Mke/Mume ni Bora kuliko Mama kuliko chochote!

Muke au mume sio ndugu Bali ni rafiki ,,that y kuna kitu kinaitwa talaka,,,# unampa taraka na baada ya taraka unaweza enda oa mama yake au olewa na baba yake simply becoz urafiki wenu umeisha,,but mama au baba hii kitu haipogiiiiiiii
Mkuu mke/mume ni sehemu ya mwili wako.
Ni zaidi ya wazazi wako au watoto wako.
 
Uliwahi kuchunguza mtu yeyote aliyetoa talaka au kupewa talaka nini huwa kinatokea hapo?
Labda kama hawajaunganishwa na Mungu...
Wazungu waliileta biblia ili waufanikishe udharimu wao kwa bara la afrika,,@ ndo maana biblia hiyo hiyo inajicontradict kwenye baadhi ya vifungu,,mfano ;;mtakuwa mwili mmoja,,mara ooooohh mume na muke watatengana endapo tu mmoja wapo atakuwa mzinzi,,lakin kipengele cha mzazi na mtoto kutengana kwa dhambi yoyote sijawahi kisikia,,,hii kumbe hata biblia inajua muke# mume sio ndg ni rafiki tuu,,kila ni rafiki wa karibu kuliko mwingine
 
Usipotoshe mkuu, nani alikuambia Wazungu waliileta biblia?
Waliitoa wapi....
 
Wazazi ni bora kuliko wote. Unaweza kuumwa hoi bin taaban mzazi akakuuguza na kukuvumilia bila kulalamika sehemu yoyote,ila mke,mume,mtoto atapiga soga la kila aina kwa mashosti na watu baki kuonyesha kaelemewa na mzigo wa kuuguza
 
Hujawahi kuona mtu kakimbiwa na ndugu zake +wazazi then kabaki na mkewe katika matatizo ?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom