Search results

  1. mzee mbaya

    Collaboration bora zaidi za Bongo Fleva

    Bodea ft jide-dancefloor
  2. mzee mbaya

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    achana nao hao labda hawadindishi au mashoga
  3. mzee mbaya

    Je, matumizi ya mafuta kwenye Toyota Crown Athlete yapoje?

    iko kawaida tu mkuu ila sijakaa nayo sana niliweka sokoni nimerudi kwenye runx
  4. mzee mbaya

    umemtambua nani katika picha

    Hashim Rungwe Spunda.
  5. mzee mbaya

    Unasikiliza wimbo gani sasa hivi?

    King of everything by wiz khalifa
  6. mzee mbaya

    Je, matumizi ya mafuta kwenye Toyota Crown Athlete yapoje?

    [emoji3][emoji3][emoji3] kwenye mbio hapo mie ni muoga mzee nadhani nikitembea sana 120. Thanx kwa experience yako mzee. Pia mie siichukui kwa ajili ya safari ndefu ni mizunguko yangu tu na kwenda job basi hizo safari itokee mara moja moja tu
  7. mzee mbaya

    Je, matumizi ya mafuta kwenye Toyota Crown Athlete yapoje?

    Kabisa kwenye heshima ndicho kilichonivutia pia
  8. mzee mbaya

    Je, matumizi ya mafuta kwenye Toyota Crown Athlete yapoje?

    Ngoja nijilipue mkuu japo ndo itakua gari yangu ya kwanza ila nimefanya research na nimejiridhisha nimetoa uoga, maana nilikua na chaguo la Mark x kabla
  9. mzee mbaya

    Je, matumizi ya mafuta kwenye Toyota Crown Athlete yapoje?

    Baada ya kupitia mijadala mingi kuhusiana na huu mkoko nimeamua kwa dhati kabisa kujitosa kuuagiza used kutoka japan huenda muda mwingine uoga wetu tu unatufanya kushindwa kuwa na vitu vizuri.
  10. mzee mbaya

    Anatafuta kazi ya duka

    Picha yake tumthaminishe kama anafaa Sent using Jamii Forums mobile app
  11. mzee mbaya

    Kutofoutiana kwa bei ya CIF, TRA wanaifuata ipi wakati wa malipo?

    Mkuu nina m 13 kibindoni naweza kumiliki crown athlete cc 2500 toka japan Sent using Jamii Forums mobile app
  12. mzee mbaya

    Kwa anayefahamu viwanja vizuri vya sharehe Kigamboni Dar-es-salaam vyenye malaya wakutosha

    Kuna sehemu za beach na maeneo mengine ya kawaida sijui wewe unapendelea yepi mkuu ila kwa starehe kigamboni bado kidogo Sent using Jamii Forums mobile app
  13. mzee mbaya

    Ma Producer hawa wamepotelea wapi..?

    Una utani mkuu. Sent using Jamii Forums mobile app
  14. mzee mbaya

    Trafiki wamburuza dereva wa lori mlangoni kwenye harrier Morogoro

    Tii sheria bila shuruti Sent using Jamii Forums mobile app
  15. mzee mbaya

    Je, uliwahi kuwa maarufu shuleni?

    Advance wazee wa tungi na kumoker kila mtu alitufahamu aisee Sent using Jamii Forums mobile app
  16. mzee mbaya

    Je, matumizi ya mafuta kwenye Toyota Crown Athlete yapoje?

    Mkuu ungejaribu kushare experience yako [emoji23][emoji23][emoji23] ila huu ushauri wako nimeuelewa Sana Sent using Jamii Forums mobile app
  17. mzee mbaya

    Kuna uhusiano gani kati ya mafundi wa nguzo wa Tanesco na matusi?

    Alipoanza alisemaje mama naumiaaa Mara ya pili akasemaje mdogo mdogo inaingiaaaa [emoji3][emoji3][emoji3]
  18. mzee mbaya

    Ushawai kusikia gari ya ubalozi au kampuni kubwa za kimataifa limepata ajali? Serikali ikajifunze kudhibiti mali zake

    Zipo zinazopataga ajali kuna nchi fulani nishafanya nao kazi kuna gari zao nyingi tu zimepata ajali na wametenga sehemu wanazihifadhi then wanazipiga mnada mkuu
Back
Top Bottom