Bonobo
JF-Expert Member
- Jan 29, 2017
- 364
- 670
Habari zenu wakuu?
Naomba niende moja kwa moja kwenye utata,
Juzi kati nlikutana na mwanamke flani nikavutiwa nae kimapenz, nikamtongoza tukaelewana fastaaa.
Baada ya kuanza uhusiano, akaanza kuniandalia mazingira nimtafune, mi kwakuwa sikumjua vizur nikawa na hofu nikawa najisemea "anataka kuniua nin?"
Nikaamua kumchekecha, nikamwambia akapime vvu aniletee kikaratasi, kweli akaenda kupima tar 27/5/2017 lakin sasa nyuma ya karatasi kinaonyesha ameambiwa arud tar 27/11/2017.
Ukihesabu vizur hyo ni miez 6 baadae.
Nisichokielewa mimi sasa, mtu ukipima ukikutwa huna maambukiz si inabid urud baada ya miez 3, inakuaje ye aambiwe arud baada ya miez 6?
Naomba mnifungue macho na akili wakuu, natanguliza shukrani.