Search results

  1. T

    Siasa za Bongo zinanishangaza sana

    Katika siasa hakuna rafiki wa kudumu pia adui wa kudumu
  2. T

    Vyeti feki: Daktari Mkuu Morogoro akumbwa, ni msomi toka Urusi aliyekaribia kustaafu

    Inawezekana tu,,,kuwa na cheti feki ina maana nyingi,,inawezekana alimaliza kidato mf cha NNE akashindwa kupata pass za kumwezesha kusoma akipendacho,,akaamua kufanya manuva akapata cheti kingine na kuendelea na masomo,,kufeli haimaanishi huna akili,,kufeli kunaweza kusababishwa na mambo...
  3. T

    Aliyetoa maoni "Acha Wafe" kwenye habari ya kuuawa askari 8 atiwa mbaroni Mbeya

    Naomba kujua,,anaweza funguliwa kesi gani ;!!!?
  4. T

    Nina miaka 28 ninaweza kumuoa mwanamke mwenye miaka 27?

    Mke sio saizi ya kiatu,,kikubwa kila MTU atambue wajibu wake
  5. T

    Yaani hata CCM wamshangaa Roma wahoji anaficha nini?

    Roma katudanganya sana,,tena mungu atatakiwa amchape
  6. T

    Yaani hata CCM wamshangaa Roma wahoji anaficha nini?

    Una haki kutumia hiyo lugha,,maana ni kweli nilikurupuka kumuonea huruma Roma
  7. T

    Yaani hata CCM wamshangaa Roma wahoji anaficha nini?

    Nashukuru kwa kunikumbusha,,,yaani Roma tulikuwa tumemuonea huruma,,ni sawa na wale wanaowaonea huruma wanoigiza kufa kwenye movie,, Roma alifanikiwa pakubwa kuichezea akili ya yangu pakubwa,,,mungu aendelee kumuona hakika
  8. T

    Yaani hata CCM wamshangaa Roma wahoji anaficha nini?

    Binafsi najilaumu kwa nini niliuruhusu moyo wangu kuumia kwa lile igizo la utekwa kwa Roma
  9. T

    Yaani hata CCM wamshangaa Roma wahoji anaficha nini?

    Roma kaudanganya umma,,eti walivaa vitambaa,,waliingia studio huku wanasiraha na wamevaa vitambaa then unakubali kirahisirahisi tuu,,mmmmmmmmmmm hii ni comedy,,
  10. T

    Yaani hata CCM wamshangaa Roma wahoji anaficha nini?

    Roma ukimuangalia usoni anapoongelea kutekwa kwake hakuhitaji use na PhD ili ugundue kama anafanya komedi,,najilaumu sana kwa nini nilimuonea huruma niliposikia ametekwa,,kwa ule ukweli Roma mungu anamuona, hakika Roma kuna kitu kakificha,,:eti hajjui walimpeleka wapi,!!?,inamaana eneo...
  11. T

    Mke/Mume ni Bora kuliko Mama kuliko chochote!

    Zilizokuwa zinaitwa din za jadi,
  12. T

    Mke/Mume ni Bora kuliko Mama kuliko chochote!

    Mwalimu wa history aliniambia et din ililetwa na watu wa ulaya,,et kabla ya wazungu kuja afrika tulikuwa na din zetu
  13. T

    Mke/Mume ni Bora kuliko Mama kuliko chochote!

    Wazungu waliileta biblia ili waufanikishe udharimu wao kwa bara la afrika,,@ ndo maana biblia hiyo hiyo inajicontradict kwenye baadhi ya vifungu,,mfano ;;mtakuwa mwili mmoja,,mara ooooohh mume na muke watatengana endapo tu mmoja wapo atakuwa mzinzi,,lakin kipengele cha mzazi na mtoto...
  14. T

    Mke/Mume ni Bora kuliko Mama kuliko chochote!

    Hahahaaaaaa,,,umenifanya nicheke kwa sauti,,,some how can be possible
  15. T

    Mke/Mume ni Bora kuliko Mama kuliko chochote!

    Ndio mkuu,,,uinazungumziaje kitu inaitwa talaka,!!? Sehemu ya mwili wako unaweza IPA talaka !!?
  16. T

    Mke/Mume ni Bora kuliko Mama kuliko chochote!

    Muke au mume sio ndugu Bali ni rafiki ,,that y kuna kitu kinaitwa talaka,,,# unampa taraka na baada ya taraka unaweza enda oa mama yake au olewa na baba yake simply becoz urafiki wenu umeisha,,but mama au baba hii kitu haipogiiiiiiii
Back
Top Bottom