Sakapal akifanya yoga, karibuni wote mjiunge

sakapal

JF-Expert Member
Apr 11, 2011
1,804
1,424
yoga for relaxation - YouTube

I salute all MMU,
Nawakaribisha wana MMU wote mje kwenye yoga haya ni mazoezi ya viungo unakuwa imara na flexible kupinda vyovyote vile. Hii ni sehemu yangu nimeifungua mwenyewe na huyo ni mimi ndo namalizia maandalizi ya kuonana na Obama. Karibuni sana hasa kina dada.
Kama utakuwa hujapendezwa au umekwazika samahani waachie wenye kuhitaji hayo mazoezi wajiunge na ukishindwa kuja basi hata nyumbani kwako unaweza kuyafanya. Enjoy everyone.
Ever remaining,
sakapal.
 
Hivi sakapal haya yote wewe unayajua kweli???/?
Mmmmmmh mbona sasa unayafanya peke yako?
 
yoga for relaxation - YouTube

I salute all MMU,
Nawakaribisha wana MMU wote mje kwenye yoga haya ni mazoezi ya viungo unakuwa imara na flexible kupinda vyovyote vile. Hii ni sehemu yangu nimeifungua mwenyewe na huyo ni mimi ndo namalizia maandalizi ya kuonana na Obama. Karibuni sana hasa kina dada.
Kama utakuwa hujapendezwa au umekwazika samahani waachie wenye kuhitaji hayo mazoezi wajiunge na ukishindwa kuja basi hata nyumbani kwako unaweza kuyafanya. Enjoy everyone.
Ever remaining,
sakapal.

Always unanifurahisha sana hadi napenda sana kusoma post zako. sasa leo numekuja kivingine, i hope soon utakuja na namna unavyoweza kufanya hiyo yoga kwa kusaidiana na mtu. I real wait for it.
 
Back
Top Bottom