Nina miaka 28 ninaweza kumuoa mwanamke mwenye miaka 27?

Mimi ni kijana nina miaka 28 kunabinti wa miaka 27 nimempenda vipi nikimuoa itakuwa sawa? Naombeni ushauri.
Hivi mtu huwa anaoa kulingana na ushauri wa watu au mapenzi ya dhati kwa huyo muhusika wake.!?
Kama wengi humu wakisema usimuoe utafanyaje sasa na umesema umeshampenda tayari.
Fuata moyo wako kama anavigezo vyote weka ndani maana wapo wanatofautiana zaidi ya miaka hata kumi, ila wangesema wafuate ushauri wa watu kama wewe sidhani kama wangefanikisha.
 
Mbona mm Nina 28 nimemuoa miaka 33
DSC_0098_add8b.JPG
DSC_0426.JPG
 
  • Thanks
Reactions: e2n
Hivi hiki kigezo cha wanaotaka kuuona wawe na gap kubwa mantiki yake hua siielewi kwan kukiwa na gap dogo LA miaka shida iko WAP???? Au Kama mkilingana kabsa miaka shida nn???....na ukizingatia mnapendana....
Wenyewe wanasema kwamba wanawake tunawahi kuchoka! Eti uzazi na blah blah nyingine lkn ukiwa na pesa zako ukajali diet na mazoezi wote mtakua vijana tu kama dai na Zari
 
Inasemekana mwanamke anawai kuzeeka,tofauti na mwanaume kiasi kwamba ukioa unaelingana nae yeye atawahi kufikia ukomo wa kutokufanya mapenzi wakt ww ukiwa na nguvu zako zote...ishu itakuja kila ukitaka akuridhishe inashindikana na kuweza kukufanya ww kuchepuka kutembea na vibinti
Mnachepuka mbn na ndani mnatuachia warembo wakali....sema kushare kawaida. oa aliyekufata
 
Ila wakati mwingine vibinti vinavutia sana kwenye ndoa.maana ukutoka kwenye mihangahiko yako unakuta sura yakuvutia home.wakina mama wazee wanakera sana na misura yao ya uzee na misauti minene hasa watoka mbeya
Yaani hata umuoe wa miaka kumi na mbili 12 Kama anajiweka rafu. Ukimlinganisha na miaka 30,bado utaona wa 30 anavutia. Ni matunzo tu. Mbona
 
Inasemekana mwanamke anawai kuzeeka,tofauti na mwanaume kiasi kwamba ukioa unaelingana nae yeye atawahi kufikia ukomo wa kutokufanya mapenzi wakt ww ukiwa na nguvu zako zote...ishu itakuja kila ukitaka akuridhishe inashindikana na kuweza kukufanya ww kuchepuka kutembea na vibinti
Untrue
 
Nilipokutana nae nilimuuliza anahisi nina umri gani akaniambia 28, mhh wewe mbona huko nilikuwa zamani sana nilijesemea moyoni. Lakini halikuwa linanipa Amani, siku nilipomwambia umri wangu alishtuka sana, akasema inamaana wewe ni mkubwa kuliko kaka yangu wa kwanza? Alijitafakari sana baadae alirudi. Ukweli umeniacha huru sasa hivi ninaweza kuweka passport yangu hata juu ya meza.
Safi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom