Search results

  1. shirima Mathias

    Kuwekea simu cover na screen protector ni ushamba

    Hamjambo, Huwa nakereka sana pindi nimuonapo mwaume na Madevu yake amesiliba liTecno lake la vilaki vinne kwa makava na maprotekta. Kama uko hapa na umesiliba liTecno lako hivyo nakutaka uondoe huo uchafu haraka. Waliotengeneza hizo simu hawakutengeneza makava na hivyo uache ushamba maandazi...
  2. shirima Mathias

    Kitendo cha Serikali kuruhusu soda kupanda bei sisi wanywaji wa Bia kimetukasirisha

    Ki ukweli nimekasirishwa,,, Kitendo cha Serikali kuruhusu soda kupanda bei sisi wanywaji wa Bia kimetukasirisha. Naiuliza serikali: Kwa nini hamtupandishii bei ya Bia na Sigara? Kwa heshima na taadhima naiomba serikali mtupandishie bei Bia na sigara. Bia inayouzwa 1500 sasa hivi iuzwe 3000, na...
  3. shirima Mathias

    Kwanini Makaburi ya Kinondoni na Kisutu hayajai?

    Leo nakuja na hili swali: Ni kwa nini makaburi ya Kinondoni na Kisutu hayajai? Unadhani itatokea siku yajae na watu wakose pa kuzika?
  4. shirima Mathias

    Uongo utakaokuja kuhojiwa

    Ndio iko hivyo, Ukisemwa ukweli utahojiwa na ukisemwa uongo nao utahojiwa. Kuhoji huko hakutakuwa na ubaya maana kutakuwa na hoja. Hata sijui nimeandika nini hapa,, mlioelewa mnieleweshe sasa
  5. shirima Mathias

    Kwanini WhatsApp group mwisho washiriki 256?

    WhatsApp wameweka kiwangao cha washiriki (Group member) kuwa ni 256. Ni nini siri ya hii number 256 kwa WhatsApp. Yaani kwa nini 256 na sio 255,254 nk. Najua wangeweka number yoyote pia ningehoji na hata sasa wakibadilisha na kuwa 556 bado pia nitahoji. JF ya wabobezi mtusaidie kuna siri gani...
  6. shirima Mathias

    Kwanini makampuni ya simu yanatulazimisha kutumia laini za simu zilizokatwa?

    Hadi muda huu sijajua ni sababu gani hasa kwa hawa watengeneza simu kushindwa kutuwekea sehemu ya kuweka line nzima ya simu hadi tuikate. Yaani pamoja na kututengenezea simu kubwa,Tablet nk lakini wameona line zetu kuingia bila kuzikata zinawachukulia nafasi kubwa? Jambo hili linakera mno kwa...
  7. shirima Mathias

    Ni kweli kuna watu wamesoma hadi PhD na hawana ajira?

    Kuna jamaa mmoja nimekutana naye akaniambia eti Tanzania kuna watu wamesoma hadi kuwa profesa ila hawajaajiriwa na wanasota vijiweni huku wakiota joto ya jiwe. Eti kuna watu wana PhD nao wanaota joto ya jiwe. Nalazimika kuanzisha uzi huu na hapa nitawahoji. Wanaokubaliana na mimi semeni...
  8. shirima Mathias

    Leo nimetimiza miaka miwili JF

    Ni bahati iliyoje kutimiza miaka miwili jf bila kulamba ban? Mliokuwa mnahamisha nyuzi zangu sijui na huu mtakakoupeleka. Ni hayo tu, nimemaliza
  9. shirima Mathias

    Hakika nimepoteza nguvu zangu bure

    Zamani nilidanganywa kwa kuambiwa kuwa ukiwa na pesa utapata kila kitu, kweli nikapambana na nikafanikiwa kwa kiasi chake. Ki ufupi nimewekeza kwenye biashara zisizofilisika. Na kwa siku napata laki nane hadi tisa (hiyo ni faida kwa kila siku). Ila kinachonishangaza nimejikalia tuu nyumbani...
  10. shirima Mathias

    Nimetatizwa na kutatizika

    Mwenye kujua jinsi ya kutatua hili tatizo anisaidie Tafadhali 0625588153
  11. shirima Mathias

    Ujumbe kwa wanaojiita Maakofu/Manabii

    Ni ukweli usiofichika kuwa kwa sasa jina la Piere Liquid halisikiki tena masikioni mwa watu, ni kama amepotea (ngoma ikilia sana inakaribia kupasuka) Ni muda sasa kwa manabii na mitume kucheza karata kiusahihi kwa kumleta/ kumshawishi bwana Piere akubali kuokoka na aje kusali kwenye kanisa lako...
  12. shirima Mathias

    Paranoid shizophenia

    Hii ni mada ya madocta waliosoma tena wakaelimika, hivo ngumbaro piteni hivi Inasemekana huu ni ugonjwa ambao unamuwehua mtu bila kupenda, yaani unajikuta kichaa bila kupenda paranoid shizophenia Nini kinachofanyika? Ni mtu/ au binadamu unachukuliwa na kufungiwa kwenye chumba cha peke yako na...
  13. shirima Mathias

    Mliokaa jirani yangu Mungu anawaona kwa mnachonifanyia

    Ni hivi: Nimejikalia zangu bar na ki elfu tano changu cha mawazo, na sasa najipatia kakinywaji kangu uchwara ka balimi huku nacheki mechi ya spurs na arsenal. Wakati mimi nakunywa kibalimi changu cha mawazo waliokuja jirani zangu masharobaro wamekuja kunivamia mezani na wameagiza maSAVANA na...
  14. shirima Mathias

    Je, ni muda umefika wa kuwaondolea ile kinga ya kutokushtakiwa?

    Wote tunashuhudia yanayoendelea na unapojaribu kufukunyua unakutana na kigingi cha utetezi: nilitumwa kufanya hivi Ukimpata aliewatuma unakuta ana kinga ya kutokushtakiwa kwa mambo aliyofanya akiwa kama raHisi. Nadhani muda wa kuwaondolea hii kinga umewadia ili wajue watakapofanya ujinga...
  15. shirima Mathias

    Kuwekea simu protector na makava ni umaskini

    Uzi wa matajiri Jaribu kufikiria unakutana kijana anaejiita sharobaro au masister duu amebeba kitecno chake mf kiCAMON X cha vilaki vinne huku amekishindilia makava na maprotecter hadi kisimu chake uchara kinageuka kuwa mzigo Ni vile watu hawajui: simu matumizi yake ni mwaka mmoja na ikizidi...
  16. shirima Mathias

    Mlokole uliemwaga bia yangu ukawasimulie wenzako kilichokukuta

    Ni hivi: Nilikuwa nimejikalia zangu najipatia mvinyo wangu pendwa wa safari Lager, pembeni yangu walikaa walokole wanaomsujudia Yehova. Gafla bin vuu mmama mmoja akatoka kwenda kumwaga wese. Wakati anarudi akaigonga meza yangu na mabia yangu kunimwagikia chapa chapa na mbaya zaidi hadi sigara...
  17. shirima Mathias

    Tetesi: Huenda ni ujinga wangu ila huenda nikielimishwa nitaelewa

    Hadi muda huu nakaribia miaka 60 sijui maana au sababu hasa ya kukimbiza mwenge. Jf ya wabobezi nisaidieni mwenge una tofauti gani na KIBATARI kikubwa?
  18. shirima Mathias

    Namshauri kocha Amunike ajiuzulu, asisubiri kufukuzwa

    Tetesi zimeshaanza kuzagaa, na hivyo ccm kujiondolea aibu ni kutafuta pa kujificha, ilani imekwamishwa na AMUNIKE. Kujiuzulu ni heshma kuliko kufukuzwa. Ni hayo tu. Munisamehe
  19. shirima Mathias

    Azam tv na Star Time mturudishie chanel yetu ya kbc haraka baada ya AFCON

    Nimesononeka sana,nimesikitika sana na sasa nasema nimekosa mimi,nimekosa mimi,nimekosa sana na ndio maana nawaandikieni nyie watu wa AZAM na STAR TIME, baada ya kutuletea aplication zenu kwenye simu tulizidownload tukitarajia tunapochelewa kurudi majumbani mwetu huku tukiwa kwenye usafiri wetu...
Back
Top Bottom