Self image: Jinsi wadada wengi wanavyoteseka na maumivu ya punda kichwani, huku wajanja wachache wakinufaika kiuchumi

OMOYOGWANE

JF-Expert Member
Dec 30, 2016
3,654
9,254
Just imagine umezaliwa ukiwa punda ila hutaki kuwa punda unataka kuwa pundamilia kwa sababu unaamini jamii inayokuzunguka inapenda pundamilia, na mungu kakuumba hivyo unatembea na maumivu makali ktk nafsi unaamua kupaka mistari ya rangi nyeusi ili uwe pundamilia. Je unamiliki duka la vipodozi?

Ni faida kiasi gani unaingiza kwa mwezi? Wadada wengi wamekua na mtindo wa kujichubua ili wawe weupe wengine wakipaka makeup!

Huu ni urembo, neno urembo linatokana urimbo (gundi inayotumika kunasa ndege) je huu urembo nao unakazi gani?

Kisaikolojia mtu mwenye self image iliyoharibika/mtu ambaye hajikubali anaeishi kwa taswila ya mtu mwingine. Watu hawa huishi na maumivu makali ya milele ktk fikra zao ? Inaendelea ...
 
Jamii imefika hatua inaamini jambo hili ni kawaida yaani ni urembo tu kama urembo mwingine lakini kwa mtu mwenye fikra pevu anaweza kuona ni jinsi gani jamii inayotuzunguka ina changamoto za kisaikolojia pengine elimu inatakiwa kutolewa kwa jamii? Je walio leta make up, mawigi, lips stick na kucha bandia hawalitambui hili jambo wakaona suiuhisho ni kutengeneza vitu hivyo na sio kutoa elimu? Je walilenga kujinufaisha kiuchumi tu? Je elimu ikitolewa itaathiri uchumi ktk sekta ya urembo? Inaendelea
 
unafikiri neno lako humu linaweza kuinadilisha jamii..?
watu wameshatekwa na uchumi kinachoweza kuwashika na wakakisikia ni ufanye chochote kiguse uchumi wao!.
hapa tutalike na kukomenti halafu itakuwa imeisha hiyo...😅
 
Je kutokujikubali/yaani kuishi kwa taswila ya mtu mwingine ni kiashiria cha mtu mwenye tabia ya kutaka attention kwa jinsia tofauti? Mfano mwanamke kumvutia mwanaume? Vipi kama anaejichubua ni mke wa mtu? Je ni kiashiria cha kutaka kuchepuka? Au ni fashion tu kama fashion zingine? Inaendelea
 
Just imagine umezaliwa ukiwa punda ila hutaki kuwa punda unataka kuwa pundamilia kwa sababu unaamini jamii inayokuzunguka inapenda pundamilia, na mungu kakuumba hivyo unatembea na maumivu makali ktk nafsi unaamua kupaka mistari ya rangi nyeusi ili uwe pundamilia. Je unamiliki duka la vipodozi? Ni faida kiasi gani unaingiza kwa mwezi? Wadada wengi wamekua na mtindo wa kujichubua ili wawe weupe wengine wakipaka makeup! Huu ni urembo, neno urembo linatokana urimbo (gundi inayotumika kunasa ndege) je huu urembo nao unakazi gani? Kisaikolojia mtu mwenye self image iliyoharibika/mtu ambaye hajikubali anaeishi kwa taswila ya mtu mwingine. Watu hawa huishi na maumivu makali ya milele ktk fikra zao ? Inaendelea ...
Mwanzo nilidhani wewe ni Genta, Sasa umejipambanua. Genta hawezi kuwa na akili kubwa kiasi hiki.

Unajaribu kudadavua dhana pana na nzuri sana. Yes! Iendeleze.
 
Je akili ya mtu hupimwa kwa matendo yake au mambo anayoyafanya ktk mwili wake mfano kujichubua? Hivi huwa wana lengo gani? Je ni wagonjwa wa kisaikolojia? Au wanaume wamewatenga ndio maana wanafanya hivyo?
 
Je wanawake wengi wanaamini kwamba mtu mwenye maisha mazuri na mrembo hunawiri na kuwa na ngozi nyeupe hivyo basi na wao hujichubua ili kuvutia wenza/wanaume wenye hadhi/status kubwa? Inaendelea?
 
Wanawake naturally tunapenda kupendeza, and ubaya ni kuwa wengi wanaamini, kuwa light skin ndo urembo, na the bad thing makeup nyingi za Hali yetu zinawapendeza light skin...so mlolongo unakuwa mrefuu...!!
 
unafikiri neno lako humu linaweza kuinadilisha jamii..?
watu wameshatekwa na uchumi kinachoweza kuwashika na wakakisikia ni ufanye chochote kiguse uchumi wao!.
hapa tutalike na kukomenti halafu itakuwa imeisha hiyo...
 
Wanawake naturally tunapenda kupendeza, and ubaya ni kuwa wengi wanaamini, kuwa light skin ndo urembo, na the bad thing makeup nyingi za Hali yetu zinawapendeza light skin...so mlolongo unakuwa mrefuu...!!
anhaa unamaanisha kupendwa na kumvutia mwenza bila shaka? Vipi kama unapaka makeup na vipodozi halafu unamuacha mwenza wako ndani wewe unaenda zako sokoni?
 
Back
Top Bottom