Kutofoutiana kwa bei ya CIF, TRA wanaifuata ipi wakati wa malipo?

Mtanzanyika

JF-Expert Member
Feb 12, 2015
370
424
Heshima kwenu wakuu,

Napenda kufahamu endapo CIF price ya gari unayotaka kununua inapokuwa kubwa kuliko CIF price ambayo TRA wameiweka kwenye calculator yao

Je, wakati wa kulipa kodi gari inapofika nchini TRA wata-consider CIF price ipi.? Kwa mfano, CIF price ya Toyota Harrier ya mwaka 2009 kwa Beforward ni USD 3790, lakini kwenye calculator ya TRA ni USD 3500.

Je gari hii itakapofika nchini, kwenye ulipaji wa kodi TRA wata-consider CIF price ipi ili kuchaji VAT.?

Wata-consider ya kwenye calculator yao au wata-consider uliyolipa mteja kwa Beforward.?

Karibuni kwa majibu na maelezo

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Wao wanachukua kubwa. Kwahyo yako watachukua hyo utakayolipia uko Befoward.
Suluisho ni wewe kupambana na hao befoward wakupe discount nzuri na pia kampuni ziko nyingi skuhizi..
Heshima kwenu wakuu,

Napenda kufahamu endapo CIF price ya gari unayotaka kununua inapokuwa kubwa kuliko CIF price ambayo TRA wameiweka kwenye calculator yao, je wakati wa kulipa kodi gari inapofika nchini TRA wata-consider CIF price ipi.? Kwa mfano, CIF price ya Toyota Harrier ya mwaka 2009 kwa Beforward ni USD 3790, lakini kwenye calculator ya TRA ni USD 3500. Je gari hii itakapofika nchini, kwenye ulipaji wa kodi TRA wata-consider CIF price ipi ili kuchaji VAT.? Wata-consider ya kwenye calculator yao au wata-consider uliyolipa mteja kwa Beforward.?

Karibuni kwa majibu na maelezo

Sent from my iPhone using JamiiForums

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Heshima kwenu wakuu,

Napenda kufahamu endapo CIF price ya gari unayotaka kununua inapokuwa kubwa kuliko CIF price ambayo TRA wameiweka kwenye calculator yao

Je, wakati wa kulipa kodi gari inapofika nchini TRA wata-consider CIF price ipi.? Kwa mfano, CIF price ya Toyota Harrier ya mwaka 2009 kwa Beforward ni USD 3790, lakini kwenye calculator ya TRA ni USD 3500.

Je gari hii itakapofika nchini, kwenye ulipaji wa kodi TRA wata-consider CIF price ipi ili kuchaji VAT.?

Wata-consider ya kwenye calculator yao au wata-consider uliyolipa mteja kwa Beforward.?

Karibuni kwa majibu na maelezo

Sent from my iPhone using JamiiForums
Hongera kwa uamuzi wako wa kutaka kununua usafiri!

Hilo suala usihofie, agent anajua namna ya kulifanya

Aidha, nichukue nafasi hii kukukaribisha ofisini kwetu, uagize hiyo gari kutokea be forward, uweze kupata nafasi ya kuimiliki kwa malipo ya awamu awamu ya hadi miezi 7

Karibu sana
 
Mkuu nina m 13 kibindoni naweza kumiliki crown athlete cc 2500 toka japan
Hongera kwa uamuzi wako wa kutaka kununua usafiri!

Hilo suala usihofie, agent anajua namna ya kulifanya

Aidha, nichukue nafasi hii kukukaribisha ofisini kwetu, uagize hiyo gari kutokea be forward, uweze kupata nafasi ya kuimiliki kwa malipo ya awamu awamu ya hadi miezi 7

Karibu sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni vizuri kwanza kucheki kwenye soko bei ya gari na kucheki pia hesabu ya TRA kwa sababu info hio inapatikana bure kwenye internet. Halafu kununua au kupanga bei na mwuzaji.
 
Back
Top Bottom