Search results

  1. C

    Tigo wana tuibia kwenye tigo rusha ?

    kwa hiyo mzee ukiweka salio la kurusha simu inajua hili lakurushwa hili...teh teh,naona siku hizi imani imekwisha kabisa
  2. C

    Umekua ukitafuta kazi, au scholaship bila mafanikio???

    sometimes inabidi na nyie mnaotufanyia interview mjiangalie...kama kuna mtu ameshaandaliwa hiyo nafasi hata nikiwa malaika bado nitakosa hiyo chance
  3. C

    Fixed account za benki na utajiri wa haraka haraka

    Haya maelezo matam sana nd thats how it is. Nazikumbuka hizi hesabu INTEREST OF 6% COMPOUNDED QUARTELY
  4. C

    Natafuta hard disc ya 80gb na 300

    1000 gb inaweza kuwa kama kiasi gani mkuu?
  5. C

    nafasi za kazi bandarini

    sometimes we tuma tu hata kama tarehe imepita hasa kama ni kutuma via mail kwan itakucost nini?...nakumbuka kuna friend of mine aliomba kazi dead line ilikua bado kama wiki moja wao waliapply mapema wakawa washaitwa washapigwa interview siku ya deadline ndo wako wanaanza training...then he told...
  6. C

    Judgment Day: May 21, 2011 (Really?)

    tomorrow is my birthday embu acheni kunchuria...
  7. C

    blackberry inauzwa

    et laki na nusu...kwel biashara huria
  8. C

    Bhoke na kurudi kwake kutoka BBA

    fikiria kwa mapana wewe hajajiongelea yeye kuwaangalia ameongelea in general sense...wapo mule ili waangaliwe
  9. C

    Wema SEPETU

    eti safi sana wema daima mbele nyuma mwiko...kweli shosti kapata shoga,inaonekana shoga zake wanaomshauri upuuzi ni kama wewe tu,so aendelee kusonga mbele tu? (kuwabadilisha)
  10. C

    Wahaya wa kanyigoo....

    kwa kweli wahaya wana haki ya ku mind this is against humanity...
  11. C

    NOKIA E65 MPYAAAAA Byre kabisaa!!!

    wewe anzia kuuza 150 utapata mteja fasta
  12. C

    Nani anakumbuka chupi za VIP?

    kweli watu wa zamani mliishi kwa tabu, saivi ni full boxer chupi ndo nini...teh! teh! teh!
  13. C

    Modem za voda zimezidi wizi wa wazi

    hamia airtel utaweza kupata ofa ya 200MB,dk 10 na message 100 kila mwanzo wa weekend (ijumaa hadi jumapili) ukiongeza salio kuanzia sh 1000 utakaloweza kulitumia saa nne usiku hadi majogoo
  14. C

    Ulishawahi kucheza mchezo huu?

    we michezo gani hiyo unaongea watoto wa skuiz playstation ndo michezo ukimkuta anacheza mpira hata messi haoni ndani
  15. C

    Nafasi za Kazi Hazina

    we umetumwa ama?....maneno gani hayo ya kukatisha tamaa binadam wenzio
  16. C

    nafasi za kazi bandarini

    baada ya kusoma comment zenu nimejikuta nacheka sana...kila mtu anasanif kwa namna yake,eti kisa nimeandik a kwenye mstimu wa umeme...kwel wabongo tuna laana tena laana kubwa...tuendelee kukaa nyumbani kamanitafanikiwa kuona zilizotangazwa CNN ntawajulisha ndugu wadau
  17. C

    nafasi za kazi bandarini

    jaribu kupiga hii namba wanatoa ajira za fasta fasta bandarini,mshahara 210,000 kwa mwezi...nakushauri ewe binadamu usiye na kazi uende huko au kama ni mdogo wako mjulishe aende kisha kama ni channel nyingine atazipata akiwa huko,namba yao ya simu ni 0713 390 316,Tangazo nimeliona kwenye mstimu...
  18. C

    Chuo cha Utumishi Mtwara: Ufuska, ngono, uchangudoa na uchafu mtupu

    mwenye maamuzi ya kukataa ni mwanamke,ni wanaume wachache sana wenye uwezo wa kusema NO mbele ya mwanamke (ndio maana siku zote sisi wanaume tunwafuata nyinyi wanawake na kuwatongoza) hiyo ni nature na ndivyo ilivyo leo hii yule ambaye ukimuhitaji lazime uonyeshe nia kwa zaidi ya miezi miwili...
  19. C

    Naomba msaada wa ushauri mtoto mtukutu

    yah huyo mpeleke jeshini tu labda kama atagoma...lakini kule ndo kwa wakuu atafunzwa nidhamu ya ukubwani
  20. C

    Nakusudia kuishitaki airtel tume ya mawasiliano.

    drphone em soma tena nilivyoandika naona hujaelewa nimeandika nini...halafu hakunaga mteja wa hovyo wala hairuhusiwi kumkatia mteja simu na zaidi ya yote kila mteja ana haki ya kusikilizwa tatizo lake na kushauriwa ipasavyo ili aweze kuendelea na matumizi yake ya simu
Back
Top Bottom