Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 67,099
- 173,811
Hio gari ni nzuri aisee, very comfortable hata kwa safari ndefu. Kwa wale tusio na uwezo na ma VX V8 ni mahala salama pa kupunguzia machungu. Crown ukijua kuiendesha haikutesi wala nini. Wanaoumia ni wageni wa magari😂Baada ya kupitia mijadala mingi kuhusiana na huu mkoko nimeamua kwa dhati kabisa kujitosa kuuagiza used kutoka japan huenda muda mwingine uoga wetu tu unatufanya kushindwa kuwa na vitu vizuri.