Search results

  1. Bonobo

    Jinsi gani ya kutoa mzigo bandarini mwenyewe bila Wakala?

    Habari wakuu? Naomba niende kwenye hoja ya msingi, Kuna mzigo nimeagiza kutoka china, sasa umekaribia kufika... wakati nafikiria jinsi ya kuutoa bandarini, nikakumbuka kuna kipindi lilitoka tamko kuwa mtu mwenyewe(nikimaanisha mwenye mzigo) ana uwezo wa kufanya clearance ya mzigo wake mwenyewe...
  2. Bonobo

    Naomba ushauri ili nichague kati ya gari aina ya Ist au Premio kwa mama mtu mzima

    Habari wakuu? Nlikuwa nafikiria kumchukulia mama angu gar ya kuwa anatembelea hapa mjin, gar ambayo unywaji wake wa mafuta hautomtesa lakin pia yeye kama mama atafanana nayo. Mimi kama mimi, naikubali sana Premio model ya kuanzia 2004 had 2006 ambayo imezoeleka kama premio new model, mapenz...
  3. Bonobo

    Civil consultants.

    Habari wakuu,? Samahani wakuu..Hivi kwa hapa Tanzania, nawezaje kujua majina ya consulting firms ambazo zimepewa kazi ya ku design structure mbalimbali, kabla hata consultant hajamaliza kazi yake ya ku design? Yan ile amepewa kazi ya kudesign... uweze kujua jina la project na consulting firm...
  4. Bonobo

    Gari ya wizi...

    Habari wakuu..? Wakat nafikiria hekaheka za kuachana na kuminyana kwenye mwendokasi, Kuna jamaa anataka kuniuzia premio new model yenye namba DA... kwa shillingi million 7. Nipo najifikiria kwa hyo bei.. hisije ikawa jamaa anataka kuniuzia gari ya mbio( yani ya wizi). Swali langu sasa...
  5. Bonobo

    Samsung smart tv curved 55 kwa Tsh. 630,000/-

    Habari wakuu...? Katika kupita pita instagram, nimekutana na jamaa wapo zanzibar... wanauza samsung tv curved 55" kwa laki 6 na usafir elf 30... jumla 630k. Nipo najifikiria kuichukua... lakin kwa hyo bei nahisi kuna dalili za kupigwa... Naomba tupeane uzoefu katika hili...
  6. Bonobo

    Maswali ya interview TRA, post ya accountant.

    Habari wakuu, hapa nataka tutumie vipaji vyetu vya kubashiri kwenye mambo ya msingi kidogo. Tusaidiane kuweka vichwa vya habari vya issue kubwa kubwa za kiuchumi zilizotokea africa mashariki kwa ujumla, tangu awamu ya tano ianze. Naamin kijana akipitia katika ishu zoote zitakazowekwa hapa...
  7. Bonobo

    Auditing firms: Kwanini makampuni mengi ya wazawa hayafanyi vizuri kama makampuni ya nje?

    Habari zenu wakuu? Kuna baadhi ya maswali huwa najiuliza kuhusiana na auditing firms hapa tanzania, kwa yeyote mwenye uelewa naomba anipe maelezo. Hiv kwanin makampuni mengi ya wazawa hayafanyi vizur km ilivyo makampuni ya nje kama kina KPMG, PWC n.k? vijana wengi wa field ambazo ni tofauti na...
  8. Bonobo

    Naombeni ushauri aisee

    Kuna bint nliwahi kumpenda mnoo...nimemfukuzia kwa kipind kirefu bila mafanikio... kila nikimtongoza anakataa lakin akawa haachi kunitafuta kwenye simu. Katika kipind chote hko ilikuwa inaonyesha hana mtu, lkn alipofika chuo mwaka wa mwsho akawa ananionyesha wazi waz kuwa ana jamaa yake na...
  9. Bonobo

    Utata juu ya majibu haya ya vvu

    Habari zenu wakuu? Naomba niende moja kwa moja kwenye utata, Juzi kati nlikutana na mwanamke flani nikavutiwa nae kimapenz, nikamtongoza tukaelewana fastaaa. Baada ya kuanza uhusiano, akaanza kuniandalia mazingira nimtafune, mi kwakuwa sikumjua vizur nikawa na hofu nikawa najisemea "anataka...
Back
Top Bottom