Search results

  1. Mayor Slum

    Je Biashara unayofanya inatatua tatizo gani katika jamii? What problem does your business solve?

    Jamii inayotuzunguka au tunayoishi ina matatizo au changamoto nyingi. Je, biashara yako inatatua tatizo gani katika jamii?
  2. Mayor Slum

    Naomba mwongozo wa written interview Kada supplies officer II utumishi

    Naomba mnisaidie sehemu au mwongozo wa written interview Kada ya supplies officer II hii ndio mara ya kwanzq kuitwa kwenye interview .Naomba mniambie mambo ya kusoma .
  3. Mayor Slum

    Makao Makuu posta ni wakati mwafaka sasa wa kuachia mizigo

    Kuna jambo lakusikitisha sana mpaka sasa.Tangia Corona ianze posta wamezui kutoa na kusambaza mizigo kwenda mikoani sababu ya korona Watu wengi mnatuasili sana sana Tunaomba posta makao Makuu Msambaze mizigo yote iliyopo huko Maisha lazima yaendelee Mizigo yote iliyopo huko tunaomba isambazwe...
  4. Mayor Slum

    Kuna anayefahamu Pesa Heshima Mjini wanafanya nini?

    Habari za leo wana JamiiForums Awali ya yote naamini kila mtu anaendelea na majukumu yake kama kawaida pia kuwa mwangalifu na kujikinga na ugonjwa wa Corona Naomba nisiwachoshe leo nilikuwa napenda mnieleweshe au kama kuna watu wameshashiriki semina ya Pesa Heshima Mjini ambapo mpaka sasa...
  5. Mayor Slum

    Je, chuo gani mtu anaweza kusoma graphic design, video editing?

    Habari za leo wakuu wa Jamii Forum, Nimatumaini yangu kuwa mnaendelea na harakati za kutafuta maisha ,nilikuwa naomba kama kuna mtu anafahamu chuo chochote mtu anaweza kusomea mambo haya: Videography Videoediting Photograph Graphic design Hata kama unafahamu pia mitandao inayoweza kumpa mtu...
  6. Mayor Slum

    Uchaguzi 2020 Tusipoweka Tume Huru ya uchaguzi Mwaka huu Tanzania tutawekewa vikwazo kiuchumi

    Kwa siasa za Tanzania amabazo sio za kistarabu kabisa yaani za uchafuzi naamini tunaenda kupata vikwazo vya uchumi ambavyo vitatuathiri hata watu wengine tusio na kosa sababu ya wajinga wachache 1 waraka wa Marekani uliotolewa leo umeenda sambamba kupwiga ban Mkuu wa Mkoa kwa hiyo Marekani...
  7. Mayor Slum

    Naomba ushauri wenu wakuu kuhusu kuzamia United kingdom

    Mimi ni kijana mjasiriamali mdogo pia nimebahatika kisoma mpaka chuo kikuu Nikatafuta kazi kwa miaka miwili hola sasa nimeamua kujiajiri hapa kwa kufanya biashara mdogo ndogo Pia nilikuwa nalengo za kuzamia huko majuu kwa sababu biashara ndogo ndogo nayofanya naona hanilipi pia nimebahatika...
  8. Mayor Slum

    Je, vijana walio mtaani tofauti na wahitimu wa vyuo vikuu (Graduates) wamefanikiwa sana?

    Hapa JamiiForums kumekuwa na nyuzi nyingi sana zikiwashambulia sana wahitimu wa Vyuo Vikuu maarufu kama 'Graduates' kuwa wanafeli maisha. Hebu leo tujiulize. Je, vijana ambao wako mtaani hawajafanyikiwa kusoma chuo au kufika mpaka chuo kikuu wamefanikiwa sana au la? Leo tuanze kwa...
  9. Mayor Slum

    Kwa Watanzania mliofanyikiwa kufika Ulaya((Marekani Majuu) mlitumia njia au mbinu gani kufika Huko

    Habari za Leo Wadau wa Jamii Forum Tukiachana nayoye tumekuwa tukipata habari mbalimbali kuhisu jamii Forum kuhisu Majuu Ulaya(Marekani) Kapan wati wakielezea maisha ya huko njisi yalivyo pia kumekuwa na mchuano Mkali sana kwa sasa kuhusu maisha huko Majuu ambapo tumepata mawili matatu kuhusu...
  10. Mayor Slum

    Wale Graduate mlioweza kujiajiri mlitumia mbinu (njia) kuweza kujiajiri?

    Kutokana hili tatizo la ajira kuzidi kuongezeka hapa nchini na kuacha baadhi ya Graduate wakizagaa tu mtaani, kuzurula mtaani, kukaa nyumbani tu naomba mtu anisaidie kutupa njia au mbinu mlizotumia kuweza kujiajiri. Graduate wengi sana wapo mtaani kwa sasa hawajaweza kujiajiri, wengine bado...
  11. Mayor Slum

    Watanzania waishio au waliofika Japan au wanaowafahamu Wajapan .Naomba kufahamu ABC kuhusu Wajapani

    Nilikuwa naomba kama mtu yoyote au watanzania ambaye amebahatika kufahamia na wajapan .Au kusihi Japani Anisaidie ABC za hawa watu . Kuhusu jinsi wanavyowachukulia Waafrika ukiwa unazungumza nao uso kwa uso unatakiwa uzingatie nini zaidi? Maisha kwa ujumla wanapendelea nini zaidi ? Mengineyo ...
  12. Mayor Slum

    Je ,Kuna watu walioitwa Internship Za Uongozi I(nstitute

    Habari Leo wadau Wa Jamii Forum Je kuna mtu yoyote anataarifa kuwa watu walishaitwa kwenye Nafasi internship Uongozi institute Ambapo walisema watakao Fanya vizuri baada ya internship watapata Nafasi za kazi(wataendelea na kazi )
  13. Mayor Slum

    Nini kinasababisha Mtu aakituma Maombi ya kazi asietwe haya kwenye Usaili ?

    Kwa Muda Mrefu hili swala limekuwa Changamoto kubwa sana linalowakumba watu wengi kutoitwa kwenye usaili wanapotuma Maombi Je ni nini kinasababisha hili swala ? Je kutokujua kuandika barua Vizuri ya kumvutia HR ? Je Tatizo ni uandishi WA CV ? Je ni nini kitu cha muhimu zaidi kinahitaji...
  14. Mayor Slum

    Regency Medical Centre wabovu sana kwenye vipimo; wanaweza kuua watu

    Nimekuwa nikitibiwa Mara Mara hapa Regency ila naendelea kumwa tena. Kila nikiugua huwa naenda kutibiwa hapo ila Tatizo lipo kwenye vipimo Kila nikifanya vipimo mwanzo huwa sikutwi na ugonjwa wowote daktari ananiandikia dawa naenda kutumia ila siponi. Nikirudi tena kutibiwa nikiwa hoi naishia...
  15. Mayor Slum

    Kwa wanafahamu kuandaa Mchanganuo wa biashara (business plan ) na wenhe business sample Mtusaidie hapa

    Kwa wale tulio soma somo la ujasiriamali chuoni nadhani wengi mnafahamu jinsi ujasiriamali unafundiahwa chuo yaani hakuna vitendo Awali ya yote nilikuwa naomba watu wenye ufahamu wa kuandaa business plan (Mchanganuo wa biashara ) mnisaidie mm nauwasaidie wengi ,kuhusu kuandaa business plan (...
  16. Mayor Slum

    Kuna watu wa Ajabu sana Aseh , Lile Tukuio la kukutwa Takataka kwenye Chumba cha Mtu linachangiwa na nini?

    Kuna Taarifa kutoka kituo cha Habara (ITV) inaonesha jamaa Mmoja Mpangaji alikuwa anaweka ndani uchafu (takataka) hii swala lina niacha na maswali mengi sana ? Kwa wale unaofahamu maswala haya hebu naombeni utusaidie kwenye hili tukio na mtu kuweka takataka ndani ya chumba Je linahusiana na...
  17. Mayor Slum

    Naomba Kufahama kwa Undani kuhusu Interview za Utumishi

    Habari za Leo Wanajamii Forum ,Naomba kwa wote ambao mpitia interview za Utumishi ,Mtusaidie basi kuhusu maswali yanayoulizwa kwenye interview za utumishi kada ya procurement ,Vyeti gani ni muhimu zaidi vinavyohitajika ili mtu aweze kuitwa kwenye interview , na mambo muhimu zaidi ya kujiandaa au...
Back
Top Bottom