Aaa sifunguiiii video labda useme nini kinakuumizaa
teh teh unadhani kirusi
Iliniachia majonzi sana mara baada ya kutumiwa na kuiona ......
[video]T-Pain - 5 O'Clock ft. Wiz Khalifa, Lily Allen - YouTube[/video]
Aaa sifunguiiii video labda useme nini kinakuumizaa
JICHO TAI and Bulldog sio bange just google T-pain, Lily Allen & Wiz Khalifa 5 O'clock in the morning
Ni wimbo ambao uliniachia majonzi kwa aliyenitumia, alinitumia huo kisha akaondoka maishani kwangu hakurudi tena, he left without living a trace, but now I love the song and when I Hear it again and again I Just smile.
mbona unaongea kimafumbo fumbo? alikutumia kasha akaondoka maishani mwako? mme wako? mchumba wako? weka wazi mkuu ili tukupe sympathy worth of you!
Yes baada ya kunitumia aliondoka maishani mwangu completely without leaving a trace while I was still in love with him....