Search results

  1. OMOYOGWANE

    Season 2: Akili ya binadamu

    Habari wakuu, Baada ya kuijadili kwa kina thread yetu pendwa Akili ya binadamu katika huo uzi mimi nilikuwa mchangiaji mkuu, niliichambua na kuielezea akili ya binadamu ktk angle ya kibaiolojia, nikiri tu kwa kusema kuwa akili ya binadamu ni complex sana huwezi kuichambua ktk angle moja peke...
  2. OMOYOGWANE

    Kwa ambao hamjui siri ya mafanikio ya Yanga hii hapa

    Kuna mstari mwembamba unaotenganisha mchezaji anayejua kukaba na mchezaji anayejituma. Yanga husajili wachezaji wanaojua kucheza katika nafasi zao pia wanaojua kukaba yaani ikimsajili mchezaji ambaye ni striker basi lazima awe na sifa kama za kiungo mkabaji. Hivyo hivyo kwa wachezaji wengine...
  3. OMOYOGWANE

    Mambo matano yatakayokusaidia kuijua tabia iliyojificha ya mke/mpenzi wako

    1. KIWANGO CHAKE CHA UVUMILIVU KTK SHUGHULI ZA KIUCHUMI. angalia amefanya shughuli ngapi za kiuchumi mpaka sasa, ukikujua kama alishawahi kufanya biashara nyingi kila anayoifanya kabla hajaimaliza anarukia nyingine mfano kaanza kuuza mandazi kaacha karukia kuuza matunda haujakaa sawa kaacha...
  4. OMOYOGWANE

    Biashara ni imani, kama hauna imani usifanye biashara

    Marekani ni taifa lenye wasomi, wachumi na wanasayansi makini pia ndio taifa lenye teknolojia uchumi imara, lakini kauli mbiu ya taifa hilo ni, "In GOd we trust". Vijana wengi wa hapa bongo wanaamini zaidi ktk elimu hususani kwenye suala la biashara, uchambuzi wao ni wa kiuchumi zaidi ila...
  5. OMOYOGWANE

    Ukitaka connection za kitaa mfuate "yule jamaa"

    Yule jamaa tangu ukiwa mdogo unasoma primary yeye yupo na kiduka chake cha mangi hata hakifi watu wamekuja wakafungua duka kama lake na mitaji yao mikubwa na midogo pembeni yake wakafunga na kufirisika ila yeye yupo tu anadunda wakaja wengine wakafirisika yeye yupo tu ametulia zake hana...
  6. OMOYOGWANE

    Siku hizi wanaoshinda vijiweni ni Wastaafu, imekuwa kawaida kuwakuta wanatembea wakiwa wamechanyikiwa

    Mungu awasaidie hawa wazee wetu. Ukikutana nao njiani wanatia huruma sana wengi wanashinda vijiwe vya boda boda, vijiwe vya draft, kwa mafundi baiskeli vijiwe vya kahawa na kwenye mabanda ya kuonyeshea mpira. Mbaya zaidi huomba wapate assist wengi wamefungua biashara zimekufa, wamefuga mbuzi...
  7. OMOYOGWANE

    Nadharia: Jinsi law of magnetics itakavyozuia ajali barabarani

    Wakuu habari! Leo nikiwa barabarani niliona magari mawili yaliyotaka kugongana uso kwa uso ghafla likanijia wazo ambalo limenisukuma kuandika uzi huu namna ya kuzuia ajali kama hizi. Picha nmetoa mtandaoni Kikawaida ncha mbili za sumaku zikikutana hukwepana, mfano angalia hapa chini kwenye...
  8. OMOYOGWANE

    Je, wajua elimu ya udaktari wa binadamu (medicine) imetokana na mambo ya kale mizimu, majini na uganga wa kienyeji (traditional medicine)

    Medicine ni elimu iliyo ibuka kutoka ktk traditional medicine, zamani watu walitibu magonjwa mbali mbali kwa kutumia mitishamba. Walikuwa wanaoteshwa mti fulani unatibu ugonjwa flani, matibabu yalikuwa kwa mtindo huo. Baadae kuna mtu mmoja anaitwa HYPOCRATES yeye akawa akitibu mtu anaweka kumbu...
  9. OMOYOGWANE

    hatma ya Kibarua cha kocha Rhulani Mokwena kipo mikononi mwa Yanga SC.

    Picha linaanza mashabiki wa Mamelod wakilaumu vikali na kulalamika kupangwa na timu wanayoiona ni underdog YANGA SC, huku wakidai kuwa wao ni wakubwa walimtaka mkubwa simba SC na wakajiona tayari washatinga nusu fainali kama mwaka jana... Wazungu wanasema "More expectation more disappointment"...
  10. OMOYOGWANE

    Eng Hersi wakati anaenda Al ahly kuanzisha ushirikiano wengi mliponda, kaeni kwa kutulia

    Tarehe 1/3/2024 jamaa alienda na viongozi wake wote wa yanga pale CAIRO makao makuu ya al ahly kujifunza mbinu na mikakati ya ushindi hatua ya mtoano pamoja na kuanzisha mahusiano ya kimichezo. wengi jana mmeshangaa niwakumbushe tu kuwa style aliyotumia al ahly kumkanda simba juzi ndio style...
  11. OMOYOGWANE

    Namna wanavyokokotoa possesion (kumiliki mpira), nashauri waigawe ktk vipande vitatu ntatumia MAMELOD VS YANGA kama case study

    Mamelod 69% YANGA 31%..... Je umewahi kujiuliza hizi possesion hupatikanaje? Ipo hivi kinacho angaliwa ni muda wa kumiliki mpira kwa timu husika ndani ya dakika flani mfano dakika 30, 45 au 90. kinachofanyika unaanza kuhesabu sekunde timu ikiwa na mpira mfano MAMELOD kipa wiliams kampasia mudau...
  12. OMOYOGWANE

    Kama waziri wetu wa michezo alimuuliza waziri mwenzake wa michezo huko ivory coast kwanini hajamuita pacome. Je anayajua majukumu yake ?

    Tunaweza kulaumu bure kwanini waziri wetu alitania utani wa ngumi lakini ikumbukwe kuwa aliwahi kumuuliza swali la michezo mtu asiye sahihi, kiufundi ni kama vile hana uelewa wa mambo ya soka?
  13. OMOYOGWANE

    Yahya Zayd ana mpira wa kizamani ipo siku atakuja kuua mtu. Leo kwetu Yanga na Simba mjiandae

    Huyu bwana mdogo anaacha mpira makusudi anaamua kukanyaga mguu kwa nguvu kubwa na kamera za azam hazikuriludia hilo tukio maana walijua kitakachomkuta huyu bwana mdogo, pacome alikanyagwa makusudi kimkakati zaidi, dogo akaona haitoshi akaamua kumrukia mudathir kisiginoni mudathir nae ilibaki...
  14. OMOYOGWANE

    Mamelod wasipokuja kwa adabu kwa mkapa watakula tano na game itaishia hapo

    Naandika nikiwa na akili timamu wala sijawahi kuwaogopa mamelodi kukutana na yanga bali niliogopa sana kama asec angekutana na yanga wengi mtaniona mjinga lakini mtaelewa baadae. Timu zote CAF hucheza kwa mtindo wa kupaki bus isipokuwa mamelod, hata mfumo wao ni 3:4;3 yaani mfumo wa kushambulia...
  15. OMOYOGWANE

    Self image: Jinsi wadada wengi wanavyoteseka na maumivu ya punda kichwani, huku wajanja wachache wakinufaika kiuchumi

    Just imagine umezaliwa ukiwa punda ila hutaki kuwa punda unataka kuwa pundamilia kwa sababu unaamini jamii inayokuzunguka inapenda pundamilia, na mungu kakuumba hivyo unatembea na maumivu makali ktk nafsi unaamua kupaka mistari ya rangi nyeusi ili uwe pundamilia. Je unamiliki duka la vipodozi...
  16. OMOYOGWANE

    Ijue nguvu ya Self Esteem maishani mwako!

    Je ulishawahi kutizama series ya prison break kisha ukaanza kujiona Michael Scholfield? Au umewahi kutizama movie yeyote baada ya hapo ukaanza kujiona RAMBO, JACK CHAN au VAN DAME? Ile hali unayoipata kwa muda kitaalam inaitwa euphoria, na ndio inayoongeza apetite ya kuishi, upendf na...
  17. OMOYOGWANE

    Yanga inatakiwa ipate golikipa mzawa wa kumpa changamoto Diara

    Hawa tulionao akina mshery na metacha hawapaswi kuwa yanga. Kuna magolikipa wazuri sana tunaona watatusaidia siku DIARA akiumia ila sio hawa madogo. Golikipa wa prison yona amos, golikipa wa mtibwa sugar toba fikiri na ibrahim parapanda wa singida fg. inatakiwa kila sub iwe ya moto hawa mmoja...
  18. OMOYOGWANE

    Prison FC ili mgharimu Mwamnyeto na Metacha, leo imemgharimu Manura, golikipa wao anakitu anafaa kuja Yanga

    Hii timu ilisababisha Mwamnyeto aanze kusugua benchi pia ikasababisha metacha ale umeme (red card) na sidhani kama atakaa golini tena. Leo sidhani kama manula ataendelea kuwa hapo simba. Golikipa wao anajiamini ikiwapendeza viongozi wa YANGA tuleteeni huyu kipa atatufaa sana maana kuna vitu...
  19. OMOYOGWANE

    Rais kuitisha mkutano wa wananchi kusikiliza kero zao na kuzitatua, je huku sio kuingilia kazi ya BUNGE?

    Mbona tunarudi zama za ugiriki ya kale kabla kristo hajazaliwa watu walikuwa wanakusanyika nchi nzima wanaeleza kero zao na kutatuliwa. Je huku sio kuingilia kazi ya BUNGE?
  20. OMOYOGWANE

    Ni afadhali mara mia Yanga ipangwe na Mamelodi Sundowns kuliko ASEC Mimosas

    ASEC inawajua vizuri sana wachezaji wa Yanga maana imewalea na kuwakuza kisoka kisha wakakulia hapo na mazoezini wamekabana sana na kocha Julio anawajua vizuri mno. Aziz Ki, Pacome, Yao Yao bila kumsahau Guede, hawa wote ni zao la kocha Julio hapo ASEC pia hao vijana wake sidhani kama wanaweza...
Back
Top Bottom