Msukuma Msomi
Senior Member
- Feb 6, 2017
- 173
- 149
Unakuta mtu anatangaza biashara, unafika eneo la tukio, ila unakuta amebashite, yaani kwenye WhatsApp alikwambia simu ni Original, ukifika eneo la tukio anakuonyesha kibashite cha hivyo hovyo!
Acheni izo.
Acheni izo.