Search results

  1. H

    Nimeumia sana! Nisamehe E, sitakuchafua tena

    Ninachoamin mim lazima utajirudia tu maana umemsifia sana uyo E ikiwa hey anajua umeoa sio SHIDA Sana kwa uzoefu wangu Huyo kuwa nae makin usimtangaze kwa MTU yoyote mapenz MPE alafu yaue taratibu kumbuka Nyumba ni yake je ikiwa kakuchukua video ya utupu kwa ajil ya kumbukumbu zake uoni...
  2. H

    Makonda aahidi kuwasaka mashoga mahotelini

    Hiyo issue inaisha tena faster mbona ushoga tz haufaiii
  3. H

    Kwanini replacements zote ni UDSM?

    Nataman cku moja itokekee mh badala ya kuteua atangaze tu nafas ya kaz fulan imetolewa na rais aweke sifa tuone je kuna watanzania wenye nia na nchii hii wataomba kama mh alivyoomba kwetu tukampa bila kinyongo na kazi anaifanya kwa moyo
  4. H

    MOROGORO: Mkulima ajeruhiwa vibaya kwa kukatwa na panga kichwani

    Mill 50 hapana namshaur tu mbunge jimbo ni lake akae na kamati ya ulinz na usalama siasa tupa kule wapige kaz kuokoa vizazi vijavyo chuki ni mbaya sana
  5. H

    Mmiliki wa mabasi ya Zakaria amenidhulumu mali yangu na kutishia kuniua

    Hapana sio sahih kuwa vyombo vya dola wameshindwa hilo mim nakataa suala ni kwenda kituo cha police cha karibu fungua kesi vifuatavyo ni muhim ktk kufungua kwako kesi list za mzigo,list ya kulipia mzigo wakat wa kuusafilisha, wakati yeye anakufuata kuueleza kuwa mzigo atauchukua kwa kuwa...
  6. H

    Bob Mtekama: FBI wa Malawi aliyekamata raia wetu huko Malawi

    Nchii hii sio ya hivyo tz hakuna majasusi wale ni watu wa kawaida tu malaw wamakuza tu il tz tuonekane wachokozi tz yetu tunao wahamiaji haramu wengi tena warundi wanyarandwa wamalaw waganda na wakongo mbona hatujawah Kuwaita majasus malawa wanataka huruma za mataifa ya ulaya kipitia Kik
  7. H

    Bukoba vs Moshi

    BUKOBA raha ukienda Q bar. Mh
  8. H

    Kilichonipata leo, nimekoma!!

    Bro una mtoto mmoja tayar kumbuka huyo Dada mnafanya nae kaz ofc moja nzur zaid anawatoto wengi ikiwa ni pamoja na mwanao tambua hao watoto wana baba zao IPO ck watawachukua pia huyo Dada anatafuta mwanaume wa kuishi nae sio mzinguaji kiivyo cha kufanya kuishi na mwanamke ambae ameshazaa sio...
  9. H

    Lebo ya WCB kuchoma gari moto!!?!

    Hilo ni kosa nawashauri waache hiyo kitu kama gar lako tu umekosea ukagonga Nyumba yako tayari ni kosa na je kuchoma gar
Back
Top Bottom