Search results

  1. Mr DIY

    Wazo la kufungua barabara ya Makambako to Mlimba

    Huoni ulikuwa nje ya mada? Alikutuma fundi
  2. Mr DIY

    Wazo la kufungua barabara ya Makambako to Mlimba

    Naona umetumwa ukatumika
  3. Mr DIY

    Wazo la kufungua barabara ya Makambako to Mlimba

    Hii nadhani ndiyo itakayojengwa sababu lupembe ni eneo muhimu kiuchumi kwa mkoa wa njombe na lianhitaji kufunguliwa mapema mno
  4. Mr DIY

    Vifaa vya umeme na electronic vya hospitali vinafanyiwa maintanance na repair wapi?

    Tafuta biomedical engineers wa kazi hizo, kwa baadhi ya vifaa kama xray za phillips huwa na mafundi wao, anyway kama unamiliki hosp au kifaa husika sio rahisi kujiuliza swali kama lako
  5. Mr DIY

    LIVE UPDATES: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Iran na Israel

    Huo ni msisitizo kama grammar haina shida niombe radhi kwa kuingilia post yangu ukijifanya mwl wa kingereza kumbe bogaz tu
  6. Mr DIY

    LIVE UPDATES: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Iran na Israel

    https://edition.cnn.com/2024/04/18/middleeast/isfahan-iran-explosion-intl-hnk/index.html?Date=20240419&Profile=CNN+Breaking+News&utm_content=1713495549&utm_medium=social&utm_source=twitter Inasemekana military base imekuwa hitted huko Iran asubuhi hii,
  7. Mr DIY

    blackberry key2 ina android

    Hongera maana ni wewe tu
  8. Mr DIY

    Kwa wale anti-Electical Vehicle: Unaijua ZEV Mandate?

    Ndugu ingia mtandaoni, ila kuna watu wa anti tesla pia kuwa nao makini
  9. Mr DIY

    Hii decoder inafanyaje kazi ndugu zanguni ?

    Gtv kitambo sana, sijui kama dekoda zake waweza pata huduma kwa sasa
  10. Mr DIY

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Kuna tweet moja eti ilisema kenyan women are most beautiful women in africa, dah chezi hizo usingizi zao...
  11. Mr DIY

    Ni kweli mtu akitumia dawa ya UKIMWI hawezi kumuambukiza mwenzake hata bila kutumia kinga?

    Inawezekana kabisa provided huyo mwathilika yuko na viral suppression, zamani ilikuwa ngumu kujua nani ana viral suppression na nani bado ana kopi nyingi ya virus kwenye damu yake mpka ilipokuja kipimo cha Viral load, mteja mwenye majibu ya TNG yaani target not detected maana yake hana free...
  12. Mr DIY

    Ukija kuamua kuanza kufuga utafuga mnyama gani?

    Juzi nilikuwa ifakara huko nimekutana na mama mmoja amefanya sana kazi bank kwa sasa anafuga mno, nimemkuta na kitimoto kama 2000 hivi na kuku zaidi ya 4000
  13. Mr DIY

    Kama hujawahi kufika jiji la Tanga, basi haya ndio mambo yanayopatikana huko

    JE WAJUA HAYA KUHUSU TANGA? 1. Reli ya Kwanza Tanzania Bara - Tanga 1893. 2. Shule ya kwanza ya Sekondari- Tanga 1890 (Tanga Old School). 3. Shule ya Kwanza (Anglikana) Tanzania 1848 - Tanga Magila Muheza. 4. Taasisi ya Kwanza ya Utafiti wa Malaria Duniani - Tanga Muheza, Ubwari 1949. 5...
  14. Mr DIY

    Car4Sale Nauza gari ya kubebea mizigo kwa bei poa

    Mbona umesema canter na picha inaonekana ni toyota?
  15. Mr DIY

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Hawataki dcm wala isuzu journey
  16. Mr DIY

    Nahitaji msaada wa kisheria ndugu zangu

    ndugu nshaona kesi kama hizo huko vijijini kwa watumishi wa afya, rudi wilayani nenda kwa katibu wako wa afya, ongea na dmo wako wakiwa wazito fikisha suala lako kwa ded na afisa utumishi wako, likiwa na pingamizi muone das, huko hakikisha wamekuondoa mara moja wakishindwa andika barua chap kwa...
  17. Mr DIY

    Kwa kasi ya Mchina na Electric Vehicles (EV), sio muda tutapishana nazo Dar

    Hizo bei ni kwa genuine battery toka kiwandani, ngoja nikuulize unajua bei ya engine ya ist brand new toka kwa toyota wenyewe? Je bongo hii nani angeiweza? Lakini sasa hivi chini ya 2mill unabadili engine kwa mitumba na spea za kichina kibao mtaani. Juzi nlikuwa natafuta genuine engine block ya...
Back
Top Bottom