data
JF-Expert Member
- Apr 9, 2011
- 26,257
- 22,860
ha ha haaa......Wakichoma hlo gari mi naenda kufanya fujo kambi ya alshabab popote ilipo
ha ha haaa......Wakichoma hlo gari mi naenda kufanya fujo kambi ya alshabab popote ilipo
wao pia hawajiwezi....acha wajipe msaadaMisifa ya kipumbavu hela waliyo nunulia hilo gari wangetoa msaada kwa wasio jiweza ingekuwa poa sana lakini maamuzi ni yao!
Mali za ndagu bwana, utazijua tu! Kila analosema mganga lazima utekeleze - hata kama la kipuuzi kama hili.Kama Kichwa cha habari kinavyojieleza Meneja wa Diamond Sallam Sk Mendez Akihojiwa na XXL Live pale mlimani City alisema wanapanga kupandisha gari Jukwaani na kulipiga kiberiti live watu wakishuhudia siku ya Party ya Wasafi …
Amedai stunt kama hizo zinasaidia kufanya mziki wetu uendelee kuwa gumzo Afrika na kukua zaidi…..
...Ngumu kumeza, hivi hii imekaaje? Kuna wasanii/lebo au kikundi chochote kilichowahi kufanya kufuru kama hiyo jukwaani humu duniani?
WCB Kiboko aisee!!!
Dah mkuu umenichekeaha kusema ukweli, asante lakini kwa kutukumbusha.. Tukiwaga majukwaa kama haya kuwa hatukumbuki mambo muhimu ya taifa. Asante[HASHTAG]#bringbackalivebensaanane[/HASHTAG]
kwani alisema atachoma kwa kitu gani..Madee alisema arsenal akifungwa anachoma gar na kweli alifungwa uliza nn kiliendelea hakuchoma
Misifa ya kipumbavu hela waliyo nunulia hilo gari wangetoa msaada kwa wasio jiweza ingekuwa poa sana lakini maamuzi ni yao!
MkokotenGari aina ya aina gani
Wameanza na mzee wa ilalaKutamaki wataanza kumchoma moto mmtu mmoja mmoja ktk lebo yao
Umeuaa.....Hahahahaha ama kweli WCB ni nyoooookoooooo....na imedhihirika wazi kabisa kuwa hakuna timu yoyote ile ya kishabiki hapa Tanzania ambayo haiwafuatilii hawa jamaa...sio timu kiba wala timu nini sijui zooote macho na masikio kwa WCB....Yaan jamaa wakitamka jambo lolote lile lazima liwe gumzo mitandaoni na watu lazima mlifungulie uzi humu...sasa kwa akili za kawaida tu unadhani ilo gari litachomwa kweli???...tunapoelekea naanza kuziona mada za kijinga jinga sana kuhusu WCB..wala sitashangaa nikikuta uzi ''diamond ametoka K*unya now...mara WCB wanalala usiku sana...Domo uwa anakula msosi mwingi"...ndo tunapoelekea huko
Wangetuletea sisi bukoba kwenye tetemekoMara ngap wametoa misaada kwa wasiojiweza? Au kila hela yao inatakiwa iende huko? Je mfano unajua pesa zake zinazid kuwa nying kwa mbinu gan? Je kama hiyo ni moja ya mbinu ya kuleta mara dufu ya ile aliyonunulia gari? Then zikishajiongeza ndio awape hao wasiojiweza? Biashara ni kichwani