Search results

  1. Msukuma Msomi

    Nafasi ya Kazi: Dada anahitajika awe Secretary kwenye Kampuni ya bandarini/TPA

    Mmeshanichosha nkoi. Siku ingine hata nikiskia mitonyo napotezea tu maana wajinga wengi sana aisee.
  2. Msukuma Msomi

    Nafasi ya Kazi: Dada anahitajika awe Secretary kwenye Kampuni ya bandarini/TPA

    Mimi sijui. Kama una shida na kazi njoo nikipeleke muelewane. Full stop.
  3. Msukuma Msomi

    Nafasi ya Kazi: Dada anahitajika awe Secretary kwenye Kampuni ya bandarini/TPA

    No. Ilikuwa ni conversation tu kwamba kuna mtu unamjua? Nahitaji secretary...sasa mimi sina mtu wa design hiyo, ndio nikapost. Ajabu watu wanaona natafuta demu!!! wakati nina thread ya kutafuta mke na nikaleta na mrejesho, na kika ninachoandika anakiona.
  4. Msukuma Msomi

    Nafasi ya Kazi: Dada anahitajika awe Secretary kwenye Kampuni ya bandarini/TPA

    Wakuu hamjambo? Nina rafiki yangu Muhindi ambaye ana Kampuni inayohudumia bandari za Tanzania (TPA), anahitaji binti wa kukaa mapokezi/Secretary wa Kampuni. Awe anajua Kingereza, kutype/Microsoft Word, Excel na Outlook. Awe na elimu yoyote kuanzia ngazi ya Diploma. Form six anaweza kufikiriwa...
  5. Msukuma Msomi

    Wanawake tunakuwa na thamani pale tunakuwa tumevaa nguo

    umet*mbwa tangu darasa la 4 hadi saivi afu ndo unajishaua ati "sit*mbwi tena"...nani amekwambia ana shida na zilizotumika/poteza mvuto/zenye obesity?
  6. Msukuma Msomi

    Baada ya Dr.Kigwangala, Mwigulu, sasa ni zamu ya Makonda kuhusu jina, hii inaweza kuwa kweli au?

    Azunguke kote ila asituendee tu Kigoma...wale watu hawana mchezo mchezo, unayemdai akikuendea huko unasahau deni:)
  7. Msukuma Msomi

    Mchungaji Gwajima: Daudi Albert Bashite alipata division Zero

    Kila mtu anaona jinsi RC wa Dar es Salaam anavyotapatapa kwa Viongozi wa Dini. Jambo hili Manji alilisema kwenye press conference yake kwamba Makonda alipaswa kutafuta Viongozi wa Dini wamsaidie kabla hajakurupuka. Matokeo yake ameona umuhimu huo baada ya kuwa aneshaharibu. Binafsi naona Manji...
  8. Msukuma Msomi

    Nape Nnauye: Unawezaje kumtaarifu Muuza Dawa za Kulevya kuwa unataka kumkamata?

    Sawa mkuu, tumejua na wewe na flati skirini.
  9. Msukuma Msomi

    Kuna mtu anataka kunidhulumu, naomba msaada wa kisheria

    Habari zenu wanaJF, Hapa kazini kuna mfanyakazi ambae aliniomba mkopo na hhatukuandikishana. Nimejaribu kumdai lakini ameishia kutaka kunidhulumu maana kila tukionana ananikwepa. Naomba ushauri, ni taratibu gani za kufuata endapo unadai deni ambalo hamkuandikishana?
  10. Msukuma Msomi

    Watanzania acheni kujibashtisha, Mungu anawaona.

    Unakuta mtu anatangaza biashara, unafika eneo la tukio, ila unakuta amebashite, yaani kwenye WhatsApp alikwambia simu ni Original, ukifika eneo la tukio anakuonyesha kibashite cha hivyo hovyo! Acheni izo.
  11. Msukuma Msomi

    Baada ya Audio kuvuja, Tunda Amlipua Steve Nyerere

    Nimeelewa ulichotaka kusema ila Google keyboard imereplace maneno yako afu we ndo ukaonekana bashite:)
  12. Msukuma Msomi

    Makonda, onesha Vyeti vyako halali wanaokutuhumu waaibike

    Toka hapa ... Kajibashtishe huko
  13. Msukuma Msomi

    WABONGO HATUSHINDWI

    ebu nitokee hapa kajibashtishe huko
  14. Msukuma Msomi

    Msaada: Natafuta CV ya Josephat Gwajima

    Mkuu acha unafiki. Hakuna jumapili yoyote ambayo Gwajima hakutaha CV yake, anaitaja kila jumapili: Aliumwa miaka 6, akaponywa na Yesu, akamaliza chuo, akawa Mchungaji/Mtumishi....FULL STOP. Tatizo umezoea CV ni lazima iandikwe kwenye Microsoft Word na iwe na page 2.
  15. Msukuma Msomi

    Mchungaji Gwajima: Daudi Albert Bashite alipata division Zero

    Acha kupanic... Wacha dawa ikuingie ewe Bashite mdogo.
  16. Msukuma Msomi

    Picha: Acheni utani, Wema mrembo bhana.

    Kwa uzuri gani sasa?? Kuvaa kishudu kichwani na gauni la Harusi?
Back
Top Bottom