Search results

  1. DullyJr

    Kumbukizi: Simba sc baba lao

    UTOPOLO Hakuna rangi walioacha kuiona kwa MWAMBA WA LUSAKA
  2. DullyJr

    Video: Utopolo wamewaponza wenzao,kufungwa wamefungwa na kichapo wamekula

    Samahani,nilichelewa kuchukua hii video, Lisaa limoja kabla mechi kuanza timu nzima ya JWANENG iliingii uwanjani ikiongozwa na kocha wao msechu, Kocha akaenda katikati ya uwanja akamwaga vitu kama unga,akaja goli la kwanza akamwaga na goli la pili akamwaga watu wakawa wanazomea.... Kipindi hiko...
  3. DullyJr

    Yanga lipeni kwanza madeni ya mzee Azim Dewji

    MZEE TUTUME MACHAWA TUKADAI [emoji108][emoji2957][emoji3] "Mwaka 1994 Simba tulifanya vibaya kimataifa Yanga wakafanya vyema, Yanga hawakuwa na pesa yakucheza mechi ifuatayo, kiongozi wao Gulamali na mwenzake wakaomba niwakopeshe dola 4500, Yanga hawakurudisha mpaka leo na hakuna ubaya wowote...
  4. DullyJr

    Tetesi: Simba SC kutumia New Amaan Stadium

    Chini ya kapeti, Uongozi wamepeleka ombi hilo kuwa wanahitaji kutumia uwanja huo kwa mechi zake za nyumbani baada ya ule wa UHURU kufungiwa.
  5. DullyJr

    Mafanikio ya simba sc kwa msimu huu

    Ngao ya jamii - wanaume Ngao yajamii - wanawake Mashabiki bora Afrika Ufunguzi wa kishindo AFL ubunifu - kibegi,simba day,whatsap channel,visit zanzibar [emoji23][emoji23][emoji23]
  6. DullyJr

    Kauli ya mwenyekiti Mangungu kuhusu michango ya ujenzi wa kiwanja inafikirisha sana, bado haijawa wazi

    "Simba imeshafanya mambo mengi makubwa, yaliyopita, yanayofanyika sasa na mengine yanakuja." "Sisi mliotupa dhamana tupo tayari kupokea maoni ambayo yataipeleka Simba mbele." "Lengo letu ni kujenga umoja. Mfano mtu anasema uwekezaji hauna faida wakati kabla ya uwekezaji mapato yalikuwa Tsh...
  7. DullyJr

    Adel Amrouche Aigharimu TFF USD 10,000

    ADEL AMROUCHE AMEIGHARIMU TFF USD 10,000 Shirikisho la mpira wa Miguu Barani Africa (CAF) limeipiga Faini ya USD 10,000 Shirikisho la mpira wa Miguu Tanzania (TFF) kutokana na tuhuma za Kocha Adel Amrouche Kwa Shirikisho la mpira wa Miguu la Morocco (FRMF) Kocha Adel Amrouche aliituhumu...
  8. DullyJr

    Seria A hawakamatiki kuhusu ubaguzi wa rangi, golikipa Maignan aonja joto la ubaguzi

    [emoji3590][emoji1478] Maignan: "We can’t play football like this, we should stop. 𝐖𝐞 𝐜𝐚𝐧’𝐭 𝐚𝐜𝐜𝐞𝐩𝐭 𝐫𝐚𝐜𝐢𝐬𝐦". “At the first goal kick I heard monkey chants, I didn’t say anything. Second goal kick… they did it again so I called the bench and fourth referee to stop the game”. “There needs to be...
  9. DullyJr

    Utoaji maoni kutoka kwa wananchi dira ya 2050.

    Hivi wana nia ya dhati? Au ndio wanazuga watu,maana ukiingia katika kiunganishi(link) walichotoa hakifikiki,na ukiingia kupitia simu via *152*00# unatakiwa uwe faster kama unataka kuweka mkeka nafikiri wanatumia janjajanja ya kanjibai zamani ili tushindwe kufikia malengo,maana wanatoa dakika 1...
  10. DullyJr

    Cristiano Ronaldo: Saudi Pro League is more competitive than Ligue 1

    [emoji599] Cristiano Ronaldo: “𝐒𝐚𝐮𝐝𝐢 𝐋𝐞𝐚𝐠𝐮𝐞 𝐢𝐬 𝐛𝐞𝐭𝐭𝐞𝐫 𝐭𝐡𝐚𝐧 𝐋𝐢𝐠𝐮𝐞𝟏 already now, I’m sure of that" [emoji1210] ◉ “Saudi Pro League is more competitive than Ligue1, I can say that after one year spent there and I’m sure”. ◉ “We are better than French league already now”. ◉ “I feel so happy at Al...
  11. DullyJr

    Farhan Kihamu ana majibu yako wewe mfia timu

    Huwa nikisikia Shabiki kwenye Kipaza sauti anaanza kwa kusema “Tunaoumia ni sisi Mashabiki kuliko wao” basi naachana na kusikiliza naendelea na mambo mengine, kwenye huu mpira wetu wa Bongo hakuna Shabiki wa Simba wala Yanga anayeumia kuliko Matajiri wanaoweka mzigo wao kwenye hizi timu. Yaani...
  12. DullyJr

    Usajili uliokamilika dirisha dogo

    •Jimmyson Mwanuke —Simba [emoji654] Mtibwa Sugar •Erick Mwijage—West Armenia [emoji654] Geita Gold •Erick Johora—Geita Gold [emoji654] Mashujaa •Mapinduzi Balama—Coastal Union [emoji654] Mashujaa •Shaban Chilunda—Simba [emoji654] KMC •Meddie Kagere—Singida FG[emoji654] Namungo FC •Shiza...
  13. DullyJr

    Peter Banda is close to joining KMC

    [emoji599] EXCLUSIVE: Peter Banda is close to joining KMC. [emoji1156][emoji92] Singida still having issues concerning their ban by FIFA. Money has become difficult. [emoji3578] Also told, some players like Kyombo, Rupia, Marouf can all possibly leave to Ihefu. #Transfers #AfricanFootball...
  14. DullyJr

    Jemedari Said: Mpira ni mchezo wa makosa

    Maoni yangu kuhusiana na muda/ dakika zinazoongezwa baada ya dakika 90 za mchezo kumalizika (additional or added minutes), maoni yamejikita kwenye ukweli na uhalisia wa jambo lenyewe kwa wale ambao hawana uelewa kuhusiana na huu muda/dakika za nyongeza. MPIRA NI MCHEZO WA MAKOSA Kagere kukosa...
  15. DullyJr

    Afrika: Yamikani Fodya astaafu akiwa na umri wa miaka 32 tu

    Afrika bara langu,Nakupenda sana
  16. DullyJr

    Nassor Kapama mbioni kujiunga na mtibwa sukari

    Nassor Kapama to join Mtibwa Sugar on a two-year deal from Simba SC. [emoji352] Mickyjnr[emoji3578]
  17. DullyJr

    Wachezaji 27 wa kikosi cha Mwisho watakao wakilisha Tanzania AFCON

    Hawa ndio watakaokwenda kupambania taifa letu. Kila la heri kwao.
  18. DullyJr

    Simba yamsajili kiungo Babacar Sarr

    Official and confirmed: Babacar Sarr is a new midfielder for Simba SC. [emoji599] #Transfers #AfricanFootball #NguvuMoja [emoji881] Source:Mickyjnr
  19. DullyJr

    Onana asakwa kama dhahabu

    Can confirm: JS Kabylie have expressed strong interest in the signing of Willy Onana from Simba SC. First offer set to arrive next week. [emoji599] JSK want Onana as a replacement for Msuva who they parted ways with recently. Also, on the list is Abedi Bigirimana from Police Kibungo in...
  20. DullyJr

    Kikosi cha Taifa Stars kuelekea AFCON 2024

    Majina ya wachezaji waliotwa kwenye kikosi cha Yaifa Stars kinachoenda AFCON 2024 . 1. Aishi Manula 2. Kawawa 3. Beno Kakolanya 4. Bakari Mwamnyeto 5. Mohammed Hussein 6. Sospeter Bajana 7. Simon Msuva 8. Feisal Salum 9. Danilo 10. Lusajo Mwaikenda 11. Kibu Denis 12. Samatta Mbwana 13...
Back
Top Bottom