Kwa Watanzania mliofanyikiwa kufika Ulaya((Marekani Majuu) mlitumia njia au mbinu gani kufika Huko

Mayor Slum

JF-Expert Member
Jan 4, 2017
751
1,121
Habari za Leo Wadau wa Jamii Forum
Tukiachana nayoye tumekuwa tukipata habari mbalimbali kuhisu jamii Forum kuhisu Majuu Ulaya(Marekani) Kapan wati wakielezea maisha ya huko njisi yalivyo pia kumekuwa na mchuano Mkali sana kwa sasa kuhusu maisha huko Majuu ambapo tumepata mawili matatu kuhusu huku
Pia kuna watu wengi wanatamani wao kwenda huko kusaka maisha maana hapa bongo maisha yanasomesha sana namba

Nilikuwa naomba ambao mfanyikiwa kufika huko mtupatie mbinu au njia za kufika huko ilinawangine wajaribu bahati yao kama waswahili wanavyosema maisha popote

Kwa maisha ya hapa matumaina yakutoka ni changamoto sana sana
Ajira ni ngumu sana sana

Ebu tunaomba mtirike ,mtupatie mbinu_/ njia zitakazo weza kutusaidia na sisi kifika huko nakusaka maisha
 
Ni connection tu mkuu.

Kila lakheri anza kupambana kuipata connection and mind you process hii inaweza kuwa ngumu kuriko kutafuta kazi hapa Bongo, but don't be discouraged.
 
Everything is possible focus your energy ..siku ukifika USA usikose kuni tag
 
Kila kitu ni conection tu sheikh wangu, ambapo mbadala wa conection ni hela, sasa kama hauna hela, hauna conection pia hauna, itakupasa usote "kweri kweri"
 
Habari za Leo Wadau wa Jamii Forum
Tukiachana nayoye tumekuwa tukipata habari mbalimbali kuhisu jamii Forum kuhisu Majuu Ulaya(Marekani) Kapan wati wakielezea maisha ya huko njisi yalivyo pia kumekuwa na mchuano Mkali sana kwa sasa kuhusu maisha huko Majuu ambapo tumepata mawili matatu kuhusu huku
Pia kuna watu wengi wanatamani wao kwenda huko kusaka maisha maana hapa bongo maisha yanasomesha sana namba

Nilikuwa naomba ambao mfanyikiwa kufika huko mtupatie mbinu au njia za kufika huko ilinawangine wajaribu bahati yao kama waswahili wanavyosema maisha popote

Kwa maisha ya hapa matumaina yakutoka ni changamoto sana sana
Ajira ni ngumu sana sana

Ebu tunaomba mtirike ,mtupatie mbinu_/ njia zitakazo weza kutusaidia na sisi kifika huko nakusaka maisha
Kabla ya yote Jifunze kwanza kuandika vizuri
 
Dahhh majuu USA wadau muda mwingine tunadanganyana ila siku hizi kila kitu ni connection ni kuconnect dot tuuu laaa sivyo hakuna namna wakubwaaa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom