nafasi za kazi bandarini

ccr airtel

Member
Mar 27, 2011
96
13
jaribu kupiga hii namba wanatoa ajira za fasta fasta bandarini,mshahara 210,000 kwa mwezi...nakushauri ewe binadamu usiye na kazi uende huko au kama ni mdogo wako mjulishe aende kisha kama ni channel nyingine atazipata akiwa huko,namba yao ya simu ni 0713 390 316,Tangazo nimeliona kwenye mstimu wa umeme...nikaona nichukue hii namba niwajuze wadau
 
Bandari gani?TPA?TICTS au?na ni kazi gani mkuu?Nyingi ya hizo za kwenye mstimu na magazeti ya udaku ni magumashi tu,wasanii.
 
jaribu kupiga hii namba wanatoa ajira za fasta fasta bandarini,mshahara 210,000 kwa mwezi...nakushauri ewe binadamu usiye na kazi uende huko au kama ni mdogo wako mjulishe aende kisha kama ni channel nyingine atazipata akiwa huko,namba yao ya simu ni 0713 390 316,Tangazo nimeliona kwenye mstimu wa umeme...nikaona nichukue hii namba niwajuze wadau

Jamani acheni uzushu huo. Siwezi kumshauri mtu aombe nafasi kama hiyo. Mara nyingi hao huwa ni matapeli tena wenye njaa kali
 
jaribu kupiga hii namba wanatoa ajira za fasta fasta bandarini,mshahara 210,000 kwa mwezi...nakushauri ewe binadamu usiye na kazi uende huko au kama ni mdogo wako mjulishe aende kisha kama ni channel nyingine atazipata akiwa huko,namba yao ya simu ni 0713 390 316,"tangazo nimeliona kwenye mstimu wa umeme...nikaona nichukue hii namba niwajuze wadau"

hahahahaaaaaaaaaa hahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
tehe teheeeeee
duhhh..
Kweli j.f raha.

Sifa za waombaji wawe na shahada ya kwanza na uzoefu wa miaka mi3, Huu mgao wa umeme unaokuja una mambo ha ha ha ha, j4 njema:dance:
 
unatangaza kazi wala huijui uhakika wake?
sasa umejuaje kama wanatoa kazi fasta fasta au weye umefanikiwa?
 
jaribu kupiga hii namba wanatoa ajira za fasta fasta bandarini,mshahara 210,000 kwa mwezi...nakushauri ewe binadamu usiye na kazi uende huko au kama ni mdogo wako mjulishe aende kisha kama ni channel nyingine atazipata akiwa huko,namba yao ya simu ni 0713 390 316,Tangazo nimeliona kwenye mstimu wa umeme...nikaona nichukue hii namba niwajuze wadau

Nimecheka mpaka basi JF raha kweli
 
Nashukuru kwa kupata taarifa za muhimu katika jamii na Taifa zima kwa ujumla, nategemea mengi ili kuweza kuendeleza gurudumu hili. ahsante
 
jaribu kupiga hii namba wanatoa ajira za fasta fasta bandarini,mshahara 210,000 kwa mwezi...nakushauri ewe binadamu usiye na kazi uende huko au kama ni mdogo wako mjulishe aende kisha kama ni channel nyingine atazipata akiwa huko,namba yao ya simu ni 0713 390 316,Tangazo nimeliona kwenye mstimu wa umeme...nikaona nichukue hii namba niwajuze wadau

Very thanx maana nimehangaika mpaka bs
 
baada ya kusoma comment zenu nimejikuta nacheka sana...kila mtu anasanif kwa namna yake,eti kisa nimeandik a kwenye mstimu wa umeme...kwel wabongo tuna laana tena laana kubwa...tuendelee kukaa nyumbani kamanitafanikiwa kuona zilizotangazwa CNN ntawajulisha ndugu wadau
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom