Azam tv na Star Time mturudishie chanel yetu ya kbc haraka baada ya AFCON

shirima Mathias

JF-Expert Member
Feb 9, 2017
339
1,000
Nimesononeka sana,nimesikitika sana na sasa nasema nimekosa mimi,nimekosa mimi,nimekosa sana na ndio maana nawaandikieni nyie watu wa AZAM na STAR TIME, baada ya kutuletea aplication zenu kwenye simu tulizidownload tukitarajia tunapochelewa kurudi majumbani mwetu huku tukiwa kwenye usafiri wetu pendwa wa vidaladala uchwara tungeweza kuangalia AFCON kupitia chanel zilizoko kwenye ving'amuzi vyenyu, matokeo yake baada ya mlipogundua kuwa KBC (chanel ya taifa la kizalendo la KENYA wanaonyesha bure mmeiondoa). Nawataka muirudishe chanel yetu pendwa ya taifa pendwa ka KENYA KBC haraka iwezekanavyo. By master WAPEKEYE
 

Morinyo

JF-Expert Member
Aug 26, 2011
2,782
2,000
Hiyo chanel kwa kwa kipindi chote cha mechi za afcon haitakiwi kuonekana nje ya kenya. Pole sana ndo haki za matangazo zilivyo.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom