Makao Makuu posta ni wakati mwafaka sasa wa kuachia mizigo

Mayor Slum

JF-Expert Member
Jan 4, 2017
751
1,121
Kuna jambo lakusikitisha sana mpaka sasa.Tangia Corona ianze posta wamezui kutoa na kusambaza mizigo kwenda mikoani sababu ya korona

Watu wengi mnatuasili sana sana
Tunaomba posta makao Makuu
Msambaze mizigo yote iliyopo huko
Maisha lazima yaendelee
Mizigo yote iliyopo huko tunaomba isambazwe kwa sasa ni athari kubwa sana tunapata sisi wateja wenu


Watu tunakosa hiduma kwa sasa aseh
Fanyeni kazi maisha lazima yaendelea bana Rudisheni huduma sambazeni mizigo Mnatuangusha aseh
 
Hii Corona imezuia mengi.

Nilikuwa nimetayarisha mzigo mkubwa sana (nothing extravagant, mostly nguo, viatu etc kwa watoto wa famikia na ndugu).wa kutuma Tanzania, tangu February, nikipanga kutuma kabla ya June. Kufika March tu nikapigwa daflao na Corona.

Kwa sasa imebidi nisubiri mambo yapoe kwanza.

Maana unaweza kutuma mzigo, halafu ukachomwa moto kwa kisingizio cha Covid-19.

Labda ninataka kuwatumia watapata wasaa wa kuja kwangu kabla sijatuma.
 
Mkuu mnyinge mnyongeni haki yake mmpe. kusema kweli posta kwasasa hivi wanajitahidi sana na niwaaminifu
Nakubaliana na wewe Ila hapa kwenye kipondi cha Corona .sijui wamekuwaje aseh mizigo haijafika huko mikoani Mkuu
 
Back
Top Bottom