Nimeumia sana! Nisamehe E, sitakuchafua tena

Mkuu hii thread mbona clouds wanaitungia story huko eti diva anadai ametafutwa wakati katoa humu wao wanaingiza mpunga wewe mambo yatakuwa hadharani sasa E atajua na mkeo waambie wakulipe braza
 
Umedanganywa wewe...Shetani hana zawadi...Wanawake wanajua kutengeneza nyeti zao waonekane hata bikira...Mawee...Umeingia mkenge...Usiende kwa mkeo kabla hujapima, utatenda dhambi ya pili ya mauaji ya bila kukusudia...We jiulize kwanini aliingia na gia ya kuwa hajakutana siku nyingi?

Tubu kisha omba rehema na neema kama kuna mtego uuruke then kajihakiki kabla ya kuangamiza family yako...
 
A 32 yrs old, looking for a child. Pole sana, seems hata hukuelewa huyo E anataka nini, you're a father-to-be, mark my words!!
Then kaenda kwa waswahili wamemtengeneza ili amwaminishe jamaa yy yupo vizuri ili apate matunzo na ikibidi ampige chini wa ndoa wake....Hajui kuwa ni mtego! Pole ndugu yangu kaulize wakubwa uambiwe what evil women can do...Tena akikuongezea na love portion utamtimua mkeo na mtoto kama vijibwa....The first questions meant a lot...that was a plot...unampenda mke wako imagine what a question....
 
Ninachoamin mim lazima utajirudia tu maana umemsifia sana uyo E ikiwa hey anajua umeoa sio SHIDA Sana kwa uzoefu wangu Huyo kuwa nae makin usimtangaze kwa MTU yoyote mapenz MPE alafu yaue taratibu kumbuka Nyumba ni yake je ikiwa kakuchukua video ya utupu kwa ajil ya kumbukumbu zake uoni kumuacha gafra ni kutengeneza mazngira ya ndoa yako kufa USIMTANGAZE komaa naro raha mpe taratibu utamuacha na wakati unamuacha atakuwa ameanza kuona utam hivyo atatafuta wakwake
 
Mkuu mm hapa hata ushauri sina, maana sisi ndiyo akina wafalme mswati, E angekutana na watu kama mm Basi angekua kapata temporary husband kabisa.

Ila kwa ww kwakua Si hulka yako,Basi muombe Mungu akuepushie hilo.
 
Mkuu mm hapa hata ushauri sina, maana sisi ndiyo akina wafalme mswati, E angekutana na watu kama mm Basi angekua kapata temporary husband kabisa.

Ila kwa ww kwakua Si hulka yako,Basi muombe Mungu akuepushie hilo.
Amen!!
 
Mkuu i love my wife, hapa nilipo naona hata aibu kumsogelea.
E kaniahidi sana kuitunza heshima yangu, ikiwa shida itabidi ahame idara japokuwa na nafasi yake ichukuliwa na idara nyingine, hili linawezekana.
Kwani kuhama idara ndo itakuwa mwisho kuonana? Dont act like a kid bhana, cha msingi kama kweli dhamila ya kutomsaliti mkeo kwa mara nyingine unayo basi muheshimu huyo E na kuanzia leo stori na yeye ni za kikazi tu. Epuka closeness na yeye ofisini wala kutoka out pamoja.
Ila kwa wanaume tulivyo yangu masikio mkuu..."Ipo siku utakaa chini utatafakari uzuri wake, how brilliant she is na heshima yake ya kukaa muda mrefu bila kujihusisha na mambo ya kimapenzi, utaona ni kama bahati imekudondokea there after.....wajua mwenyewe" hahaha nakutania mkuu
 
Yaan huu uzi umenifanya nigundue kuwa asilimia kubwa yamember wahumu jf niwaaminifu katika ndoa/mahusiano yao japo sio wote kwasababu wengi wetu tumekilaani sana hiki kitendo alichofanya member mwenzetu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom