Search results

  1. Msomi hewa

    Msaada wa aliyeelewa ndoto hii

    Natoka safarini Dar naelekea Tanga nikiwa na rafiki yangu jina anaitwa Maalim(Si jina halisi), katikati ya safari gari inasimama nashuka, Wakati huo maalim hakushuka! nikiwa narudi kwenye basi ghafla nakutana na dada(Ana asili ya kiarabu) ananizuiya kupanda hiyo gari!, Basi naamua kuachana...
  2. Msomi hewa

    Kwanini kifo unatuchukulia wapendwa wetu?

    KIFO: kwanini haujawahi kuwa rafiki wa mwanadamu, Kwanini usifute uadui ulionao kati yako na maisha, kwanini unakuja kwa kuvizia kama vile mwivi, Furaha yako ni ipi ewe KIFO je nikushuhudia machozi yetu tunapowalilia wapendwa wetu?, Kwanini umekua Adui wa uhai Tangu awali, Kwanini unatuchukulia...
  3. Msomi hewa

    UKWELI KUHUSU MUNGU NA BINAADAMU.

    Kwa muda mrefu binadamu amekua akijiuliza maswali ama angependa kufahamu mambo yafuatayo: *_Nini chanzo cha uhai?_* *_Nani mwanzilishi wa ulimwengu?_* *_Dhumuni la kuishi ni lipi?_* *_Je kifo ndio mwisho wa bin adam?_* *_Je kuna maisha baada ya kifo_* Kutoka na bin adam kuwa na ukomo...
  4. Msomi hewa

    Ukweli kuhusu binadamu na Mungu

    Kwa muda mrefu binadamu amekua akijiuliza maswali ama angependa kufahamu mambo yafuatayo: *_Nini chanzo cha uhai?_* *_Nani mwanzilishi wa ulimwengu?_* *_Dhumuni la kuishi ni lipi?_* *_Je kifo ndio mwisho wa bin adam?_* *_Je kuna maisha baada ya kifo_* Kutoka na bin adam kuwa na ukomo...
  5. Msomi hewa

    HIVI NI KWELI

    ....Kama unavyoona
  6. Msomi hewa

    I need deep explanation on this photo

  7. Msomi hewa

    Habari picha

    ......This is deep!
  8. Msomi hewa

    Say no to valentine

  9. Msomi hewa

    KIPI KINATIA AIBU

    .......1- Kukutwa unajaribisha viatu vya Mgeni 2- Mgeni kukutwa anaongeza maji ya Ugali
  10. Msomi hewa

    Mambo yaletayo heshima

    ...........Habari wanajamvi, Kama title inavyojieleza hapo juu leo ningependa kushare na nyie mambo Manne(4) Makuu Yaletayo Heshima Mbele Ya Jamii. Nadhani Kila mtu anahitaji ama Anapenda kuheshimiwa katika Jamii. Leo napenda ni share na nyinyi Juu na Sifa nne Ambazo Mtu akiwanazo(Angalau...
  11. Msomi hewa

    Kuna siri gani kati ya mti mtu aliojinyongea na uchawi?

    Wakuu habari za mda huu Napenda kuchukua fursa hii adhimu ya kuwa mwanachama JF kujadili jambo pamoja na nyie wanajamii wenzangu. Kuna siri gani kati ya wachawi na Mti uliotumika kujinyongea Mtu. Kumekuwa na tetesi (kama si taarifa) kuwa mara nyingi sehemu alipojinyongea mtu utakuta matawi ya...
  12. Msomi hewa

    Kulikoni jina mwanamuziki Justin bieber kuwepo kwenye list ya wanawake mashuhuri ulimwenguni?

    Wakuu habari za mda huu, Nisipoteze mda sana iko ivi; Kulikoni jina mwanamuziki maarufu Justin bieber kuwepo kwenye list ya wanawake mashuhuri zaidi ulimwenguni? Naombeni mnitoe tongo tongo kwenye hili. Nawasilisha.
  13. Msomi hewa

    Niko njia panda, nichukue uamuzi gani juu ya huyu mwanamke?

    Mimi ni kijana 25 years, Nina jambo limekua likinisumbua mda kitambo kidogo...... In short nilikua namchumba wangu tulipendana sana, Tofauti yetu ilikua katika dini, mama yangu amekua akiniasa mara nyingi kuwa binti huyo hanifai, lakini kutokana na mapenzi niliyonayo juu ya binti yule sikuweza...
  14. Msomi hewa

    Ushauri: Alinikimbia na kuniibia vitu ndani, sasa anataka turudianae anadai anaumwa

    Mimi ni kijana 25 years, nina jambo limekua likinisumbua mda kitambo kidogo In short nilikua namchumba wangu tulipendana sana, tofauti yetu ilikua katika dini, mama yangu amekua akiniasa mara nyingi kuwa binti huyo hanifai, lakini kutokana na mapenzi niliyonayo juu ya binti yule sikuweza...
  15. Msomi hewa

    Nahitaji maombi yenu

    .....tafadhali husika na kichwa cha habari hapo juu Kesho natarajia kwenda hospital kuchekiwa macho nahisi yana shida, kwa sababu kila nikifungua wallet sioni kitu. MUNGU AWABARIKI SANA.
Back
Top Bottom