Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,468
- 911,174
Kukosa uzalendo ni kutochangia michezo au kutochangia njaa....maswali ni Kizungumkuti lakini majibu ni buruga tupuWabunge waliombwa kumchangia mtanzania kwa jina Tz Super model kila mbunge akatwe Tz shilingi Elfu thelathini 30,000 ndipo mbunge wa Nkasi, Ally Kessy akapinga vikali yeye kukatwa pesa hiyo na kutishia kuwa endapo akikatwa pesa hiyo ataenda kushitaki mahakamani!
My take:
kwa hili Kessy huna uzalendo, ni jambo la kitaifa inabidi tuungane, 30,000. Sio ya kukutoa povu kwa kiwango hicho kama mbunge mwenye kipato cha kukutosha