospitali akiwa msafi au siku ya sikukuu tu kama vile Christmas, Pasaka nk.

Hahahahaaaaaa
 
Thats my daughter for real na si mwanasesere, karibu home umshuhudie kwa macho.

Mbona hujamleta kumsalimia babu kwanza??

Inaonesha ama baba au mama kabugi step.....

Mtoto hadi anafikia kwenda kwenye mashindano bila baraka za babu??

Babu DC!!
 
Dooh nisamehe babu ntamleta ili aweze kupata baraka zako kabla ya kwenda kwenye mashindano.
 
ameshaogelea tangu tumboni mwa mama yake zaidi ya miezi minane bhana, anatoka akiwa expert, si ndio tumeambiwa huko tumboni kuna maji eti wao ni kuogelea kutwa kuchwa.....!!!!
 
Karibu sana mitaa ya afrikana mbezi beach kuelekea white sand hotel karibu mno, thats my real baby wala sio mdoli. Nilianza kumfundisha kuogelea tangu akiwa na miezi 6.

Asante sana nitakusurpise siku moja kwako ni-PM kunipa ramani ya kufika hadi kwako nije kumshuhudia Kirikou wa Sakapal.
 
Beseni la kuogea likiwa kubwaaa linasaidia kuanza kumfundisha vizuri anakuwa si muoga wa maji, pia inamjengea ujasiri na kujiamini.

Acha fiksi hizo wewemwenyewe swimming pool ni kutuo cha polisi. Afu huyo mtoto ulimfundishaje?
 
Back
Top Bottom